Hivi kwani Waislam wamezuiwa kuomba misaada SAUDIA ili wafanye mambo ya maendeleo? Siamini kama Mashirika na watu binafsi UAE watakataa kufadhili miradi ya waislamu wenzao, naamini misikiti ikaweka masheikh wasomi wakaandaa proporsal zenye akili-hasa katika miradi ya viwanda vya siraha kama mabomu na bunduki watapata tu wadhamini!!!! Taratibu vidole na macho jamani, hii miradi inatunufaisha wote bila kujali mimi m-protestanti, shangazi yangu muislam au mjomba yangu mkatoliki; sote tunatibiwa kwenye Hosptitali za hawa jamaa, na watoto wetu wanasoma Vyuo vyao biila ubaguzi..hata huu umeme wao ukiunganishwa kwenye gridi ya taifa wallah Ustaadh Jumaa atafurahia kuwasha kijilaptop chake na watoto kuangalia TV bila kujali umeme wa warumi!!!
Kwani wewe hujui hilo Serikali ina sababu gani za msingi kukataa Tanzania kuwa mjumbe wa OIC? Vile vile kuna pesa za Opec waulize jamaa wa hazina zilikuwa zinaenda wapi kabla ya Malima kuja kusambaratisha network. Sasa hivi kanisa linajua ule mrija wa kuiba hela unaelekea ukingoni unakuja na miradi ya kuifunga serikali na mikataba. Ndio maana nauliza kanisa katoliki linafanya biashara? Sijawahi kusikia katika nchi zilizoendelea kanisa likawa na miradi ya biashara only in Tanzania ajabu sana.