Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Usiumize kichwa kwa wanaopinga bda ya kusoma,amwage za kwake hapa nae tumchambue.
 
hawa watu hawafanani kimaandishi ila naweza sema wanafahamiana sana na wamejipanga kuwa wewe lipuka hivi then mtoa habari anakuja kufafanua, mtoa habari anaoneka zaidi km mzalendo flani hivi na anayewatia vijana nguvu badala yakutishika.

amebadilika,hakuanza hivyo fuatilia mwanzo alivyokuja!
 
Hii issue inaweza kuwa inahusiana na waraka wa mwaka jana nini,maana vitisho kwa jk vilikuwa vikubwa sana.
 
tatizo lako wewe mama unakurupuka sana ..

Yaani umejiunga jana tu kwa ajili ya kuitetea sirikali na kujua kuwa Kigarama ni mama?
inaelekea wewe ndie unaunga unga mambo hapa. Shame! Kaa usome yooote hapa jf kisha ndio ujue jinsi ya kutumia JF. Hapa sio kilabuni kuja kwa kukurupuka unasikia?
 
Yaani umejiunga jana tu kwa ajili ya kuitetea sirikali na kujua kuwa Kigarama ni mama?
inaelekea wewe ndie unaunga unga mambo hapa. Shame! Kaa usome yooote hapa jf kisha ndio ujue jinsi ya kutumia JF. Hapa sio kilabuni kuja kwa kukurupuka unasikia?

acha ushamba wa mambo wewe!unajuaje kama hii ni ID yangu ya kwanza kuitumia humu ama nilikua nashiriki kama mtazamaji na msomaji tu?au unadhani kila member ni lazima achangie?
 
duuh! Nguvu ya umma sasa ifanye mapinduzi tu.
Tukilemaa tumekwisha.
 
Rostam hayupo peke yake...sema wengine ni domestic based players "double agents". Naungana na Mwanakijiji kusema hivi vitu vinafahamika vizuri sana sema kuwa watanzania tumenyimwa elimu na uwezo wa kupambanua ndio mzalendo kama "Hutaki Unaacha" inabidi awatafunie wote na kuweka mezani. Sasa kazi kwenu wadanganyika kumfunga paka kengele.
 


Ni kwa kuwa wanadai kua aliyeleta thread hii ana nia ya kuwatia hofu wana JF.
We challenge them to show the other side of the coin.
Proove him wrong!!
 

Then watu wakileta story hapa JF mnawasakama weee kwamba ni waongo!
Tanzanians need to hear the true side of the story. Haya ya Shimbo si yalipita hivi hivi?
Ni kama tupo kijijijini!:A S embarassed:
 

Yale yale ya udini... the simplest explanation
 

Sawa, sasa tunahitaji kuona wako kwenye moto kivipi na unawaunguzaje. Mbona kila siku mmekaa kimya nyinyi watu wa the so called TISS?????????
 
Ni kwa kuwa wanadai kua aliyeleta thread hii ana nia ya kuwatia hofu wana JF.
We challenge them to show the other side of the coin.
Proove him wrong!!

kwa hiyo unataka mashindano ya kutunga hadithi na kuzileta hapa?watu wa hivyo wapo na watajitokeza ukitaka,si kutaka majina na tarehe na kuunganisha dots tu! hivi mzee unakifahamu kitu kinaitwa propaganda?basi watu huwa wakiendea darasani na kupata shahada...
 

Not kutunga hadithi na kuleta hapa. Just provide the right side of this story. what is the truth then? what is happening now? That is what we want to know. FULL STOP.
 
Not kutunga hadithi na kuleta hapa. Just provide the right side of this story. what is the truth then? what is happening now? That is what we want to know. FULL STOP.

kama hakuna kinachoendelea zaidi ya kuisubiri kamati ya maadili ya ccm ifunge kazi unataka uambiwe nini zaidi ya kuingizwa choo cha stendi kwa stori za kupikwa?nimeelewa kwanini bongo magazeti ya udaku yanauza sana,watu wanapenda sana stori hata kama hazipo wanataka ziwepo tu,ndio maana mnadanganywa sana,watu wanajua mnapenda stori kutoka kwenye "corridor za uwt" na kweli wanawaletea hata za kuunga unga walaji mpo!mkitoka hapa mnaenda kufunga mtaa kwa story hizi
 
Not kutunga hadithi na kuleta hapa. Just provide the right side of this story. what is the truth then? what is happening now? That is what we want to know. FULL STOP.

Calm down Mkuu Okada.............cha muhimu take your time..........soma halafu jiulize maswali mawili matatu......halafu angalia wengine wanvyochangia na kuuliza maswali...........wengine hawawezi kuja wazi wazi kukueleza Okada "alikunywa chai na maharage juzi ile".....Okada utakumbuka na hatimaye...songi zima linakuwa sooo........

NB: usikubali kila kitu kinachoandikwa hapa JF kiurahisi rahisi mkuu............inahitaji muda wa kutafakari na experience yako huko uliko na hapa JF pia kabla ya kujua ukweli wenyewe.....
 

Hii hapa na ya magazeti ya udaku wanaoandika stori kama Mwinyi kafumaniwa ni tofauti sana. Huyo mwenzenu ametoa story, nyinyi ambao mko kwenye Payall ya TISS, mngeonyesha the othe side ya hii kitu.

MKUU nachukua maneno yako, sawa, tusubiri hiyo KAMATI YA MAADILI YA CCM IFANYE KAZI YAKE. :A S embarassed::shock::alien:
 

nadhani hujanielewa. Mimi wala sina haja ya kuamnini kila kinachoandikiwa hapa. Hapana. Nilichoomba, ambacho nadhani ni haki yangu, ni kitu kiodgo sana. kusikia the other side of the story ikoje. Otherwise, tunaweza tukapotezea tu, mbona ndio kawaidia yetu watanzania.. mambo makubw ayanapita hivi hivi. Worry not ndugu yangu, hainikoseshi my daily bread.
 

Kwanini unapenda sana kuchukua maneno ya watu wa humu mkuu..usipende sana hiyo hapa tuko watu wa aina tofauti tofauti na tunajua watu kama wewe wa kuchukua maneno na kuyasafirisha kila mtaa mpo wengi humu ndio mana tunakuja kuwa target nyie..mfano hili la kamati ya maadili umeshakimbilia "kuchukua" maneno yangu badala ya NAPE/CHILIGATI,WILLY MUKAMA AU Mwenyekigoda mwenyewe!
 

I did not know kwamba itafika huko.......:A S embarassed::shock:
Accidentally, the cat has jumped out of the basket...!!!!
Mimi niwe target badala ya........? I thought JF is home of great thinkers!
Haya nimepita tu, sikujua hayo kama yapo hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…