johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CHADEMA ni chama cha watanzania wote na kinapendwa kwa dhati kila kijiji na ni mkombozi wa watanzania kutoka kwa mkoloni mweusi.Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Ponda kawavuruga, na kawachanganya hasa, pwani ya waislamu inaenda kumpa lissu Kura nyingiRais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Magufuli anastahili kwa asilimia 100 kwani dira yetu watanzaniaRais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Dira yako wewe na mume wako, sio watanzania.Magufuli anastahili kwa asilimia 100 kwani dira yetu watanzania
Counter attack ni pigo baya sana.Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa
Sio kweli hawezi kusikilizwa na hata mtu watu lazima tumchague magufuliPonda kawavuruga, na kawachanganya hasa, pwani ya waislamu inaenda kumpa lissu Kura nyingi
Labda wale siasa kali!Ponda kawavuruga, na kawachanganya hasa, pwani ya waislamu inaenda kumpa lissu Kura nyingi
Photo shop ya Ufipa!
Photo shop ya Ufipa!
huyu aanzishe urafiki na Tundu Lissu mapema mapema ili abahatishe amnesty!Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni.
CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120
CCM ni chama cha wataalamu wote
CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara
CCM ni chama cha wasanii katika sanaa zote.
Hivyo amewaomba Wananchi wakichague tena katika mkutano mkubwa wa kampeni jimboni Ukonga jana.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Hahaha wali beep na sheikh Ubwabwa. Sheikh PONDA anawapigia wanalialia.Ponda kawavuruga, na kawachanganya hasa, pwani ya waislamu inaenda kumpa lissu Kura nyingi
Magufuli anastahili kwa asilimia 100 kwani dira yetu watanzania