Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

trachomatis, mbona una haraka wewe?, subiri basi apitishwe, utaisoma ilani yake, kwa kukusaidia tuu, sera ya habari, nui uhuru usio mipaka, kima cha chini cha waandishi ni milioni, kwa vile wananchi wana kui ya habari, serikali yake itagharimia magazeti yote hivyo yatatolewa bure!. Kila mkoa kuwa na TV kituo chake cha TV kutangaza maendeleo yake. Wakulima watanunuliwa matreckta, kima cha chini laki tano. Elimu ya lazima ni mpaka kidato cha sita, halafu elimu mpaka chuo kikuu bure, huduma za afya bure, yaani hospitali zote bure, serikali itazipa ruzuku hospitali zote ili kina yakhe tukatibiwe bure!.

Angalizo:, nawaombeni msinibeze, pigine bdebe la Lowassa mpate mambo mazuri!.

Pasco,

Kweli umeamua. Jana niliposema kuwa hii thread ni mazingaombwe matupu na imeletwa kwa nia fulani akina Edson na Mushi wakanijia juu. Sasa mleta thread kaingia mtini (kama hatumii identity nyingine kama ninavyodhania), mtoahabari naye kaishia sasa tumebaki kumpigia na kumkandia EL!!
 
Kwa mtaji gani?..Mjinga zungulukutu pekee ndio ataamini mambo haya!..(on the other hand.... Mnnnnh! mbona JK kapita mara 2 kwa uongozo huo huo alofundishwa na EL)
 
Pasco,

Pamoja. Nimekupata. Tulitulize kisha tuanze tena karibu na uchaguzi wa chama, pending na matokeo....yakiwa kama tulivopanga basi tuendelee kumpigia debe 2014 Mungu akipenda.

Inshallah!

Ngoja niadjust kiti nilala ELairline. (Edson najua utasema tu!)

mkuu tugawane hayo mapesa maana lowassa kwa kumwaga hela hafai, au ndio maana akaunti yako nasikia ina mapesa lol bongo ngoja na mimi nirudi bongo nivute hizo pesa za bure
 
Mkuu Pasco,
Katiba inakuruhusu kuwa na msimamo huo, na uko sahihi. Unaweza kutupa mwanga kidogo kuhusu hoja za Kasori juu ya mgombea wetu mtarajiwa? Kwa nini hakwenda Msasani 'Kusafishwa' alipoitwa? Aliomba msaada wa Nyerere kusafishwa, je juhidi hizi zilifia wapi?

Mh. I smell something here. Hujaahidiwa kuteuliwa kweli?[FONT=arial, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
[/FONT]
Mkuu Idimi, hilo la tuhuma za Nyerere nilishalijibu humu humu kama utasisitiza nitajibu tena.
Hili la kuahidiwa kuteuliwa!?, niahidiwe niteuliwe ili niwe nani?.Kwa vile humu tunatumia pen names, laiti tungelijuana maisha yetu in reality, dhana nyingi potofu zingetoweka. Kuna watu wanaona kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ni heshima sana!. Amini usiamini kuna watu masikini jeuri, ambao kwao ukuu wa wilaya si lolote, si chochote, na bado wako happy kwenye lindi la umasikini wao uliotopea!. Mimi ni mmoja wao!. Namtetea Lowassa kwa mapenzi yangu kwa nchi yangu, nothing more, nothing less!
 
Nyarandu nae yupo kundi gani wakuu? Maana nasikia nae anautaka urais.

Lazaro hana kundi ila ana wafuasi kutoka makundi yote wanaomuunga mkono kimya kimya na amekua na vikao nao mara kwa mara kwa nyakati tofauti tofauti,ana watu kutoka kundi la jakaya,akiwemo jamaa mwenyewe,anao watu tena wazito kutoka kundi la kina sitta,ana watu kutoka upinzani wakiongozwa na mshkaji wake Lema wa arusha,pia ana watu kutoka genge la lowassa akiwemo makamba mmojawapo!
 
