mtoahabari
Member
- Dec 27, 2011
- 76
- 223
Mtoa habari sio kabla ya kuingia Ohio? Ukumbi ambao pia harusi zinafanyikia hapo? Kushoto ya kuingia serena ukitokea salender?
Haswaa. Harusi ni upande wa kushoto, Bar ipo upande wa kulia kwa mbele kidogo, ndani ya uzio huo huo. Pale kuingia ni lazima uwe member, kwani kuna mambo makubwa sana yanajadiliwa na kutendeka mle. Lifetime members ni kina Mkono, Mahanga, vijana na wazee wote wa ENL, Freeman Mbowe na kundi lake, wote wanajumuika kama familia moja, kabla ya kutawanyika kwenda kuwa familia na vyama tofauti kwenye jamii.