Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Hii bana imeleak na tumeipata hebu endelea tufaidi vituko vya hawa mabwanyenye.
 
Nilipotoa tahadhari hapo awali kuhusu mazungumzo juu ya ENL huko kwenye mabaa ni kwamba, vijana wote wa mjini wenye akili zao timamu, elimu nzuri, na pesa zao, kama wale wanaojiita G8, na wengineo wengi, wote wapo upande wa ENL, na wapo vitani na wote wale watakaothubutu kuchafua hali ya hewa juu ya God Father. Iwe ni kwenye mabaa, gesti, mahoteli makubwa kwa madogo, gymkhana, maeneo ya starehe ufukweni, au popote pale, vijana hawa wapo kazini, masikio yao ni marefu na mikono yao kunyamazisha maadui, ni mirefu zaidi, kuliko ile iliyopo ndani ya Ghorofa jipya la TISS, Ostabei.

Huu ni uongo na ni vitisho vya kitoto,eti G8 hii nchi yetu inakoelekea na hizi propaganda sijui mwisho wake ila kiufupi mimi club ntaenda na lowassa ntaendelea kusema hatufai na yeye mwenyewe kila nitakapokutana nae akileta majisisifu yake kama kawaida yake akishakunywa whisky ntamwambia hafai kuwa rais,halafu nione hao G8 Sijui nani watakachofanya,yani mimi mtu kama Davis Mosha kaja mjini hapa namuona eti nishindwe kutoa mawazo kwa kumuogopa kisa G8..mavi ya kuku,yani brother kidogo nilikua nakuamini ila ulipowataja hao walevi wakuja hapa mjini G8 Nimekuteremsha zaidi bora ungeendelea na hadithi zako za kwenye corridor za tiss!

Kuhusu ridhiwani na pia miraji hawakupelekwa kusoma nje na IMMMA!hii sio kweli aliyewapeleka hao watoto na kujaribu kuwasomesha alikua ni James Sinclair,na huyo ridhiwani alikua anakaa nyumbani kwa huyo mzungu mpaka baadae alipomwambia baba yake kwamba hataki kuishi na mbwa ndani (unajua wazungu na mbwa tena)ndipo huyo mzungu alipoamua kumlipia apartments!! sio lau wala ishengoma brother
Hivi jamani munaweza kutueleza wanafananaje hao watu wako wapi club zipi utawajuaje kwa kweli napenda nwajuwe hawa making makers
 
Nimerudi toka hapo muda si mrefu,nini kinachokufanya uamini ni yeye labda?
Mbona wewe unataka watu waamini tetesi za wanyarwanda? Si afadhali mimi niliyekuletea ushahidi wa twiter?Hata kama si kweli bado haijakanushwa.

BTW amezikana hii picha "za mazishi" na kudai ni fake...

7pagxj

7pafgo
 
Sawa. Mimi nachofanya ni kutoa taarifa tu, sio zaidi ya hapo.
Mtoahabari, wewe endelea tuu zaidi kutoa habari, nakuhakikishia ni wengi zaidi humu jamvini tunaothamini habari zako na umeishajijengea heshima kubwa. Hivyo endeleza kazi hii nzuri ya kutuhabarisha, safari ya ukombozi ni ndefu, na kwenye msafara wa mamba, na kenge wapo!. Nakuomba uwapuuze wanaokukejeli, kuna wengine ukiwasoma machoni utadhani ni wazima, ili ukiwasoma zaidi ndipo utagundua si wazima hao, kuwa vichaa sio lazima mpaka waokote makopo!.
 
Nchi hii sasa inatisha.Tuhame faster!!!
wala usiogope hizi ni propaganda tu hamna lolote,mleta mada alimuandalia mazingira jamaa aje atoe habari,ni strategy lakini ili kuielewa inabidi utumie akili kidogo...ila huyu ni mkali kuliko kina wale wawili watatu tuliowazoea kuichezesha jf ngoma ya lowassa,huyu amejipanga na sidhani kama alipanga peke yake,it seems ni jopo lililokaa haswa,unajua hii pamoja na kuwa na watu elfu sita lakini inaogopwa sana na bwana mkubwa asiwaambie mtu,zipo jitihada za makusudi zimekuwa zikisukwa bila mafanikio kujaribu kubadili muelekeo humu ndani before uchaguzi mkuu wa ccm,hili ninalijua na nina uhakika nalo na aliyekabidhiwa jukumu hilo namfahamu sawasawa,ni mwanafunzi wa zamani wa ununio zamani akiijiita mbongo hapa lakini ukimtazama haonekani kuwa hivyo!
 