Kwa mtaji gani?..Mjinga zungulukutu pekee ndio ataamini mambo haya!..(on the other hand.... Mnnnnh! mbona JK kapita mara 2 kwa uongozo huo huo alofundishwa na EL)
Mkuu Mkandara, mbona Watanzania wengi tuu, tuu wajinga zungulukutu! Kama 2005 tuliambiwa "maisha bora kwa kila Mtanzania" na tukaipa CCM ushindi wa kishindo, baada ya miaka 5, hakuna cha maisha bora, hakuna chochote wala lolote!. Mwaka 2010 tukawachagua tena!, sasa huu kama sio ujinga uzumbukutu ni nini?!. Kuna any stock taking ahadi zipi zilitimizwa?. Siasa za bongo, ni kuahidi mpaka kuishusha pepo, muda ukifika, unaomba miaka mitano mingine ya kuishusha pepo!

Nasisitiza tumpigie debe Lowassa, ana uwezo mkubwa hadi alileta wataalamu wa kututengenezea mpaka mvua!. Ukimuondoa Mungu Baba aliye mbinguni, kwa Tanzania anafuatia Edward Ngoyai Lowassa ndiye mkombozi pekee na wa kweli wa nchi hii ya wajinga mazumbukutu!.
 
Mkuu Idimi, hilo la tuhuma za Nyerere nilishalijibu humu humu kama utasisitiza nitajibu tena.
Hili la kuahidiwa kuteuliwa!?, niahidiwe niteuliwe ili niwe nani?.Kwa vile humu tunatumia pen names, laiti tungelijuana maisha yetu in reality, dhana nyingi potofu zingetoweka. Kuna watu wanaona kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ni heshima sana!. Amini usiamini kuna watu masikini jeuri, ambao kwao ukuu wa wilaya si lolote, si chochote, na bado wako happy kwenye lindi la umasikini wao uliotopea!. Mimi ni mmoja wao!. Namtetea Lowassa kwa mapenzi yangu kwa nchi yangu, nothing more, nothing less!

Pasco mimi bwana nakuunga mkono kwani kama ni mtu anae faa kuiongoza nchi hii ni Lowasa,hii nchi tunahitaji watu wawili tu Magufuri na Lowasa,tunahitaji watu ambao hawamwogopi mtu kusema.hata ukiangalia wakati Lowasa akiwa waziri mkuu aliweza kuliongelea kwa uwazi ile issue ya maji ya mto nile bila kumung'unya maneno,aliweza kuwawajibisha watendaji wabovu ana kwa ana pasipo kusubiri vikao ambvyo huwa mwisho wa siku vinapoteza mda tu,

nchi hii tunahitaji viongozi wenye udictator kidogo ndio tusonge,

lowasa for 2015 la sivyo madini yetu yatazidi kuibia kila siku pasipo wenyewe kufaidi

Lowasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
'We are living in a world where transboundary waters have to be shared,' said Kenya's Water Resources Minister, Martha Karua. Her Tanzanian counterpart, Edward Lowassa, agreed: 'We do not recognize what happened in the past. We want equitable and reasonable use of the Nile waters for mutual benefits in all the riparian states.'
 
Wengi mnapojadili mada mnamjadili Lowasa, mimi nafikiri kabla ya kuanza kumsifia mngesema kwanini anafaa kuwa rais , kwa kuzingatia changamoto zilizopo hapa nchini,
1.Umasikini
2.Elimu duni
3.Maosipitali yasiyo na dawa
4.Serekali isiyojali wananchi wake
5.Kupanda kwa gharama za maisha kila siku
6.Wakulima wasio na nyenzo na wamekata tamaa.
7.Ubadhirifu na matumizi mabaya ya mali na ofisi za serikali kwa wenye dhamana, mf: Jairo, Luhanjo, Spika wa Bunge.
8.Katiba isiyokidhi matakwa ya Watanzania.
Ongeza halafu Pasco na FairPlay, EngineerMtolera na wapambe wote wa EL tumieni mposho yenu.
 
