Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kwa nini sio Unguja na Pemba alikotoka Abdularazak Gurnah mshindi wa Nobel na Salim Ahmed Salim?
Mzee umefanya tafiti au una knowledge kuhusu tafiti? Hauwezi chukuwa watu 2 ukafanya as representative, lazima kuwepo na pattern, that's what intrigues people to investigate.

Ukimwi upo nchi nzima ila unapona kuna unique "pattern" makete you get intrigued as to why wanakufa sana na ukimwi against the norm, back to hao watu inawezekana walilelewa na wazazi unique, had an awareness probably through tradition au they were genetically predisposed. Kwani hamna mkinga ana akili sana labda Mimi na wewe hatumjui? Lakini hakuna pattern inayovutia watafiti.

Hivi kwann wazungu hawajaenda kuchukuwa sample za maziwa ya mama wagogo dodoma Wakapenda kuchukuwa Ziwa Victoria? Are you capable of asking yourself these questions?
 
Kwa nini sio Unguja na Pemba alikotoka Abdularazak Gurnah mshindi wa Nobel na Salim Ahmed Salim?
Lazima kuwepo na pattern inayo deviate from the norm, kuna msemo wa kiingereza "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Kwa mfano, mbona wahaya wengi ni ma Prof? Tayari kuna pattern, mbona wachaga wanapenda kunywa mbege? Watz wote wanakunywa mbege? It's almost specific kwa wachaga, Sasa unaenda kuangalia kwann? Etc sijui kama unanielewa.
 
Unaweza kuthibitisha Wahaya Wengi ni maprofesa?
Uprofesa ndio kipimo cha uwezo wa akili?
Bill Gates, Mark Zuckerberg, Jeff Bezos, Jack Ma, Steve Jobs, Thomas Edison, Wright Brothers, Benjamin Franklin, Jack Dorsey, Alexander Fleming walikuwa hata na masters achilia mbali huo uprofesa wako unaoupigia debe?!
 
Kwa nini sio Unguja na Pemba alikotoka Abdularazak Gurnah mshindi wa Nobel na Salim Ahmed Salim?
Kwa mfano hawa wote umewataji ni waislam, achieved tremendously academically, smart people, Sasa angalia hapa, labda na hili utabisha ila si unaona kuna anecdotal evidence waislam wengi hawajasoma, hawafanyi vizuri academically, Salim sio mwislam? Ila the fact that waislam hawafanyi vizuri lazima ikuvutie kufanya tafiti kujua kwann, na unaanza kutengeneza hypotheses zako, mfano, Muslims are genetically predisposed to perform poorly academically, Muslim community as opposed to Christians value and prioritize religious education compared to formal education,

Muslims as opposed to Christians come from impoverished areas accounting for their poor performance, Muslims are systematically sabotaged in Tanzania education system, ni mfano tu wa haraka haraka just to give you a perspective.
 
Unanikatisha tamaa, anyways ntaendelea kukujibu, Bill, Mark wote hao walikuwa havard, ni drop outs, they have had a brilliant mind kuna na ideas kama Microsoft na Facebook, which in itself is a brilliant mind, Mark Zuckerberg, hao ni Ashkenazi, Havard wanaenda vilaza? Nimekutolea mfano wa ma Prof sababu kuna pattern, Ina maana hauwezi grasp beyond nachokutolea mfano ubebe concepts??

Anyways ngoja niachane na wahaya ..niende kwa hao weupe, why almost half of world championship chess players are Ashkenazi Jews? Why a tiny community control the world economy,? Umeona kuna pattern? Delete mfano wa wahaya, still you're startling?
 
Marekani walipigana wenyewe kwa wenyewe kwa miaka mingi tu !! Hiyo ni zaidi ya udikteta mkuu !!
Nilikuwa sifahamu kama kupigana wenyewe kwa wenyewe ni zaidi ya udikteta!

Kwani udikteta ni nini?

Wakati wanapigana Rais wao alikuwa nani?
 
Wanasema marekani haijawahi kuwa na dikteta moja kwa moja na haikuwa na stable democracy pia !!!
Nilikuwa sifahamu kama kupigana wenyewe kwa wenyewe ni zaidi ya udikteta!

Kwani udikteta ni nini?

Wakati wanapigana Rais wao alikuwa nani?
 
Magu aliwatukana sana wastaafu wenzake, na kuonyesha hawakufanya lolote la maana toka nchi ipate uhuru. Yaani yeye tu ndo alikuwa wa maana. Mtu akisema tu anaambiwa "anawashwawashwa"...Sasa kazi anayo.

Nani kazi anayo ?
 
Mbona inasemekana hata yeye mwenyewe alinywea Kikombe cha babu akiwa kwenye helikopita?
 
Mzee mkapa alituingiza Chaka muhimu rekodi zaviongozi wetu kufatiliwa toka kwenye ngazi ya familia
 
Hata sijui nisemeje maana huyu ndugu sijui lini ataacha kumsema marehemu pamoja na kwamba mkewe alipewa ubunge lakini haikusaidia sijui ni zile dili zake zilizokwama mfano vile vichwa vya treni vilivyoibuliwa pale bandarini. Lakini mpaka leo bado vipo pale Ilala yard mwenyewe hajajitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…