Hata mdogo wake aliye jeshini ni mtu wa Lowassa.Lau Masha ni mtu wa ENL mpaka kaburini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mdogo wake aliye jeshini ni mtu wa Lowassa.Lau Masha ni mtu wa ENL mpaka kaburini.
Lau yupo popote pale atakapoelekezwa na ENL. Historia fupi ya Lau na familia: Mzazi Lau (Masha Senior), alikuwa ni mmoja wa wasaidizi wa Mwalimu wakati wa kutafuta uhuru, lakini baadae alikuja kuwa sehemu ya timu iliyokula njama kumhujumu Mwalimu, akabahatika kutoroka nchi kupitia Kenya, na kwenda Marekani (NY), huku wenzake wakitiwa kizuizini. Kutokana na elimu yake nzuri, alipata kazi nzuri sana Umoja wa Mataifa, NY. Na katika maisha yake mapya ukimbizini, aliapia kwamba ipo siku atarudi Tanzania na wanae watakuja kutawala Tanzania, hivyo, akawaandaa kufanikisa hilo. Lau na nduguze waliishi vizuri sana huko New Rochelle, nje kidogo ya jiji la New York, na kupelekewa shule nzuri sana nchini marekani. Baadae hali ya kisiasa ilipobadilika Tanzania, Masha Senior alirudi na wanae Tanzania ili kuja kutimiza ndoto yake. Lau akaingia kwenye uwakili kwa malengo ya kisiasa, huku mdogo wake akaingia jeshini (JWTZ). Mdogo wa Lau ni msomi mzuri wa Chuo maarufu sana cha kijeshi nchini Marekani kinachoitwa West Point College. Pia ana Masters kutoka University of Westminster Uingereza. Lakini cha ajabu, aliporudi Tanzania, akajiunga moja kwa moja na jeshi kama kuruta. Hivi sasa amepanda cheo na kuwa Kanali Masha.
IMMA advocate ilipoanzishwa, iliwavutia mtandao original na wakaanza kuitumia kwa shughuli zao mbli mbali. IMMA pia wakamwahidi JK kwamba watamsomesha Ridhiwani Degree ya Sheria Uingereza bure, na kumwajiri. Walimpeleka Ridhiwani Uingereza kama walivyoahidi, akafeli katikat chuo cha kwanza, akapelekwa cha pili, napo huko akafeli. Sifa zake za elimu hapa Tanzania, pamoja na uwakili wake wa mahakama kuu ni wa kiujanja ujanja, wakufanyiwa mipango pamoja na mitihani na IMMA advocate. Ingawa Bado Ridhiwani ana ukaribu wa kikazi na IMMA, lakini hawapo nae tena kiroho, na hawamtaki, na wameapia kumvua nguo muda utakaporuhusu. Hii inatokana na tofauti zilizojitokeza baina ya God Father wa IMMA (ENL) na Baba mzazi wa Ridhiwani, huku Ridhiwani na yeye akipiga vijembe vya chini kwa chini.
Nilipotoa tahadhari hapo awali kuhusu mazungumzo juu ya ENL huko kwenye mabaa ni kwamba, vijana wote wa mjini wenye akili zao timamu, elimu nzuri, na pesa zao, kama wale wanaojiita G8, na wengineo wengi, wote wapo upande wa ENL, na wapo vitani na wote wale watakaothubutu kuchafua hali ya hewa juu ya God Father. Iwe ni kwenye mabaa, gesti, mahoteli makubwa kwa madogo, gymkhana, maeneo ya starehe ufukweni, au popote pale, vijana hawa wapo kazini, masikio yao ni marefu na mikono yao kunyamazisha maadui, ni mirefu zaidi, kuliko ile iliyopo ndani ya Ghorofa jipya la TISS, Ostabei.
TISS haina nguvu zaidi ya umma, hakuna kilichokuwa na nguvu zaidi ya UMMA katika taifa lolote lile. Abdulla Al Senussi alikuwa Chief of Intelligence wa Ghadafi, yu wapi leo?
