Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Wee Chief, usitake kutuharibia kampeni ya mgombea wetu, Lowassa msafi, mtakatifu!

Wewe hushangai Mzee Mwanakijiji hachangii thread hii?. Ameelewa soma na kujikalia kimya, waelewa wameelewa tunasimamia wapi, ndio maana na sisitiza ukombozi wa kweli wa nchi hii utapatikana kupitia kwake!.

CCM siku zote inashinda chaguzi mbalimbali kwa sababu inapendwa sana!, sio kwa kutake advantage ya ignorance yetu sisi Watanzania hivyo CCM hata wakisimamisha jiwe tuu litapita, sembuse Lowassa!.

Sasa baada ya kulielewa somo, tuungane, tumsafishe Lowassa, tumpake mafuta ang'are na kumeremeta, tumpulizie na manukato anukie vizuri, apendeke na kuongeza mvuto, CCM wamsimamishe awe mgombea wao!.

MKJJ nahisi alishanyamazishwa siku nyingi tu ...............toka enzi zile za "kasungura ka Lowasa..." sijawahi kusikia akimpiga tena zengwe Lowasa. Hivi kale kajarada kake bado kapo??
 
Kuna memba humu kwa EDO yaani wamefyatuka akiri zao. Muda utasema ukweli pia uvumilivu na subira ni vya kuzingatia.
 
Kuna memba humu kwa EDO yaani wamefyatuka akiri zao. Muda utasema ukweli pia uvumilivu na subira ni vya kuzingatia.

Ingekua bora ukiwataja kwa majina yao ya humu jamvini, ili tuache kujadiliana na watu "waliorukwa akili", au siyo?
 
Kauli mbiu hapa JF ELairline for 2015! hiyo ndo inatakiwa iwe salamu yetu humu watu wa EL hapa JF.
Pasco ukiiona ipo sawa basi tui endorse ianze kutumika. Kabla ya kuandika chochote tunaanza na hilo.
FP tusipige sana hili debe, ngoma ikipigwa sana hupasuka!. Ili tuendelee kupiga debe hili very strategically!.
 
Keil, kama inataka mabadiliko ya kweli, " Amini Nawaambieni, ukombozi hauji bila kupitia kwake!
Maneno haya tuliambiwa hata wakati wa kampeni za JMK mwaka 2005....na leo wananchi hatuamini tunachokishuhudia mbele ya
macho yetu! yaani upuuzi mtupu!! Alafu wewe kaka Pasco unakuja na maneno yaleyale tuliaaminishwa mwaka 2005
 
Ndugu yangu Pasco unanitisha kwa jinsi ulivyo "up the ante" kumtetea "ELAirline"..
Gogomoka, usitishike!. Sisi ni wamoja naamini sote tuna lengo moja, ustawi wa taifa letu la Tanzania only we have difference approach!.
 
Maneno haya tuliambiwa hata wakati wa kampeni za JMK mwaka 2005....na leo wananchi hatuamini tunachokishuhudia mbele ya
macho yetu! yaani upuuzi mtupu!! Alafu wewe kaka Pasco unakuja na maneno yaleyale tuliaaminishwa mwaka 2005
Mshikachuma, this time sio upuuzi, EL ndio chaguo la Mungu la ukweli!.
 
MKJJ nahisi alishanyamazishwa siku nyingi tu ...............toka enzi zile za "kasungura ka Lowasa..." sijawahi kusikia akimpiga tena zengwe Lowasa. Hivi kale kajarada kake bado kapo??
Mr. Zero, kwa MKJJ ninayemfahamu mimi kutokana na maandishi yake, jamaa ni priceless na hanunuliki kwa bei toyote!
 
Nature ya mwanadamu inadictate kuwa lazima kuna motive inakudrive kufanya uamini kitu/mtu bila malipo yeyote. Only logical proposition labda kama alivyosema mtoahabari unaweza kuwa ni big fan.
gongomoka, the motive behind ni maslahi ya taifa ili kupata mabadiliko ya kweli!.
 
Tunao Boss!

