Naona mijadala kuhusu Lowassa haulengi kutatua changamoto zilizopo, na badala yake umetawaliwa na malalamiko, nahali ya kukata tamaa. Tulijadili hilo japo kidogo. Kwa hali ya sasa, Edward Ngoyai Lowassa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni suala lililo katika count-down kama vile kuelekea mwaka mpya. Njia za kuzuia hilo lisitokee ni kumi. ................................
Nadhani kwa wale wasiopendelea Lowassa awe Rais wa Tano wa Tanzania, angalau sasa mnajua wapi kwa kuanzia kuzima ndoto yake hiyo. Vinginevyo, kwa wale mashabiki wa Lowassa, hakika mnagundua jinsi gani ni vigumu kwa kipenzi chenu kukatishwa safari yake ya kuelekea mahali pale patakatifu Ikulu.