Ngoja nami nisisitize kama alivyokuwa akisisitiza Iddi Amin..........."and ZIS IS VERI IMPORTANT!"
tatizo lako ni moja tu ..''lack of power from within and cpativity of negativity''...hapo ulipo unatawaliwa na ''power of disguise'' na ndio maana unasema hii habari ni mazingaombwe.....masaa 3 umeyamaliza kwa kusoma mazingaombwe???!! hukuwahi kuyajua haya....hukutegemea kama kuna haya....umetolewa porini na kuletwa barabarani sasa unashangaa tu na kuona ni mazinagaombwe.....jiamini iatakusaidia sanaDuh, hii thread niliignore ilipoanza. Leo imenipotezea masaa karibu matatu kuipitia. Naona mlta hoja na na huyu bwana mtoahabari ni mtu yuleyuel. Mtoa habari anavyoandika inaonekana kabisa kuwa siyo mgeni humu ila kaamua kutumia hilo jina kwenye hii thread kwa malengo yake. Baada ya hii thread hatutamuona tena, kwani atarudia identity yake.
Kwa mtizamo huo, naona kinachoendelea hapa ni mazingaobwe tu!!!
I was thinking the same......nadhani itakuwa ni muendelezo baada ya kumaliza kazi wtapotezwa pia.
Mkuu Mr Zero, hivi waliyekuwa wakimwita Mr Zero ni Sumaye?Duh, hii thread niliignore ilipoanza. Leo imenipotezea masaa karibu matatu kuipitia. Naona mlta hoja na na huyu bwana mtoahabari ni mtu yuleyuel. Mtoa habari anavyoandika inaonekana kabisa kuwa siyo mgeni humu ila kaamua kutumia hilo jina kwenye hii thread kwa malengo yake. Baada ya hii thread hatutamuona tena, kwani atarudia identity yake.
Kwa mtizamo huo, naona kinachoendelea hapa ni mazingaobwe tu!!!
Kuhusu Profesa ni tetesi kwamba alikutana na Marehemu aliyehai kwenye shopping Mall katika nchi moja, alipoenda kwenye semina, na haikuwa Marekani. Profesa akapiga simu nyumbani kuelezea tukio hilo, na yakatokea yaliyotokea. Hizi ni tetesi lakini, hazina uthibitisho.
prof mwaikusa aliuwawa na watu wa paul kagame kutokana na "ukaidi' wake wa kumtetea mfanyabiashara mkubwa wa rwanda ya rais Habyarimana Yusuf Munyakazi kiasi cha kufanikiwa kuzuia mfanyabiashara huyo kurejeshwa rwanda ili akahukumiwe rwanda kama alivyotaka kagame,katika utetezi wake prof alijenga hoja kwamba mteja wake (Yusuf Munyakazi) kama kesi yake ikihamishiwa rwanda hatapata fair trial,kufuatia ushawishi wa serikali ya Rwanda kwa prof mwaikusa kukwama ndipo vikaanza vitisho na badae mauaji yale kutokea...na Ushahidi wa hili upo wazi, Prof Peter Erlinder kama mnakumbuka aliomba kuwasilisha utetezi wake kwa wateja anaowawakilisha kwenye mahakama ya kimataifa ya Rwanda kwa kupitia picha za video yaani 'video conference'.
Katika kutilia nguvu omba lake hilo alisema usalama wake ungekua mashakani kama angekuwapo mahakamani Arusha kimwili kwa kuwa Serikali ya Rwanda inatekeleza mpango wa kuwaua watetezi wote wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari. Profesa Peter ambaye ni mwanasheria wa Kimarekani alienda mbali zaidi kwa kusema hataki yampate yaliyompata mwanasheria mwenzie Profesa Juani Mwaikusa..!
Kuhusu TETESI za Balali kuonekana kwenye mall mimi simo.