Pasco,

Kweli umeamua. Jana niliposema kuwa hii thread ni mazingaombwe matupu na imeletwa kwa nia fulani akina Edson na Mushi wakanijia juu. Sasa mleta thread kaingia mtini (kama hatumii identity nyingine kama ninavyodhania), mtoahabari naye kaishia sasa tumebaki kumpigia na kumkandia EL!!
Mr. Zero, hakuna mazingaombwe yoyote, mleta mada hutaki unaacha, alileta mada ili kututahadharisha jinsi Edward Lowassa alivyo hatari, lengo ni kummaliza Lowassa ili Part 2 ilikuwa ni kumleta mgombea wake
"lile joka la mdimu"!. Baada ya kukuta watetezi wa Lowassa tuko imara, inawezekana hiyo part 2 asiilete tena, kwani "joka la mdimu" haliuziki hata kama utaligawa bure, litaishia kudoda!. Huyo utaki unaacha na mleta habari ni membe mwenzetu humu humu ambaye anaye mgombea wake!, kwa vile Lowassa ni tishio la ukweli, akaamua kuanza kwanza kwa kummaliza Lowassa, kajikuta ndio kwanza kaishia kumjenga!
 
Mkuu Mkandara, mbona Watanzania wengi tuu, tuu wajinga zungulukutu! Kama 2005 tuliambiwa "maisha bora kwa kila Mtanzania" na tukaipa CCM ushindi wa kishindo, baada ya miaka 5, hakuna cha maisha bora, hakuna chochote wala lolote!. Mwaka 2010 tukawachagua tena!, sasa huu kama sio ujinga uzumbukutu ni nini?!. Kuna any stock taking ahadi zipi zilitimizwa?. Siasa za bongo, ni kuahidi mpaka kuishusha pepo, muda ukifika, unaomba miaka mitano mingine ya kuishusha pepo!

Nasisitiza tumpigie debe Lowassa, ana uwezo mkubwa hadi alileta wataalamu wa kututengenezea mpaka mvua!. Ukimuondoa Mungu Baba aliye mbinguni, kwa Tanzania anafuatia Edward Ngoyai Lowassa ndiye mkombozi pekee na wa kweli wa nchi hii ya wajinga mazumbukutu!.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa... na nakupata vizuri isipokuwa inanishinda hadi wewe unayejua una maradhi haya, na unajua fika EL sio dawa bali anakutia chunvi ktk kidonda bado uko radhi kuikabiri chunvi ambayo unajua fika itaongeza ukubwa wa kidonda?..

Hivi kweli akijitokeza mtu muungwana na unajua sii mlarushwa akaja hapa JF na kuomba wanahabari wote wazalendo pasipo malipo kumpa support yenu watashindwa kufanya hivyo kama walivyofanya kwa Dr.Slaa?.. Hivi kweli ndani ya CCM hakuna kabisa mtu ambaye anastahili nafasi hiyo isipokuwa EL ambaye kwa uongo ule ule unakubali yaishe?..Kitaifa nina hakika EL hatashinda hilo amini maneno yangu maana huko nimesha tazama ktk bao langu!

Na mwisho hivi kweli wewe hapo ulipo huna mtu pendekezo lako ambaye unaweza kumuuza kwa wananchi kama Mzalendo safi isipokuwa EL hata kama nia yako ni kutujuza hali ya hewa mbaya ijayo ili tukimbilie milimani?
 
nimeona viongozi wengi wa CDM wakihusishwa na huu mtandao, mara mbowe yumo, mara lema yupo kwa nyarandu, mara zito na RA, nataka kujua DR.SLAA yupo kundi gani? au huwa ana maoni gani kuhusu huu mtandao? nani ataongoza jeshi la umma kuuvunja huu mtandao km na CDM nao ni wana mtandao? inakatisha tamaa sana hii habari aisee.
 
Ukimsoma huyu Pasco wa JF between the lines utamuelewa.

Binafsi nilikua nikijibizana naye kwa hoja kali tu siku za nyuma juu ya "kujitoa akili" kwake na kumsupport ENL.

Lakini, ile persistence yake, ikaniambia nikae pembeni na nistudy zaidi anapoelekea. Na nadhani nimeshapata picha ya anapoelekea. (I may be wrong).

