Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

TISS haina nguvu zaidi ya umma, hakuna kilichokuwa na nguvu zaidi ya UMMA katika taifa lolote lile. Abdulla Al Senussi alikuwa Chief of Intelligence wa Ghadafi, yu wapi leo?

Ndugu mtoahabari,

Libya bila nguvu ya Big Brothers (Obama & Co) Ghadafi angekuwa anapeta. Nguvu ya UMMA inategemea na UMMA wa aina gani unaouongelea. UMMA wetu hauna historia ya kuamka wenyewe (labda turudi nyuma centuries BC kabla ya Bantu migration from WestAfrica to East and Southern Africa).

Kama kina Chief Mangungo walituuza na UMMA haukuprotest ya ndugu kwa ndugu kuuzana sidhani kama hawa modern day Mangungo's & Sultan's (JK,BM, EL, RA etc) hawajui hiyo history. Hawa wanachofanya ni kutokugusa maslahi ya modern day Carl Peters & his henchmen (Barrick, Symbion & other so called investors) bila hivyo hawa Big Brothers watatumia UMMA wao kupitia CNN, BBC na ALJAZEERA kuwapeleka HAGUE. Senusi alikuwa double agent for longperiod na hiyo ndio imemweka live mpaka leo. Binafsi nafahamu wakuu kadhaa waliopo TISS ni double agents wazuri tu na wameficha wake na watoto US wanasuburia kinuke.

UMMA wa kitanzania umekoseshwa elimu ya kujua haki zao,pili wameaminishwa kuwa matatizo na shida zote ni kazi ya Mungu. Hivyo basi matatizo/shida wanayokumbana wameizoea...inapungua kidogo wanapokwenda kwa manabii, wachungaji, babu Loliondo etc na haiusishi serikali wala viongozi wao. Naamini vijana wanaweza kufanya kazi nzuri na safi kama za MOSSAD kama walivyoweza kwa mwenzao nd. WALINGOZI!
 
Mkuu ahsante sana kwa uchambuzi wako na nimeuwelewa vilivyo! Ila bado sijaelewa kuhusiana na Lau Masha
Je, huyu mtu yuko kundi gani? la Membe au la EL?

Lau yupo popote pale atakapoelekezwa na ENL. Historia fupi ya Lau na familia: Mzazi Lau (Masha Senior), alikuwa ni mmoja wa wasaidizi wa Mwalimu wakati wa kutafuta uhuru, lakini baadae alikuja kuwa sehemu ya timu iliyokula njama kumhujumu Mwalimu, akabahatika kutoroka nchi kupitia Kenya, na kwenda Marekani (NY), huku wenzake wakitiwa kizuizini. Kutokana na elimu yake nzuri, alipata kazi nzuri sana Umoja wa Mataifa, NY. Na katika maisha yake mapya ukimbizini, aliapia kwamba ipo siku atarudi Tanzania na wanae watakuja kutawala Tanzania, hivyo, akawaandaa kufanikisa hilo. Lau na nduguze waliishi vizuri sana huko New Rochelle, nje kidogo ya jiji la New York, na kupelekewa shule nzuri sana nchini marekani. Baadae hali ya kisiasa ilipobadilika Tanzania, Masha Senior alirudi na wanae Tanzania ili kuja kutimiza ndoto yake. Lau akaingia kwenye uwakili kwa malengo ya kisiasa, huku mdogo wake akaingia jeshini (JWTZ). Mdogo wa Lau ni msomi mzuri wa Chuo maarufu sana cha kijeshi nchini Marekani kinachoitwa West Point College. Pia ana Masters kutoka University of Westminster Uingereza. Lakini cha ajabu, aliporudi Tanzania, akajiunga moja kwa moja na jeshi kama kuruta. Hivi sasa amepanda cheo na kuwa Kanali Masha.

