johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!