Ila jamaa ni mahiri sana katika "kutibua nyongo" watu safarini wakati destination ni ileile. Namimi niwekee seat huko kwenye ELairline, nakuja.
 
Wengi mnapojadili mada mnamjadili Lowasa, mimi nafikiri kabla ya kuanza kumsifia mngesema kwanini anafaa kuwa rais , kwa kuzingatia changamoto zilizopo hapa nchini,
1.Umasikini
2.Elimu duni
3.Maosipitali yasiyo na dawa
4.Serekali isiyojali wananchi wake
5.Kupanda kwa gharama za maisha kila siku
6.Wakulima wasio na nyenzo na wamekata tamaa.
7.Ubadhirifu na matumizi mabaya ya mali na ofisi za serikali kwa wenye dhamana, mf: Jairo, Luhanjo, Spika wa Bunge.
8.Katiba isiyokidhi matakwa ya Watanzania.
Ongeza halafu Pasco na FairPlay, EngineerMtolera na wapambe wote wa EL tumieni mposho yenu.

Renegade, mambo yatakuwa kama ifuatavyo
1.Umasikini utageuka utajiri
2.Elimu duni itageuka elimu bora, bure mpaka chuo kikuu
3.Maosipitali yasiyo na dawa kujazwa dawa, vifaa tiba na matibabu bure, ila kwanza tutazuia maradhi
4.Serekali isiyojali wananchi wake wananchi ndio watakuwa na maamuzi ya mwisho
5.Kupanda kwa gharama za maisha kila siku kutashushwa na fedha yetu kupandishwa thamani ilingane na doller
6.Wakulima wasio na nyenzo na wamekata tamaa wakulima wakubwa wote kupatiwa matrekta bure, wadogo power tiller bure
7.Ubadhirifu na matumizi mabaya na mali za serikali na matumizi ovyo ya ofisi za serikali kwa wenye dhamana, mf: Jairo, Luhanjo, Spika wa Bunge. Hayo yote hayatatokea kwa vile EL ndio bingwa wao
8.Katiba isiyokidhi matakwa ya Watanzania by then katiba mpya will be in place!

Yes kwa kweli natumia vizuri hiyo posho si mchezo
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa... na nakupata vizuri isipokuwa inanishinda hadi wewe unayejua una maradhi haya, na unajua fika EL sio dawa bali anakutia chunvi ktk kidonda bado uko radhi kuikabiri chunvi ambayo unajua fika itaongeza ukubwa wa kidonda?..

Hivi kweli akijitokeza mtu muungwana na unajua sii mlarushwa akaja hapa JF na kuomba wanahabari wote wazalendo pasipo malipo kumpa support yenu watashindwa kufanya hivyo kama walivyofanya kwa Dr.Slaa?.. Hivi kweli ndani ya CCM hakuna kabisa mtu ambaye anastahili nafasi hiyo isipokuwa EL ambaye kwa uongo ule ule unakubali yaishe?..Kitaifa nina hakika EL hatashinda hilo amini maneno yangu maana huko nimesha tazama ktk bao langu!

Na mwisho hivi kweli wewe hapo ulipo huna mtu pendekezo lako ambaye unaweza kumuuza kwa wananchi kama Mzalendo safi isipokuwa EL hata kama nia yako ni kutujuza hali ya hewa mbaya ijayo ili tukimbilie milimani?
Mkuu Mkandara, we are facing two choices only! hawa jamaa waendelee kutawala milele, au tuamke tufanye mabadiliko ya kweli!
Mkiamua waendelee kututawala milele, tuleteeni Dr. Shein, na wale sportless wao kama Nahodha au Dr. Mwinyi. Lakini kama tunataka mabadiliko ya kweli, we have one and only choice, Lowassa ateuliwe mgombea wa CCM!. Kwa uzoefu wangu wa siasa za bongo, CCM itamteua mtu anaeuzika kirahisi, Lowassa atafishwa na atateuliwa ili kutuletea ukombozi wa kweli! Mtu anayeuzika kwa wananchi kwa urahisi ni Lowassa tuu maana track record yake ipo, alitaka kutengeneza hadi mvua!