Lau yupo popote pale atakapoelekezwa na ENL. Historia fupi ya Lau na familia: Mzazi Lau (Masha Senior), alikuwa ni mmoja wa wasaidizi wa Mwalimu wakati wa kutafuta uhuru, lakini baadae alikuja kuwa sehemu ya timu iliyokula njama kumhujumu Mwalimu, akabahatika kutoroka nchi kupitia Kenya, na kwenda Marekani (NY), huku wenzake wakitiwa kizuizini. Kutokana na elimu yake nzuri, alipata kazi nzuri sana Umoja wa Mataifa, NY. Na katika maisha yake mapya ukimbizini, aliapia kwamba ipo siku atarudi Tanzania na wanae watakuja kutawala Tanzania, hivyo, akawaandaa kufanikisa hilo. Lau na nduguze waliishi vizuri sana huko New Rochelle, nje kidogo ya jiji la New York, na kupelekewa shule nzuri sana nchini marekani. Baadae hali ya kisiasa ilipobadilika Tanzania, Masha Senior alirudi na wanae Tanzania ili kuja kutimiza ndoto yake. Lau akaingia kwenye uwakili kwa malengo ya kisiasa, huku mdogo wake akaingia jeshini (JWTZ). Mdogo wa Lau ni msomi mzuri wa Chuo maarufu sana cha kijeshi nchini Marekani kinachoitwa West Point College. Pia ana Masters kutoka University of Westminster Uingereza. Lakini cha ajabu, aliporudi Tanzania, akajiunga moja kwa moja na jeshi kama kuruta. Hivi sasa amepanda cheo na kuwa Kanali Masha.
IMMA advocate ilipoanzishwa, iliwavutia mtandao original na wakaanza kuitumia kwa shughuli zao mbli mbali. IMMA pia wakamwahidi JK kwamba watamsomesha Ridhiwani Degree ya Sheria Uingereza bure, na kumwajiri. Walimpeleka Ridhiwani Uingereza kama walivyoahidi, akafeli katikat chuo cha kwanza, akapelekwa cha pili, napo huko akafeli. Sifa zake za elimu hapa Tanzania, pamoja na uwakili wake wa mahakama kuu ni wa kiujanja ujanja, wakufanyiwa mipango pamoja na mitihani na IMMA advocate. Ingawa Bado Ridhiwani ana ukaribu wa kikazi na IMMA, lakini hawapo nae tena kiroho, na hawamtaki, na wameapia kumvua nguo muda utakaporuhusu. Hii inatokana na tofauti zilizojitokeza baina ya God Father wa IMMA (ENL) na Baba mzazi wa Ridhiwani, huku Ridhiwani na yeye akipiga vijembe vya chini kwa chini.
Nilipotoa tahadhari hapo awali kuhusu mazungumzo juu ya ENL huko kwenye mabaa ni kwamba, vijana wote wa mjini wenye akili zao timamu, elimu nzuri, na pesa zao, kama wale wanaojiita G8, na wengineo wengi, wote wapo upande wa ENL, na wapo vitani na wote wale watakaothubutu kuchafua hali ya hewa juu ya God Father. Iwe ni kwenye mabaa, gesti, mahoteli makubwa kwa madogo, gymkhana, maeneo ya starehe ufukweni, au popote pale, vijana hawa wapo kazini, masikio yao ni marefu na mikono yao kunyamazisha maadui, ni mirefu zaidi, kuliko ile iliyopo ndani ya Ghorofa jipya la TISS, Ostabei.
prof mwaikusa aliuwawa na watu wa paul kagame kutokana na "ukaidi' wake wa kumtetea mfanyabiashara mkubwa wa rwanda ya rais Habyarimana Yusuf Munyakazi kiasi cha kufanikiwa kuzuia mfanyabiashara huyo kurejeshwa rwanda ili akahukumiwe rwanda kama alivyotaka kagame,katika utetezi wake prof alijenga hoja kwamba mteja wake (Yusuf Munyakazi) kama kesi yake ikihamishiwa rwanda hatapata fair trial,kufuatia ushawishi wa serikali ya Rwanda kwa prof mwaikusa kukwama ndipo vikaanza vitisho na badae mauaji yale kutokea...na Ushahidi wa hili upo wazi, Prof Peter Erlinder kama mnakumbuka aliomba kuwasilisha utetezi wake kwa wateja anaowawakilisha kwenye mahakama ya kimataifa ya Rwanda kwa kupitia picha za video yaani 'video conference'.
