ENL na Haruna ni ndugu?
Hapana............ni mtu na shemeji yake
Marekebisho kwa habari ya "mtoahabari"...........ni ENL ndiye aliyemuweka Haruna kuwa Mkurugenzi NHC.........na pia EWURA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ENL na Haruna ni ndugu?
Eeeeh bwana wee tatizo mimi maskini jeuri tena san,a na najijua kwamba siwezi kuwa mnafiki wala kuikarifisha nafsi yangu ktk kutenda yasiyo mema. Nashukuru Mungu na kidogo nilicho nacho lakini siwezi shika haramu kwa sababu tu ya dhiki. Nimepita sana huko mkuu wangu na sikujaliwa kama walivyojaliwa hawa inabidi sasa kuitafuta pepo...Bob,
Haiwezekani kaka! Umelikubali kundi letu la el?
Bora ulale uamke na nguvu na hoja mpya zaidi....mi nalala
unajua tangu nifuatilie thread hii najikuta naanza kuichukia nchi yangu mwenyewe, kumbe tunaongozwa kimafia? kweli nilikuwa gizani
Mwenyewe hamu ninayo basi? Nimepatwa Na hofu Na woga wa ajabu. People are working eheee! They are very clever. Wanaoteuliwa, nilifikiri huteuliwa kwa uchapakazi kumbe huwekwa tu kwa Kazi maalumu! Hata huyu aliyeteuliwa juzi naye ukute yupo kwa maslahi ya watu hao, from ubalozini to CS wakati kina Yambesi wapo, tena wazoefu wazuri Na utumishi. Damn them.
@mtoahabari, pasco et al......Nikuulize tu mambo kadhaa ya msingi......kama umeamua kufunguka ki ukweli...maana kama uko karibu na Lowasa basi utakuwa unajua yanayoendelea serikalini......ebu jibu.....hivi hawa jamaa unaowazungumzia kina Lowasa et al papoja na JK.(watawala)....pamoja na hizi siasa za makundi ktk vinyang'anyiro vya urais tz....huwa wanafikiria kuwatumikia wananchi wao maskini walio wengi??maana mnajadili hizi siasa wakati nchi ina hali mbaya sana hii kiuchumi......hawa TISS mnaowazungumzia.....je wanaliweka wapi jeshi la nchi hii tz katika hizi harakati za urais nchi hii??maana mnazungumzia TISS mnasahau kuwa jeshi likigoma hamna cha TISS wala mama zao eh???maana hapa naona siasa mnazojadili zimeingia mpaka kwenye issue za security ya nchi(TISS)....kama kuna watu kama kina Lowasa wanaweza kuwa na influence kwenye utendaji wa TISS wakati hawako madarakani na hili nyie mnaliona sawa hivi hamjiulizi kuwa nchi inakoelekea siko??????au imepotea tayari???ebu jibuni swali je hamwoni nchi ina ombwe kubwa la kiungozi? maana amini msiamini ni hivi majuzi tu nimekuwa nikiongea na wanajeshi wa ngazi za chini ambao wamechoka mbaya na maisha na mwenendo mzima wa utawala wa nchi ..........na nilipowauliza je wao wanasemaje wakajibu ......wanawasubiri wananchi walianzishe tu kinuke jumla (Egypt style).....sasa hamwoni kwamba hali hii si nzuri????.....labda tu tukumbushane......kama TISS wanainfluence madaraka nchi hii kama mlivyo jadili juu.......ikumbukwe kuwa iko siku maskini wa tz watatoka barabarani......wakishirikiana na vyama pinzani vilivyo makini na kudai kilicho chao kwa watawala na hakutakuwa na TISS wala mama zao????.........maana naona hapa mnawajadili mafisadi kama viongozi weu wa kesho......yaani imefikia tz watu ambao ni mafisadi(e.g Lowasa)wanajadiliwa positively kuchukua madaraka ya nchi?????iko wapi haki ya maskini hapa sasa???na kwanini hamna mjadala wa possibility ya opposition party kuchukua dola???au hili mnaliona haliwezekani????mnasahau yaliyotokea juzi tu Egypt,Tunisia na Libya???(nguvu ya umma)........mnajadili kama vipofu msioona mabadiliko ya kweli yanayotokea sehemu nyingine nyingine ambapo watu walichoka na tawala kama hii mnayojadili????.......wake up you guys.......only time will tell........mia
Makoko UKMkuu
Yaelekea unawalisha maneno hao uliowataja na kuwaaddress kwa hayo maswali na unajifanya unaamini kuwa wanatupa Habari toka ndani.