Mkuu Mkandara kama na uko uko for the changes, join our team tumsafishe Lowassa apitishwe!bk
 
trachomatis, mbona una haraka wewe?, subiri basi apitishwe, utaisoma ilani yake, kwa kukusaidia tuu, sera ya habari, nui uhuru usio mipaka, kima cha chini cha waandishi ni milioni, kwa vile wananchi wana kui ya habari, serikali yake itagharimia magazeti yote hivyo yatatolewa bure!. Kila mkoa kuwa na TV kituo chake cha TV kutangaza maendeleo yake. Wakulima watanunuliwa matreckta, kima cha chini laki tano. Elimu ya lazima ni mpaka kidato cha sita, halafu elimu mpaka chuo kikuu bure, huduma za afya bure, yaani hospitali zote bure, serikali itazipa ruzuku hospitali zote ili kina yakhe tukatibiwe bure!.

Angalizo:, nawaombeni msinibeze, pigine bdebe la Lowassa mpate mambo mazuri!.

Mbona unanivutiavutia kwa ahadi Pasco?! Je,anajua sababu au chanzo cha umasikini wetu? JK mpaka leo hajajua! F. Sumaye baada ya kumaliza uPM wake na kwenda Havard,ndiyo alijua! So either amconsult Sumaye,au aende Havard!
 
Mkuu Mkandara, we are facing two choices only! hawa jamaa waendelee kutawala milele, au tuamke tufanye mabadiliko ya kweli!
Mkiamua waendelee kututawala milele, tuleteeni Dr. Shein, na wale sportless wao kama Nahodha au Dr. Mwinyi. Lakini kama tunataka mabadiliko ya kweli, we have one and only choice, Lowassa ateuliwe mgombea wa CCM!. Kwa uzoefu wangu wa siasa za bongo, CCM itamteua mtu anaeuzika kirahisi, Lowassa atafishwa na atateuliwa ili kutuletea ukombozi wa kweli! Mtu anayeuzika kwa wananchi kwa urahisi ni Lowassa tuu maana track record yake ipo, alitaka kutengeneza hadi mvua!

Mkuu Mkandara kama na uko uko for the changes, join our team tumsafishe Lowassa apitishwe!bk

Mkuu hapa hatuna haja ya kumsafisha Lowasa
Lowasa ni msafii kama wengine walivyo wasafi,kama Lowasa ni mchafu basi na hao wengine watakuwa wachafu pia

Lowasa alibeba mzigo kwa ajiri ya chama chake na serikali ya iliyopo madarakani
Lowasa bwana anafaa kuwa Raisi wa nchi kwani hata maamuzi yake yanafahamika kuwa huwa hanamda wa ubabaishaji,uliona hata wewe aliamua kujiudhuru onthe sport pasipo hata kusubiri kuelezwa na watu,kama alivya fanya Raisi Mwinyi tu kipindi kile,sasa hawa ndio viongozi tunaowataka,labda tu Lowasa atuangushe baada ya kuchaguliwa kuwa Raisi

kaka kweli tunataka nchi isonge mbele na tuwe na maamuzi magumu basi lowasa anatufaa
 
Mbona unanivutiavutia Pasco?!
trachomatis, join the team Lowassa awe mgombea wa CCM alete mabadiliko ya kweli, tena nilikuwa sijakuambia, kodi ya VAT ataipunguza mpaka 15% serikali itaendeshwa kwa tozo za madini na gesi asilia, yaani within the first five years, uchumi wetu utapaa kama tiger countries ambazo tulipata nazo uhuru kipindi kimoja, they had nothing and we had everything, now they have everything, we have nothing!.

Tanzania sio masikini kama tunavyoaminishwa ni mis management of our resources!, hebu tembeleeni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi halafu muangalie wazungu wanaojiita wawekezaji, wanakimbilia wapi, au wana ng'ang'ania wapi?!.

Yaani hii nchi, wee acha tuu bora Lowassa aje alete mabadiliko ya kweli!
 
I am smiling at your posts...@Pasco. Anajua nini chanzo au sababu ya umasikini wetu?
 
Back
Top Bottom