Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Vipi Ile kauli ya chadema ni chama Cha kikiristo imeishia wapi maana siisikii tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ponda ni mtu mdogo sana kwenye siasa za bongo!Dah... Hii ya ponda hamkuiona kabisa ikija, imekuwa kama shambulizi la kushtukiza.
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Huisikii tena wapi?Vipi Ile kauli ya chadema ni chama Cha kikiristo imeishia wapi maana siisikii tena
Chama kinakuwaje na taaluma zote kama sio chama dola. Kama hivyo vingine havina sifa hizo si vingekuwa vimefutwa kwa muibu wa sheria na katiba.Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Shekhe Ponda kesha iponda hiyo kauli.Vipi Ile kauli ya chadema ni chama Cha kikiristo imeishia wapi maana siisikii tena
hahahahahah mkuu umemaliza kila kitu
Anawakilisha mawazo ya waislam wengi sana. Serikali inalitambua vema hilo.Ponda ni mtu mdogo sana kwenye siasa za bongo!
Kwa lile hekalu lazima ambembeleze jiweRais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Huko ilikokuwa inasikikaHuisikii tena wapi?
Waislamu mliwaua 1999, 2000 na mmewafunga masheikh waoRais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Ni cha waislam.CHADEMA ni chama cha watanzania wote na kinapendwa kwa dhati kila kijiji na ni mkombozi wa watanzania kutoka kwa mkoloni mweusi.