Mbona wewe unataka watu waamini tetesi za wanyarwanda? Si afadhali mimi niliyekuletea ushahidi wa twiter?Hata kama si kweli bado haijakanushwa.

BTW amezikana hii picha "za mazishi" na kudai ni fake...

7pagxj

7pafgo

Hakuna hata mstari mmoja niliokutaka wewe au yeyote aamini maandishi yangu,siko hapa kwa sababu hiyo,ila wapo wa hivyo,nao ni mapenzi yao kuwa hivyo,mimi si mmoja wao,ila panapo upotoshaji usiovumilika huwa nashindwa kujizuia,inabidi mnivumilie ndio maumbile yangu,sikupenda niwe hivyo bali imetokea,hata wewe pengine hukupenda uwe hivyo lakini ndio maumbile yako...balali akiwa hai tutajua tu
 
Tetesi nyingine ni kwamba, huyu mheshimiwa anafanya ule mchezo mchafu, ile dhambi kuu mbele ya mwenyezi mungu na rafiki yake na mpiganaji wake, yule kijana (PS), mwakilishi wa wananchi kutoka jimbo moja wapo kule kanda ya ziwa Tanganyika. Tukiwa Dodoma, kuna wakati fulani, wenzetu ambao ni wafanyakazi mahotelini, walitoa taarifa kwa wenzao wengine (sio ofisini), jinsi gani waheshimiwa wawili hawa walivyokuwa wanatembeleana nyakati za usiku vyumbani wakiwa na soksi na kaptura za kulalia tu. Taarifa hizi zinapelekea wengi wetu kuamini ule msemo kwamba ukishakuwa na utajiri wa kupitiliza, maovu kama yale sio ajabu kuyatenda. Lakini hizi nazo ni tetesi, hazina uthibitisho.
 
mtoahabari tafadhali endelea kutoa habari.

Hutaki unaacha, nadhani ni wakati wa part 2 sasa...
 
Tetesi nyingine ni kwamba, huyu mheshimiwa anafanya ule mchezo mchafu, ile dhambi kuu mbele ya mwenyezi mungu na rafiki yake na mpiganaji wake, yule kijana (PS), mwakilishi wa wananchi kutoka jimbo moja wapo kule kanda ya ziwa Tanganyika. Tukiwa Dodoma, kuna wakati fulani, wenzetu ambao ni wafanyakazi mahotelini, walitoa taarifa kwa wenzao wengine (sio ofisini), jinsi gani waheshimiwa wawili hawa walivyokuwa wanatembeleana nyakati za usiku vyumbani wakiwa na soksi na kaptura za kulalia tu. Taarifa hizi zinapelekea wengi wetu kuamini ule msemo kwamba ukishakuwa na utajiri wa kupitiliza, maovu kama yale sio ajabu kuyatenda. Lakini hizi nazo ni tetesi, hazina uthibitisho.

Goooooood !!!!!!!!!! To me nimekukubali HU siitaji tena ushuhuda manake hii ndiyo iliyokuwa inaniumiza kichwa sasa umeifumua nimepigia mstari kamanda nasalute.GOD BLESS YOU HAKIKA NA MWENYE MASIKIO NA MACHO UJUMBE NDIO HUO.
 
mwee, hii sasa khtari
Tetesi nyingine ni kwamba, huyu mheshimiwa anafanya ule mchezo mchafu, ile dhambi kuu mbele ya mwenyezi mungu na rafiki yake na mpiganaji wake, yule kijana (PS), mwakilishi wa wananchi kutoka jimbo moja wapo kule kanda ya ziwa Tanganyika. Tukiwa Dodoma, kuna wakati fulani, wenzetu ambao ni wafanyakazi mahotelini, walitoa taarifa kwa wenzao wengine (sio ofisini), jinsi gani waheshimiwa wawili hawa walivyokuwa wanatembeleana nyakati za usiku vyumbani wakiwa na soksi na kaptura za kulalia tu. Taarifa hizi zinapelekea wengi wetu kuamini ule msemo kwamba ukishakuwa na utajiri wa kupitiliza, maovu kama yale sio ajabu kuyatenda. Lakini hizi nazo ni tetesi, hazina uthibitisho.
 