Just to mention few; Tundu Lissu, Dr. Slaa, Lema, Mnyika et al.

kama mpaka Pasco ame convert....basi una haki ya kukata tamaa......
honestly huwa najiuliza hii nchi ina walakini gani?
mbona we cant finds men with balls kwenye siasa zetu?
decent men???????
 
Huu mzunguko mbona nimeshindwa kuuelewa? Aliyesoma akaelewa ajaribu kunisaidia ili na mimi nisiachwe nyuma. Nini chimbuko la waraka huu?

Tiba

nini lengo pia.................very interesting....waiting for the second episode!
 
Mshikachuma, this time sio upuuzi, EL ndio chaguo la Mungu la ukweli!.

aliyewamba nani? wewe ni shabiki wake sana na unafahamika sana...huwezi kuacha kumpigia chapuo lowasa...nami nakwambia tayari lowasa hawezi kuwa raisi wa nchi hii......
 
Nyie wapambe wa EDO vp juzi alizungumzia nn na vijana wa vyuo vikuu? Mbona hamjaleta bandiko lake. Maana nimeona post moja EDO Anaitwa mtakatifu chaguo la mungu.
 
"SIASA NI UONGO ULIOKOMAA" nakumbuka cousin wangu aliwahi kuitoa ndio definition ya siasa. MBONA KAZI
 
HUTAKI UNAACHA! part 2 imeungua na moto au wamekuibia makabrasha?
au part 2 ni kuchanganya na zetu?
 
Mr. Zero, kwa MKJJ ninayemfahamu mimi kutokana na maandishi yake, jamaa ni priceless na hanunuliki kwa bei toyote!

Mkuu kuhusu msimamo wa mmkijiji nina wasiwasi,
thread imejadiliwa sana kuliko thread iwayo yote wiki hii
Hata hivyo, yeye ameamua kutochangia hoja hiyo inayohusu kama Lowasa anafaa au La. Kilichonishtua ni wapambe wa Lowasa akiwepo Pascal kujenga hoja kwamba baada ya Mzee Mwanakijiji kuona kwamba Lowasa lazima atakuwa Rais, yeye ameona heri amuunge mkono Lowasa. Hata hivyo kinachonishangaza zaidi ni Mzee Mwanakijiji kukaa kimya na kuacha kutoa msimamo wake hata baada ya maeleozo hayo.

Nikaanza kuwaza mwenyewe kuwa;

Kusema kwamba M M Mwanakijiji hajasoma thread hiyo ni jambo lisiloingia akilini mwangu kwa kuwa ni thread ambayo mpaka sasa imechangiwa na watu karibu 1000 na na kusomwa na watu kuelekea 24,000 mpaka leo.

Jambo jingine, kichwa cha habari kilivyowekwa lazima mtu yo yote aliyeko ndani ataisoma, kwa hiyo sikubaliani kwamba hajaisoma.

Ukienda mbele zaidi, ni kuwa thread hiyo imekaa karibu wiki ktk ukurasa wa Mbele bila kuondolewa na Mods.

Kali zaidi, Mzee MM anawekewa maneno mdomoni ili kumprovoke na yeye ameamua kukaa kimya. Kwanini ? Ndo kusema tayari na yeye ameingia EL airline? Au ni kweli hajasoma hiyo thread? Au amesoma thread hajasoma comment za akina Pasco zinazosema kuwa amepanda EL airline? Najiuliza tu. Point of doubt to me.
What do you think?
 
Kwanini umeshindwa kufikiria kuwa yeye ndo Pasco au Fairplayer au Mtoahabari au Hutaki unaacha? Fikiria basi.

Au naona tusubiri kiongozi fulani atwambie.
 
Pasco,

Pamoja. Nimekupata. Tulitulize kisha tuanze tena karibu na uchaguzi wa chama, pending na matokeo....yakiwa kama tulivopanga basi tuendelee kumpigia debe 2014 Mungu akipenda.

Inshallah!

Ngoja niadjust kiti nilala ELairline. (Edson najua utasema tu!)
 
Back
Top Bottom