Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Mtoa habari sio kabla ya kuingia Ohio? Ukumbi ambao pia harusi zinafanyikia hapo? Kushoto ya kuingia serena ukitokea salender?

Haswaa. Harusi ni upande wa kushoto, Bar ipo upande wa kulia kwa mbele kidogo, ndani ya uzio huo huo. Pale kuingia ni lazima uwe member, kwani kuna mambo makubwa sana yanajadiliwa na kutendeka mle. Lifetime members ni kina Mkono, Mahanga, vijana na wazee wote wa ENL, Freeman Mbowe na kundi lake, wote wanajumuika kama familia moja, kabla ya kutawanyika kwenda kuwa familia na vyama tofauti kwenye jamii.
 
There you are, pamejificha sana na ndipo utakuta wazee wetu na wakijiachia na vibinti vidogo kuliko watoto wao bila aibu!.
 
Pasco said:

Damn! Na hii si tetesi...
 
pEteR anaponzwa na kimbele mbele chake,japo ni kweli bwana mkubwa ndie aliemtoa lakini that is too much,hata wenzake huko kwenye genge lao wanamsema vibaya sana kuhusu uhusiono usiokuwa wa kawaida na bwana mkubwa,too much,ni zaidi ya mtu na boss wake,na wakifanikiwa kuchukua nchi wale vijana pale watavuragana ile mbaya,maana kila mmoja anataka yeye ndio awe karibu na bwana mkubwa,P nyota yake inaonekana kung'aa zaidi..
 
Hapana, sio salender, naongelea Legend, imejificha sana na ni kwa members peke yake. Ipo upande wa kushoto, barabara kuu,kama unatokea palm beach kuelekea mjini. Ipo upande wa kushoto, ukishavuka Jengo la Zamani la TCRA/Las vegas Casino, kama mita 70 hivi kutoka kwenye kona/mataa ya kuingilia Mtaa wa Ohio/Movenpick.
Naomba kumsaidia mwenye dukuduku la kuifahamu; inaitwa British Club. ili kuingia unaingilia lango la kanisa la Greek Orthodox pale Msalaba kisha unapida kulia unakatiza mbele ya hall ya Parthenon (inatumiwa sana kwa harusi siku hizi) kisha unaizunguka kwa nyuma unaikuta hiyo club imezingwa kwa miti na maua. Si rahisi kuifahamu ama kuivumbua kama si mdadisi....
 
pEteR anaponzwa na kimbele mbele chake,japo ni kweli bwana mkubwa ndie aliemtoa lakini that is too much,hata wenzake huko kwenye genge lao wanamsema vibaya sana kuhusu uhusiono usiokuwa wa kawaida na bwana mkubwa,too much,ni zaidi ya mtu na boss wake,na wakifanikiwa kuchukua nchi wale vijana pale watavuragana ile mbaya,maana kila mmoja anataka yeye ndio awe karibu na bwana mkubwa,P nyota yake inaonekana kung'aa zaidi..

Ni mbunge wa kwanza katika historia ya jumuiya ya madola kuwa private secretary wa mbunge mwenzie.
 
What happened mkuu?
Siku ya kwanza nilipelekwa na member, siku ya pili nikajiendea mwenyewe, wanakuona kama sio mwenzao, you don't belong!. Kwa mfano wewe kama ni mtu wa kujichanganya hivi vibaa vya uswazi, siku ukizikamata, hebu nenda kanywee ile bar pale Kempinski, utawakuta wabongo of a certain class, hata ukijikalia counter ili ujichanganye, utaishia kujistukia hauchanganyiki!. Ile Tanzania Nyerere aliyoiacha ya Classless society haipo tena!, sasa ni silent classes za wenye nacho na wasio nacho!.
 
Kuna member humu ndani aliyemtokea mtoto wao na gx100 akatolewa nishai, akaambiwa si lolote si chochote kwasababu demu yeye alienda na jeep versio2010 lol!
 
Siku ya kwanza nilipelekwa na member, siku ya pili nikajiendea mwenyewe, wanakuona kama sio mwenzao, you don't belong!. Kwa mfano wewe kama ni mtu wa kujichanganya hivi vibaa vya uswazi, siku ukizikamata, hebu nenda kanywee ile bar pale Kempinski, utawakuta wabongo of a certain class, hata ukijikalia counter ili ujichanganye, utaishia kujistukia hauchanganyiki!. Ile Tanzania Nyerere aliyoiacha ya Classless society haipo tena!, sasa ni silent classes za wenye nacho na wasio nacho!.

utajichanganya vipi kwa siku chache aisee.....inabidi uwe muendaji consistently...........

kwenye clubs mbali mbali (and I mean club) kuna commitments zake kwa members......sasa wewe ukijiendea kwa siku chache au kwa kualikwa lazima utajisikia/ujisikie mgeni.........
 
ndugu yangu wee hiko kitu hakipo ni kivuli chako mwenyewe tu...yani hata wewe leo ukilewa unaweza kusimama pale bar unapokunywa na kudai yeyote atakayemsema vibaya lowassa kuanzia leo ajiangalie,ni kauli ya kilevi tu lakini kuna watu hapo bar nao wanaweza kuichukulia serious wakaenda kuisema kwingine na hao wa kwingine wakaipeleka mbele zaidi kesho yake ukiwa huna pombe kichwani ukaisikia na wewe tena kwa mtu mwingine na wewe mwenyewe ulieianzisha ukaanza kuiamini na kuingiwa na hofu then ukaendelea kuisambaza hiyo hofu kwa wengine zaidi matokeo yake nchi nzima ikajikuta inatawaliwa nahofu uliyoianzisha wewe ukiwa bar umelewa!that's it!

