The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Wee Chief, usitake kutuharibia kampeni ya mgombea wetu, Lowassa msafi, mtakatifu!
Wewe hushangai Mzee Mwanakijiji hachangii thread hii?. Ameelewa soma na kujikalia kimya, waelewa wameelewa tunasimamia wapi, ndio maana na sisitiza ukombozi wa kweli wa nchi hii utapatikana kupitia kwake!.
CCM siku zote inashinda chaguzi mbalimbali kwa sababu inapendwa sana!, sio kwa kutake advantage ya ignorance yetu sisi Watanzania hivyo CCM hata wakisimamisha jiwe tuu litapita, sembuse Lowassa!.
Sasa baada ya kulielewa somo, tuungane, tumsafishe Lowassa, tumpake mafuta ang'are na kumeremeta, tumpulizie na manukato anukie vizuri, apendeke na kuongeza mvuto, CCM wamsimamishe awe mgombea wao!.
MKJJ nahisi alishanyamazishwa siku nyingi tu ...............toka enzi zile za "kasungura ka Lowasa..." sijawahi kusikia akimpiga tena zengwe Lowasa. Hivi kale kajarada kake bado kapo??