Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Umbeya @ work...
 
Utatoka mapovu bure. HuKo kwa Jesus pia tumeshaenda, tume pewa a go ahead pia. Labda uende kwenye mashetani huKo hatujaenda, kwakua tunaamini nguvu ni moja tu ni Mungu.

Lowassa chaguo la Mungu!

Halafu unasema hujanunuliwa!!!

Umeshaongea na mungu na keshakupa uwakilishi wa watanzania zaidi ya milioni arobaini?? aisee

Hata kama wengine wapo neutral, hili linachefua kabisa
 
Utatoka mapovu bure. HuKo kwa Jesus pia tumeshaenda, tume pewa a go ahead pia. Labda uende kwenye mashetani huKo hatujaenda, kwakua tunaamini nguvu ni moja tu ni Mungu.

Lowassa chaguo la Mungu!

mkuu upo serious kweli au unatania?
kwanza Mungu hadhihakiwi aisee, labda huko huko kwa freemason, EL ni kimeta, hafai hata ukuu wa wilaya.
mtajisumbua bure, safari hii na njaa hizi hatutadanganyika.
 
Halafu unasema hujanunuliwa!!!

Umeshaongea na mungu na keshakupa uwakilishi wa watanzania zaidi ya milioni arobaini?? aisee

Hata kama wengine wapo neutral, hili linachefua kabisa

na wewe Umeongea na Mungu kujua EL sio chaguo lake? Au Umeongea na Mungu kukwambia mie nimenunuliwa Kama sio umbeya?. Unaponyoosha kidole kwa mwenzio vinne vinakulenga mwenyewe.
 
FaizaFoxy na Hali Halisi wako kwenye likizo ya mwaka ambako hakuna mitandao ya kuwasilisha mawazo yao humu? Mbona naona kama wao wanaweza kuyabainisha zaidi mambo haya?.
 
mkuu upo serious kweli au unatania?
kwanza Mungu hadhihakiwi aisee, labda huko huko kwa freemason, EL ni kimeta, hafai hata ukuu wa wilaya.
mtajisumbua bure, safari hii na njaa hizi hatutadanganyika.

kweli?? OK. Nielezee basi nani anafaa zaidi ya Lowassa.
 
Utatoka mapovu bure. HuKo kwa Jesus pia tumeshaenda, tume pewa a go ahead pia. Labda uende kwenye mashetani huKo hatujaenda, kwakua tunaamini nguvu ni moja tu ni Mungu.

Lowassa chaguo la Mungu!

Atakuwa Chagua la Shetwani kama wenzake wa sasa, na watanazania safari hii ya 2015 hatutokubali kuchagua shetwani tena
 
yeye/wao watakuja kwa pesa na vitisho vya risasi, lakini sisi (wanyonge) tutavuliwa ukondoo wetu na kujazwa ujasiri japo kwa mda mfupi nakuingia barabarani kwa jina la Mungu.
 
kweli?? OK. Nielezee basi nani anafaa zaidi ya Lowassa.

kwanza nakusahihisha, usiseme zaidi ya lowasa, niulize nani anayefaa kuwa rais wa tanzania, nitakujibu hivi
aliyemsafi , si msafi wa mwili, bali msafi wa moyo na matendo yake (asiwe fisadi)
atakayelinda rasilimali zetu na kuthubutu kuzigawanya kwa usawa rasilimali zilizopo kwa watu wote.
mwenye hekima.
asiyejilimbikizia mali. una la zaidi?
 
???????kulikuwa hakna umuhimu .ulikuwa ushaeleweka
 
Mambo ya mitandao haya FP. Naweza kuwa namshawishi Lowasa mwenyewe, mkewe au mwanae Fred. Nitaweza kweli? Ni kazi ngumu kidogo hasa kama umekula viapo vya nguvu juu ya mtu huyu. Nilikutana na Hamis Mgeja kwenye msiba wa mama mmoja kule Mbezi. Haumwambii kitu kuhusu Lowasa.
 
Wildcard,

Hili swali ni GUMU humu mno la nani zaidi ya Lowassa kwenye urais ujao. Sijakula viapo naweza kubadilika nishawishi tu.
 
Wildcard,

Hili swali ni GUMU humu mno la nani zaidi ya Lowassa kwenye urais ujao. Sijakula viapo naweza kubadilika nishawishi tu.

ok. mkuu ni sababu gani zinakufanya wewe usigombee urais na badala yake umpendekeze lowasa?
 
FaizaFoxy na Hali Halisi wako kwenye likizo ya mwaka ambako hakuna mitandao ya kuwasilisha mawazo yao humu? Mbona naona kama wao wanaweza kuyabainisha zaidi mambo haya?.
Hao wapo sana, sema mijadala ikiwa ya moto na hawaiwezi huwa wanaingia kwa mlango wa nyuma (multiple IDs) na kurusha makombora. Ukisoma baadhi ya posts humu utaona 'tone' zao
 
Wildcard,

Hili swali ni GUMU humu mno la nani zaidi ya Lowassa kwenye urais ujao. Sijakula viapo naweza kubadilika nishawishi tu.
Sio swali gumu ila limeulizwa wakati usio wake. Tupate KATIBA mpya kwanza. Naamini watu kama Lowasa hawatakuwemo kwenye kinyang'anyiro hiki kwa kukosa SIFA au MIIKO ya UONGOZI itawakamata tu. Katiba mpya lazima itupatie namna bora ya kuupata UONGOZI wa TAIFA.
Unakumbuka CCM walipotaka kumuondoa Mrema kwenye kinyang'anyiro hiki mwaka 1995 waliweka sharti gani kwenye Katiba yao?
 
ni kweli katiba mpya ndo tiba, ila sidhani km hii ya sasa inakubali nchi itawaliwe na mafisadi, ama sidhani km katiba ya sasa haina miiko ya uongozi na hivyo EL kukosa sifa, tatizo ni nani anailinda katiba,

Hivi HUTAKI UTAACHA hurudi hata kusalimia?

Tuletee part 2 , maana hii habari ni nzito . Watu walio msitari wa mbele wanafunguka taratibu, hivyo lete hiyo iliyobaki ili wadau wachambue, watwange, wapepete na wachuje.

Au utarudi rasmi mwisho wa wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…