IMMA advocate ilipoanzishwa, iliwavutia mtandao original na wakaanza kuitumia kwa shughuli zao mbli mbali. IMMA pia wakamwahidi JK kwamba watamsomesha Ridhiwani Degree ya Sheria Uingereza bure, na kumwajiri. Walimpeleka Ridhiwani Uingereza kama walivyoahidi, akafeli katikat chuo cha kwanza, akapelekwa cha pili, napo huko akafeli. Sifa zake za elimu hapa Tanzania, pamoja na uwakili wake wa mahakama kuu ni wa kiujanja ujanja, wakufanyiwa mipango pamoja na mitihani na IMMA advocate. Ingawa Bado Ridhiwani ana ukaribu wa kikazi na IMMA, lakini hawapo nae tena kiroho, na hawamtaki, na wameapia kumvua nguo muda utakaporuhusu. Hii inatokana na tofauti zilizojitokeza baina ya God Father wa IMMA (ENL) na Baba mzazi wa Ridhiwani, huku Ridhiwani na yeye akipiga vijembe vya chini kwa chini.

Nilipotoa tahadhari hapo awali kuhusu mazungumzo juu ya ENL huko kwenye mabaa ni kwamba, vijana wote wa mjini wenye akili zao timamu, elimu nzuri, na pesa zao, kama wale wanaojiita G8, na wengineo wengi, wote wapo upande wa ENL, na wapo vitani na wote wale watakaothubutu kuchafua hali ya hewa juu ya God Father. Iwe ni kwenye mabaa, gesti, mahoteli makubwa kwa madogo, gymkhana, maeneo ya starehe ufukweni, au popote pale, vijana hawa wapo kazini, masikio yao ni marefu na mikono yao kunyamazisha maadui, ni mirefu zaidi, kuliko ile iliyopo ndani ya Ghorofa jipya la TISS, Ostabei.
 
JMushi1 ...nilikuwa nakujibu swali lako lakini kwa kuwa umefuta basi......ntakwambia kupitia ule upande mwingine wa PM
 
Mtoa habari,

Sipendi kuingilia utoaji wa habari, ila kuhusu G8 umechapia. Hasa tahadhari yako sio sahihi.

Tumia logic ya miaka iliyobakia kufikia uchaguzi na life style ya vikundi ulivyosema ni MJINGA tu anaweza kuvitumia kwenye vita ulivyosema wale ni kikundi cha pombe na mademu. Ukiwapa kazi Kama hiyo haraka itasambaa mitaani. Wanamsapoti Lowassa au la hayo ni mapenzi binafsi.

Naomba niachie hapo.
 
Sawa. Mimi nachofanya ni kutoa taarifa tu, sio zaidi ya hapo.
 
hahahahhha.......amekugusa nini?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Sawa. Mimi nachofanya ni kutoa taarifa tu, sio zaidi ya hapo.
we endelea kutoa taarifa huyu FP tangu 07' humwambii juu ya God father lolote na huenda uliposema hilo kundi la G8 akastuka kidogo...
 
we endelea kutoa taarifa huyu FP tangu 07' humwambii juu ya God father lolote na huenda uliposema hilo kundi la G8 akastuka kidogo...

G8 wana madudu mengi sana ambayo siku God Father siku akidondoka, watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria (bila uonevu). Vinginevyo kupitia God Father, kwa sasa, wao ndio wameshikilia sheria, na wao ndio wameshikilia TISS, ingawa mapambano dhidi yao yanaendelea.
 
JMushi1 ...nilikuwa nakujibu swali lako lakini kwa kuwa umefuta basi......ntakwambia kupitia ule upande mwingine wa PM
Mkuu wangu nalirudisha rasmi kama una something to add poa mkuu...

Nilshangazwa kumbe ndugu Ballali inawezekana yuko hai mkuu?
 
G8 wana madudu mengi sana ambayo siku God Father siku akidondoka, watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria (bila uonevu). Vinginevyo kupitia God Father, kwa sasa, wao ndio wameshikilia sheria, na wao ndio wameshikilia TISS, ingawa mapambano dhidi yao yanaendelea.

si mbali sana na ndio maana nikamwambia huyu FP juzi kama sio jana kuwa wacha akae huko ELairline first class lakini ajue kabisa kuwa hata majivu yao hayataonekana...
 