.. Baada ya kufuatilia mjadala toka mwanzo, sasa naweza kusema pasi shaka kwamba unabisha ili ueleweshwe. Unataka upate habari zaidi na zaidi. Good trick!
 
it sounds good to me..
 
utajichanganya vipi kwa siku chache aisee.....inabidi uwe muendaji consistently...........

kwenye clubs mbali mbali (and I mean club) kuna commitments zake kwa members......sasa wewe ukijiendea kwa siku chache au kwa kualikwa lazima utajisikia/ujisikie mgeni.........

Hauna haja ya kujisikia mpweke. Cha kufanya uheshimike, lipa ada yao ya mwaka, ambayo ni kubwa sana, kitu kama laki tano au milioni moja. Pili, jitengenezee mazingira upate cheo serikalini au kwenye taasisi kubwa au nyeti nchini, na kama hilo haliwezekani, ongeza juhudi uwe mjasiriamali ili uwe na uwezo mzuri wa fedha utakaokupa heshima mbele ya wanachama wenzako. Ukifanikiwa kufanya hayo, taratibu utaanza kualikwa kwenye hafla zao za usiku wa manane huko kwenye nyumba za kukodi maeneo ya Mbezi, na kusubur Toyota Hiace iwaletee mabinti wa boarding sekondari, lakini sana sana mabinti wa vyuo vyetu vikuu, kisha muwachezee watoto wa watu, huku mkiwa mnatembea uchi wa mnyama na vilevi vyenu mikononi, mkibadilishana binti kwa binti na kusisitiza sera ya uwazi, sio sera ya wivu, huku pia mkiwalazimisha watoto wa watu wafanye ngono wao kwa wao nyie mkipiga makofi na miluzi, mkiongozwa na 'prince to be', Fred Edward Ngoyai Lowassa na kundi lake, kisha kuwarudisha watoto wa watu kabla ya jua kuchomoza, kwa hiace mliyokodi, wakiwa wamelewa, na wachovu, bila ya senti, kwa ahadi kwamba mtawarudia tena, kwani nyinyi ndio wenye nchi.
 
ama uzi huu si wa mchezo, embu tupeni bac huo ujio wa chama kipya, kitaitwaje? kadri uzi unavyoendelea na kama mengi yasemwayo ni kweli, si ccm, wala cuf ama chadema wanaofaa kuongoza hili taifa, moyo unauma sana nikifikiria wakina sie tunaokubari wanayotuambia na kuamini wanavyotuongoza, kumbe yote si kweli wanayapanga na kucheza na akili zetu. kuna watu wamepoteza maisha kwenye chaguzi mbalimbali kwa ajili ya mapenzi ya vyama vyao, sie twachinjana kumbe wao wanapangiana. mtoahabari yote umesema lakini hilo la vyama vya upinzani navyo mpaka kumegewa pesa na hao tunaowaita mafisida, aisee nimechoka na kuchoka, kweli usilolijuwa dah

changanya na za kwako mkuu,watu wapo kazini hapa.
 
Hauna haja ya kujisikia mpweke. Cha kufanya uheshimike, lipa ada yao ya mwaka, ambayo ni kubwa sana, kitu kama laki tano au milioni moja. Pili, jitengenezee mazingira upate cheo serikalini au kwenye taasisi kubwa au nyeti nchini, na kama hilo haliwezekani, ongeza juhudi uwe mjasiriamali ili uwe na uwezo mzuri wa fedha utakaokupa heshima mbele ya wanachama wenzako. Ukifanikiwa kufanya hayo, taratibu utaanza kualikwa kwenye hafla zao za usiku wa manane huko kwenye nyumba za kukodi maeneo ya Mbezi, na kusubur Toyota Hiace iwaletee mabinti wa boarding sekondari, lakini sana sana mabinti wa vyuo vyetu vikuu, kisha muwachezee watoto wa watu, huku mkiwa mnatembea uchi wa mnyama na vilevi vyenu mikononi, mkibadilishana binti kwa binti na kusisitiza sera ya uwazi, sio sera ya wivu, huku pia mkiwalazimisha watoto wa watu wafanye ngono wao kwa wao nyie mkipiga makofi na miluzi, mkiongozwa na 'prince to be', Fred Edward Ngoyai Lowassa na kundi lake, kisha kuwarudisha watoto wa watu kabla ya jua kuchomoza, kwa hiace mliyokodi, wakiwa wamelewa, na wachovu, bila ya senti, kwa ahadi kwamba mtawarudia tena, kwani nyinyi ndio wenye nchi.

Pasco umeuona huo ujumbe hapo juu..........
 
Back
Top Bottom