Ah naona kilichoandikwa kinahitaji uchunguzi na evidence,,,,, karume na kikwete wamefanya kazi pamoja na wanaekewana kupingwa ktk siasa ni jambo la kawaida ata hao wabunge wa chama kimoja wanamitazamo tofauti,,,,,, huyu jamaa katumwa aje kumchafua Lowassa, rostam, shein na Karume na wengn,,,, amna lolote la kuliamini, Ivi kina karume na mkapa binafsi wameshindwa kumhonga direct Maalim mpaka wamtumie Jussa. Huyu jamaa sijui kachukua mda gani kutunga stori yake, Maalim na Karume wamekuwa marafiki ktk miaka ya ivi karibuni kuanzia awamu ya pili ya Karume, Karume ni adui wa Bilal, Salmini na Mkapa, tena vipi karume awe rfk yake Mkapa? Baada ya kuskia Znz kunataka kuwepo Mseto kilimuuma sana Mkapa coz alijua wapunzani wanaanza kuingia Madarakani, na hayo yamefanikishwa na Karume na Mkapa hakulipenda,,,,,
Dondoo nlizozipata ni kuwa Mkapa alikutana na mamake Karume na kumlalamikia about anachotaka kufanya Karume, mama akajibu muueni km mlivyomuua babake!
Karume ni kiongozi aloleta maendeleo mengi visiwani kuliko hata Shein, shein yy ataebdeleza tu lkn mwanzilishi ni Karume.
Na aliewaamsha waznz ni Karume na amewapa nafasi ya kujitetea, hilo halijamfurahisha mkapa kbs, tena vipi useme Karume na Mkapa wamo kwenye mtandao 1? Bora ungesema Karume, Kikwete, shein na maalim ni timu 1, afu umuweke Bilal na Mkapa timu nyengine!!