Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Udaku wa wenye ukweli kama huu ndo asili yetu,tutaupenda tu. Tupe na wewe mwingine badala ya kukosoa without having grounds, acha kutetea watu kwa kushabikia, anika ukweli wao ba ni zipi na mchele ni upi? usiposema wewe wenye ya kusema watasema utabaki kulalama tu!
 

Duh! na wewe umetokea wapi?, naamini wengi humu watakubaliana na mimi nisipokujibu.

Asante
 

Kuna hadharia mbili kuhusu kifo cha huyu prof, ya pili ndio hii naisikia kwako mtoa habari. Ya kwanza ni kwamba prof inasemekana aliuawa na watu waliotumwa na utawala wa Kagame, kwa kuwa alikuwa akiwatetewa ICTR iliyo Arusha, washukiwa wa mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda. Suala hilo la utetezi halikuwapendeza watawala wa huko, ndo sababu walimuondoa.


Haki ya nani. Ina maana huyu bwamdogo ni Kilaza kiasi hiki? Na ndo huyu kiongozi mtarajiwa miaka michache ijayo? Gimme a break



Hii tetesi inaweza kuwa na ukweli kiasi fulani. Huyu PS wa Kigoma mjini amekuwa mtetezi mkubwa na mwaminifu sana wa EL kwa muda mrefu. Nakumbuka jinsi alivyoparurana na Mama wa Same Mashariki, pale mama aliposhupalia kwamba pesa za EPA zisiporudi basi bungeni patachimbika. Ikumbukwe kwamba PS ni mfaidika wa pesa za EPA, kupitia kwa wale wawili waliofungwa jela mwaka jana.

Mtoa habari=Jack Zoka

Mkuu polepole, usije ukapatilizwa na Paw


Kuna member humu ndani aliyemtokea mtoto wao na gx100 akatolewa nishai, akaambiwa si lolote si chochote kwasababu demu yeye alienda na jeep versio2010 lol!

Nimeisoma hii juzi, na binti alijitapa kwamba yeye ni mtoto wa fisadi. Sijajua demu huyu ni mtoto wa fisadi yupi kati ya tuliowataja hapo juu, ila nilipata picha flani.

Uyo mbunge Ps ndio nani jamani?ata kwa kuniPM.

Kwa mujibu wa description za hapo juu inasemekana ni mbunge mmojawapo wa mkoa wa Kigoma kutoka chama kinachoongoza nchi kwa sasa


Mkuu T R,
Mimi nilikuwa na hisia kuwa Mtoa Mada ( Hutaki Unaacha) na Mtoa habari ni Mtu na Kivuli chake!! Nadhani unanielewa? Angalia huu mjadala ulivyopoteza Afya. Isipokuwa siamini kuwa unahusiana na uchaguzi wa CCM mwakani.

Point of correction
Mkuu, uchaguzi wa sisiemu ni mwaka huu 2012 na si mwakani. Ama mie ndo nimekosea? Topic yako umeiandika jana, huenda ulihisi bado uko 2011!
 
Mkuu mbona sasa unaji contradict? Kwenye uzi huu huu (ukusara fulani) umeandika kwamba ENL kuchukua nchi hii ni lazima na ni kama count down ya new year,, sasa mbona unakuja kivingine tena?? Unaanza kunitia mashaka

kwa umma wetu anaoujua,katiba yetu,tume yetu ya uchaguzi,ENL ni rais tayari! Maana au mtazamo mwingine hajajicontradict,ila anasema sisi umma twende Jangwani square kama Tahrir na Green... Ndiyo hawa hawataweza kuchukua..
 
Am so curious to see Season 2, cos zis season have lots of episodes and they are not leading us to the main agenda, though they are very interesting, welcom again Hutaki Unaacha
 
Hapa mkuu Pasco umeangalia zaidi mazingira ya DD.