Hivi jamani munaweza kutueleza wanafananaje hao watu wako wapi club zipi utawajuaje kwa kweli napenda nwajuwe hawa making makers
ndugu yangu wee hiko kitu hakipo ni kivuli chako mwenyewe tu...yani hata wewe leo ukilewa unaweza kusimama pale bar unapokunywa na kudai yeyote atakayemsema vibaya lowassa kuanzia leo ajiangalie,ni kauli ya kilevi tu lakini kuna watu hapo bar nao wanaweza kuichukulia serious wakaenda kuisema kwingine na hao wa kwingine wakaipeleka mbele zaidi kesho yake ukiwa huna pombe kichwani ukaisikia na wewe tena kwa mtu mwingine na wewe mwenyewe ulieianzisha ukaanza kuiamini na kuingiwa na hofu then ukaendelea kuisambaza hiyo hofu kwa wengine zaidi matokeo yake nchi nzima ikajikuta inatawaliwa nahofu uliyoianzisha wewe ukiwa bar umelewa!that's it!
 
kuna uongo mwingi sana hapa zaidi ya ukweli.............very interesting to read..........kwa wale waliokuwepo hapa JF muda mrefu watanielewa............the good thing ni kuwa.........."ONLY TIME WILL TELL"
 
ningependa kujua ugomvi wake na Jenerali ulikuwa kuhusu personal issues au political issues?????
 
ndugu yangu wee hiko kitu hakipo ni kivuli chako mwenyewe tu...yani hata wewe leo ukilewa unaweza kusimama pale bar unapokunywa na kudai yeyote atakayemsema vibaya lowassa kuanzia leo ajiangalie,ni kauli ya kilevi tu lakini kuna watu hapo bar nao wanaweza kuichukulia serious wakaenda kuisema kwingine na hao wa kwingine wakaipeleka mbele zaidi kesho yake ukiwa huna pombe kichwani ukaisikia na wewe tena kwa mtu mwingine na wewe mwenyewe ulieianzisha ukaanza kuiamini na kuingiwa na hofu then ukaendelea kuisambaza hiyo hofu kwa wengine zaidi matokeo yake nchi nzima ikajikuta inatawaliwa nahofu uliyoianzisha wewe ukiwa bar umelewa!that's it!

aaaaaa hahahahahahahahah..........aaaa kwi kwi kwi kwi kwi...........dah Mkuu heshima mbele.........
 
Tetesi nyingine ni kwamba, huyu mheshimiwa anafanya ule mchezo mchafu, ile dhambi kuu mbele ya mwenyezi mungu na rafiki yake na mpiganaji wake, yule kijana (PS), mwakilishi wa wananchi kutoka jimbo moja wapo kule kanda ya ziwa Tanganyika. Tukiwa Dodoma, kuna wakati fulani, wenzetu ambao ni wafanyakazi mahotelini, walitoa taarifa kwa wenzao wengine (sio ofisini), jinsi gani waheshimiwa wawili hawa walivyokuwa wanatembeleana nyakati za usiku vyumbani wakiwa na soksi na kaptura za kulalia tu. Taarifa hizi zinapelekea wengi wetu kuamini ule msemo kwamba ukishakuwa na utajiri wa kupitiliza, maovu kama yale sio ajabu kuyatenda. Lakini hizi nazo ni tetesi, hazina uthibitisho.

Hii ni kweli,huyo kijana nae ni member mwenzetu pale club japo huwa sipendi ku urge nae....
 
Tetesi nyingine ni kwamba, huyu mheshimiwa anafanya ule mchezo mchafu, ile dhambi kuu mbele ya mwenyezi mungu na rafiki yake na mpiganaji wake, yule kijana (PS), mwakilishi wa wananchi kutoka jimbo moja wapo kule kanda ya ziwa Tanganyika. Tukiwa Dodoma, kuna wakati fulani, wenzetu ambao ni wafanyakazi mahotelini, walitoa taarifa kwa wenzao wengine (sio ofisini), jinsi gani waheshimiwa wawili hawa walivyokuwa wanatembeleana nyakati za usiku vyumbani wakiwa na soksi na kaptura za kulalia tu. Taarifa hizi zinapelekea wengi wetu kuamini ule msemo kwamba ukishakuwa na utajiri wa kupitiliza, maovu kama yale sio ajabu kuyatenda. Lakini hizi nazo ni tetesi, hazina uthibitisho.
Hilo nilishasikia lakini kwa mjamaamwingine duh atakuwa kama Raisi Banana wa Zimbwabwe
 
Back
Top Bottom