Kuhusu Profesa ni tetesi kwamba alikutana na Marehemu aliyehai kwenye shopping Mall katika nchi moja, alipoenda kwenye semina, na haikuwa Marekani. Profesa akapiga simu nyumbani kuelezea tukio hilo, na yakatokea yaliyotokea. Hizi ni tetesi lakini, hazina uthibitisho.
Mkuu Edson jibu lako ni similar na hii?
 
Nimeamini JF imekamilika. Watu wanachambua na kudadavua kama vile hawana akili nzuri. Mnatisha watu wangu.
 
Mkuu Edson jibu lako ni similar na hii?

yap jibu ni hilo lakini kwa kuongeza tu ni kwamba ile simu aliyopiga alipiga kwa makam mkuu wa chuo kikuu (udsm) na huyu akalipeleka kwa jk.......unakumbuka siku jk anamtangaza mgombea mwenza? (bilal) ..unakumbuka maneno yaliyotangulia kabla ya kumtangaza mgombea mwenza juu ya kunyamazisha wale wote wanaopingana kuchafua usalama ?.....maneno yale yalkuwa yakimlenga prof....na hakuchukua mda mzee wa watu..
 
Hao jamaa inaelekea hawajui mahali Ballali yuko, otherwise wangeshammaliza, tuombe Mungu ajitokeze kabla hawajamalizia huko aliko mkuu.
 
Hao jamaa inaelekea hawajui mahali Ballali yuko, otherwise wangeshammaliza, tuombe Mungu ajitokeze kabla hawajamalizia huko aliko mkuu.

wanajua sana ...vijana 3 mahili wa kukamilisha kazi ili kumpoteza jumla wameshaandaliwa maana amekiuka masharti..anajiachia sana na wengi wanamwona...deadline yake iko karibu...
 
wanajua sana ...vijana 3 mahili wa kukamilisha kazi ili kumpoteza jumla wameshaandaliwa maana amekiuka masharti..anajiachia sana na wengi wanamwona...deadline yake iko karibu...
Itakuwa ni uzembe wa karne kama wakimpata na kummaliza...

Kwanini ajiachie kizembe bana? Calculations zake siyo nzuri hata kidogo, what if wakimpa enough money to remain where he is?

Ninacho wish ni kwamba kati ya wanaojuwa aliko, tuombe Mungu tu kuwepo na wazalendo...

Je huyu mtu yeye binafsi alikuwa mzalendo?

Time will tell...
 
Sawa. Mimi nachofanya ni kutoa taarifa tu, sio zaidi ya hapo.
Mkuu Mtoahabari achana na huyo FP....we endelea kutumwagia nondo zako zinazobezi ktk ukweli wa mambo.
Huyo FP yeye ameng'ang'ania kusema EL ni kipenzi chake na lazima atakuwa Rais wa 5 wa TZ na ni ni chaguo la mungu.
Ukimuuliza basi funguka kuhusu EL' anachokuambia akieleweki zaidi zaidi atakuambia karibu kwenye airline yetu basi.
 
wanajua sana ...vijana 3 mahili wa kukamilisha kazi ili kumpoteza jumla wameshaandaliwa maana amekiuka masharti..anajiachia sana na wengi wanamwona...deadline yake iko karibu...

...nadhani itakuwa ni muendelezo baada ya kumaliza kazi wtapotezwa pia.
 
Nimeamini JF imekamilika. Watu wanachambua na kudadavua kama vile hawana akili nzuri. Mnatisha watu wangu.
Alaa kumbe ulikuwa hujui....JF siyo mchezo hapa kuna vichwa vilivyoenda shule na vikaelimika! kuanzia upeo hadi kwenye mahoja.
Mimi na wewe siyo lazima tucoment tunaweza kuwa wasomaji tu na tukaelimika kupitia mijadala husika kama uzi huu hapa. So karibu
sana mkuu!
 
Back
Top Bottom