Kwamba hawawezi kufanya upuuzi huo pale!Hiyo ilikuwa ni occation moja tu ambayo mtoahabari ameona aiweke kuelezea tetesi ambazo tayari zipo.Kwaiyo hata kama haiwezekani kwa jinsi unavyoijua DD hilo kufanyika bado kumbe laweza fanyika somewhere panapowezekana!

Kikubwa hapa ni kuwa tetesi hizo zipo na kutowezekana kwake hapo DD hakujustify kuwa halipo.Vitu kama hivi sio rahisi kuvikubali wala kuvikataa na always wanaoweza kujua kwa uhakika ni "watendaji wenyewe"!
 
.........hii imetulia,

Nimesema mara nyingi kwamba kichwa cha mkuu wa kaya kinapwaya, asante mkuu kudhihirisha hili, yeye aangalie jinsi gani na wapi ale bata baada ya kutumika katika miaka iliyobaki (kama akifanikiwa kumaliza maana tunaambiwa anaweza kuwa historia party 1), Rostam, Lowassa, Mkapa, et al; IQ zao ni kubwa hundreds folds ukilinganisha na yake, asicheze nao, huu nao ushauri wa bure tu, hutaki, unaacha.
 
mmh very interestin yaan..... mambo yoote waz.
nimetamanije uendelee.
 

My Bro, I am an independent thinker. Not like you who believe things without analysing the logic behind or provided that so and so have said so....!!! I disscuss issues. As far as I see here there is nothing to discuss but read what the so called insiderboy (Mtoahabari) has written. Kama unabisha tuonyeshe mchango wako kwenye hii thread. Yanayoongelewa humu na mtoahabari ni hear say tu!! Of course zinaweza kuwa na kaukweli ndani yake lakini zimedisigniwa such that people like you ambao wanafikiri ni waelewa watakubaliana naye.

Kwavile uitolewa porini unafikiri kila mtu alikuwa huko siyo??


Mkuu Mr Zero, hivi waliyekuwa wakimwita Mr Zero ni Sumaye?

Kwa uzoefu wangu humu ndani, mmefanana sana kwa namna mbali mbali...

Mzee sawa hayo ni mawazo yako. Nilipoamua kutumia hilo jina actually nilikuwa undermine san the original Mr. Zero. Lakini as far as I see now, inawezekana kabisa akawa ni bora kuliko hawa tunaowadadili humu!!
 

THE ROMANTIC [TR] kwa kawaida msimamo wangu humu ndani kwa wanajf ndani nilishaweka wazi kwamba mimi TANZANIA MBELE.Mimi na vyama vya siasa paka na panya.Nimefuatilia jukwaani mchango wako wewe kwangu si mmoja wa wale TANZANIA MBELE.Hivyo basi mchango wako umenipelekea kufanya utafiti japo kidogo tu ili nijue kabla sijasema mengi dhidi yako kupitia michango yako humu ndani basi nijaribu kukujulisha kuwa wewe simmoja wa watu wanaostahiki kuchangia mada [thread ] za Hutaki Unaacha [HU] kwa kuwa wewe na yeye hamsafili mashua moja mwenzio anazungumzia issues unazungumzia watu.

Japo unaweza kunyoosha kidole kwa kuona kataja watu, kwa tulipofika kwa kuwa tatizo letu ni watu waliochafua mfumo basi hana budi kuwaingiza kwenye thread zake ili kutupatia mtililiko wa mkakati tatizo uliotusibu Watanzania.Basi kama unaupeo hafifu hakika HU utaishi kudandia vijisehemu vidogo visivyo na uzito nawe kuvigeuza mazungumzo yako na kushindwa kubeba ujumbe ulio ndani ya ujumbe mzima.Ili kumjua HU yakupasa uwe INNATE vinginevyo si lazima kuchangia unaweza kusoma,japo sikukatishi tamaa ukijifunza waweza kuwa na mchango mzuri sana ndani ya JF.