Katika kutilia nguvu omba lake hilo alisema usalama wake ungekua mashakani kama angekuwapo mahakamani Arusha kimwili kwa kuwa Serikali ya Rwanda inatekeleza mpango wa kuwaua watetezi wote wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari. Profesa Peter ambaye ni mwanasheria wa Kimarekani alienda mbali zaidi kwa kusema hataki yampate yaliyompata mwanasheria mwenzie Profesa Juani Mwaikusa..!
Kuhusu TETESI za Balali kuonekana kwenye mall mimi simo.
Huu ni uongo na ni vitisho vya kitoto,eti G8 hii nchi yetu inakoelekea na hizi propaganda sijui mwisho wake ila kiufupi mimi club ntaenda na lowassa ntaendelea kusema hatufai na yeye mwenyewe kila nitakapokutana nae akileta majisisifu yake kama kawaida yake akishakunywa whisky ntamwambia hafai kuwa rais,halafu nione hao G8 kwa kumuogopa kisa ....brother
Sawa. Mimi nachofanya ni kutoa taarifa tu, sio zaidi ya hapo.
Za Rwanda nazo ni tetesi, kama zilivyo tetesi za huko Mall Nepal.
G8 si ya kupuuza! Mtajua system ikibadilika,Mtoa habari amefanya niamini hii kitu niliyokuwa naambiwa naona za vijiweni hizi!
Mkuu kwa mnyonge mie ndio maana natumia jina feki hapa(hata wewe vile vile!).hao wapambe Godfather wao Lowasa! Mie hata dhamana itabidi aje mjomba wangu muuza Mbandule kule Nyarutunguru kuokoa jahazi!kwa hiyo na wewe umeingia kwenye mtego wa hizi habari alizopewa mtoa habari azilete hapa na sio kwingine,so kweli utaacha kutoa mawazo yako huru na kuamua kudumisha fikra za mwenyekiti lowassa kwa kuliogopa hilo genge la walevi wachumia tumbo wanaojipendekeza kwa lowassa ili aje kuwapa tender kama atashinda?
taarifa zako zimejaa vitisho unajaribu ku create fear ili watu wasimjadili lowassa kwa kuwaogopa kina davis mosha,we kama unawaogopa shauri yako kaka,lakini kiukweli hawana lolote wale ni misifa jazz band,huyo lowassa mwenyewe pengine wanazisikia tu habari zake,wadau niwaambie kitu kwanza hakuna mtu muoga kama lowassa,mnajua kwanini siku hizi ananywea whisky zake nyumbani wakati alikua member mwenzetu mzuri tu kwenye kikao chetu cha jioni?anadai eti ana maadui wengi nae anaogopa kuuawawa kama huyu jamaa anaetuletea taarifa anavyotaka na sisi tuogope tuanze kunywea vyumbani kama jamaa!nyie endeleeni kusikiliza hivyo vitisho visivyokuwepo,taarifa za huyu jamaa zinataka kuwanyang'anya uhuru wenu wazee wenu walioudai kutoka kwa muingereza kwa niaba yenu,mtoa taarifa waambie waliokupa hizi taarifa wanadhani zinaweza kumtisha mtu kama jenerali ulimwengu,ami mpungwe,kleist sykes,wendo mwapachu n.k.,muulize lowassa,kwanini siku hizi haji club?mbona chenge anakuja?