Wanajeshi wa chini Bongo wako walivyo toka enzi za Mwalimu, tena yawezekana walikuwa Hoi wakati huo kuliko sasa.Na si wao tu Waalimu, Polisi, Wauguzi na Madaktari you name it we are all in same Boat.
Sidhani kama ni Busara kutumia Lugha na mifano Chochezi.
Tulikuwa na Mfumo wa Chama Kimoja Kwa Miaka 23. Na hakuna atakaekataa kuwa ulikuwa na Matatizo na Madhila kibao. WaTz Tulikuwa wavumilivu na wenye Basara.
Hatimae Ulibadilika na hali nayo ikabadilika ya Tanzania na ya Dunia kwa jumla, moja wapo ni huu Uhuru wa kubwata bila kuhofia jirani aliyevaa Magwanda ya Mgambo.
Pamoja na kutoka mbali ndani ya miaka 50 tunakoenda ni Mbali zaidi.
Kwa hiyo: Nderingosha, Pasco,Mtoahabari,Hutaki Unaacha na sisi wengine, Tusikubali kuelekezwa nija waliopita Tunisia , Egypt, Libya na Wengineo "Just for the sake of Greediness from One among Us" Na huyo hata akiwa Baba yako, Mama yako, Ndugu yako, Rafiki yako au Mpenzi wako Usiunganne nae. Wana JF Brothers and Sisters " IF we follow that Road there will be no way Back". It is always like that, just look you and beyond. Today this is all I can say THINK!
Mtoa habari,
Ukichunguza kwa umakini utajiri wa EL ameuongeza sana kwa UHALALI kuliko tunavyoambiwa. Na pia hajashiriki deals kubwa kubwa kama magazeti na wengi tunavyoamini. Miradi yake halali inatosha kumfanya awe tajiri.
Vipi biashara ya mauwa kupeleka nje ya nchi?
Vipi hujataja biashara ya ng'ombe kupeleka nje ambayo kwa sasa imesitishwa (sijui kama imefufuka)?
Kwahiyo utaona mengi ni majungu. He is a self made millionaire!
Miradi gani halali hiyo unayozungumzia? Hata wauza madawa ya kulevya wanaweza kujenga nyumba na kuzipangisha na kusema ni biashara halali. Chochote kile ambacho chanzo chake ni ufisadi na udhulumu wa public trust huwezi kuita ni biashara halali. Biashara zote za Lowassa chanzo chake ni "abuse of public trust." Hakuna cha uhalali hapo.Mtoa habari,
Ukichunguza kwa umakini utajiri wa EL ameuongeza sana kwa UHALALI kuliko tunavyoambiwa. Na pia hajashiriki deals kubwa kubwa kama magazeti na wengi tunavyoamini. Miradi yake halali inatosha kumfanya awe tajiri.
Vipi biashara ya mauwa kupeleka nje ya nchi?
Vipi hujataja biashara ya ng'ombe kupeleka nje ambayo kwa sasa imesitishwa (sijui kama imefufuka)?
Kwahiyo utaona mengi ni majungu. He is a self made millionaire!
Mkuu Ogah,
Mie la dharau sijui maana ni perception. Unajua mtu ukiwa maarufu ni taabu kidogo.
Ninachomaanisha ni kua EL alitumia nafasi zilizopo kuweka biashara halali.
Money laundering ina apply kwenye biashara kubwa kubwa ambazo ni capital intensive, biashara za airtime voucher au laundry hazihitaji capital kubwa. Labda real estate business.
Lakini si tuna takukuru? Mbona tuhuma nyingi lakini hamna uthbitisho? Isije ikawa ya HIZBU ya SAS!