Ukitaka kujua ujui unachofanya angalia Identity name yako uliyochagua THE ROMANTIC [eeeeeeeeh thats teens kind of a identity].Soma defition ya Romantic kisha kaa chini tafuta aina mpya ya Identity kisha ludi ndani ya nyumba JF tutangazie Identity yako mpya wanaume na akili zetu basi tutajua kuwa hata mchango wako utafanana basi na ujio wa jina lako jipya.

Kwa kukusaidia definition ya Identity yako

THE ROMANTIC is If you say that someone has a romantic view or idea of something, you are critical of them because their view of it is unrealistic and they think that thing is better or more exciting than it really is.

Hivyo sio makosa yako kwa a true great thinker kwa uchache naweza kusema maneno machache kukuhusu wewe kupitia sentensi nyekundu hapo juu.

Sugu zamani aliitwa MR II Proud,kijana alipokuwa akatafakari sana akaona la anakoelekea anaitaji kubadilika na kuwa mtu mzima mwenye msimamo wake makini,akachagua jina kwa utafiti wake akona sugu linamfaa akatuwekea jina jipya SUGU na kutupatia tafsiri yake watanzania kwanini amechagua jina hilo na watanzania kumkubalia kuwa kweli kwa alikopita na kuyatenda basi anastaki hatimae leo hii ni Mbunge wa Kuchagulia Mbeya Tena Mkoa wenye watu makini na waelewa.

Hivyo hivyo Dudu baya alichagua jina yaliyojili kwenye jina lake watanzania wote imekuwa historia kwenye mziki wa kizazi kipya,maskini akakaa chini akaona du jina hili uwenda ndio sababu akajigeuza kuwa Dudu zuri,lakini maskini hakujua kuwa bado DUDU ajaliiacha hivyo basi imekuwa ndio mwisho wake hajulikani hata yuko wapi.

THE ROMANTIC bado unao muda jipange
 

Well said but at the wrong place at the right time.

Ungetuma PM (private message) au uka mu inbox ingekua very constructive. Hapa ulichofanya hujajenga kwa bwana The Romantic.

Busara...
 

Mkuu club inaitwa LEGION siyo Legend
 

Umenikumbusha mbali kuhusu hiyo Volkswagen TAP 180, Tena niongezee kuwa ilikuwa left hand drive(LHD)
 
FP,
Nadhani January hii kuna kikao cha BUNGE. Mwambie Lowasa akajisafishe kule Bungeni "alikochafuliwa", "alikoongopewa", "alikobeba msalaba usio wake". Tuhuma ni dhidi ya serikali. Mambo anayotuhumiwa kwayo aliyafanya SERIKALINI sio ndani ya CCM.
Huku kwenye vikao vya CCM ameshazuia matusi dhidi yake. Amekataa kulivua gamba. Tumemwelewa. Anna Makinda ndiye Spika sasa, sio Sitta.
Halafu "wabaya" wake wengi wagonjwa, wengine hawako tena Bungeni( Selelii), wengine wamerushiwa mifupa ya hapa na pale( Eng. Manyanya ni RC, Sitta ni Waziri).
 

Wildcard,

Wewe inabidi nikutafute tufanye huu mjadala ana kwa ana. Tuongee bila kuweka records kama tufanyavyo humu. Kisha tukubaliane kutokubaliana au tukubaliane kukubaliana.
 
guys!!! is this story worthy buying???

if so, we realy need God to intervine in Tanzania politics and welfare.
 
Well said but at the wrong place at the right time.

Ungetuma PM (private message) au uka mu inbox ingekua very constructive. Hapa ulichofanya hujajenga kwa bwana The Romantic.

Busara...
Hii ni fundisho kuwa hapa ni sehemu ya Great thinker ni matarajio yangu unajua nini maana ya kuwa great thinker.Acha hizo ukichemka unakula za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…