TISS haina nguvu zaidi ya umma, hakuna kilichokuwa na nguvu zaidi ya UMMA katika taifa lolote lile. Abdulla Al Senussi alikuwa Chief of Intelligence wa Ghadafi, yu wapi leo?
Ndugu mtoahabari,
Libya bila nguvu ya Big Brothers (Obama & Co) Ghadafi angekuwa anapeta. Nguvu ya UMMA inategemea na UMMA wa aina gani unaouongelea. UMMA wetu hauna historia ya kuamka wenyewe (labda turudi nyuma centuries BC kabla ya Bantu migration from WestAfrica to East and Southern Africa).
Kama kina Chief Mangungo walituuza na UMMA haukuprotest ya ndugu kwa ndugu kuuzana sidhani kama hawa modern day Mangungo's & Sultan's (JK,BM, EL, RA etc) hawajui hiyo history. Hawa wanachofanya ni kutokugusa maslahi ya modern day Carl Peters & his henchmen (Barrick, Symbion & other so called investors) bila hivyo hawa Big Brothers watatumia UMMA wao kupitia CNN, BBC na ALJAZEERA kuwapeleka HAGUE. Senusi alikuwa double agent for longperiod na hiyo ndio imemweka live mpaka leo. Binafsi nafahamu wakuu kadhaa waliopo TISS ni double agents wazuri tu na wameficha wake na watoto US wanasuburia kinuke.
UMMA wa kitanzania umekoseshwa elimu ya kujua haki zao,pili wameaminishwa kuwa matatizo na shida zote ni kazi ya Mungu. Hivyo basi matatizo/shida wanayokumbana wameizoea...inapungua kidogo wanapokwenda kwa manabii, wachungaji, babu Loliondo etc na haiusishi serikali wala viongozi wao. Naamini vijana wanaweza kufanya kazi nzuri na safi kama za MOSSAD kama walivyoweza kwa mwenzao nd. WALINGOZI!