Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

kama Rostam unamtaja kuwa ni mtu mwenye akili nyingi kiasi hicho basi awe Rais wetu wa Tanzania 2015 bila shaka unachanganya akili nyingi na ujanjaujanja unaopata kinga ya fedha alizonazo mtu kutekeleza malengo yake.

Kama anawazidi wa wale watawala, and they have nothing to do about him, ni kwlei ana akili.
probaby, hatuhitaji mtu mwenye akili kuwa rais, waacha wajinga waongoze, na mwenye akili atakuwa juu yao
 
Tanzania is the 3rd leading recipient of development AID in the world behind Afghanistan and Iraq. Top Donor in development AID to Tanzania is the US. The difference is both Afghanistan and Iraq has had wars. Tanzania, a peaceful country has had no wars, yet receives development AID. AND continues to be a poor country. Tanzania is also 3rd leading Gold producer in the Africa, yet remains poor.
(Barrick Gold, the top producer of Gold in the world.)

In 2002, there was a report conducted by a research group, the African International Group of Political Risk Analysis, stating that there was conspiracy and money laundering engineered by most of the Tanzanian ministries: Finance, the AG's chambers, the Bank of Tanzania and the police. The research was aimed at gathering information on money laundering and corruption in the SADC region.

Some findings in the report:
1) Money laundering in Tanzania as being through corruption and tax exemptions
2) Foreign exchange control is another means of money laundering
3) Religious denominations, informal lending organizations, and forex bureaus are conduits for money laundering in TZ

Why would the past president and the current one run on an anti-corruption platform and yet DO nothing to combat corruption in the nation?

(sry to post this in this thread, but hope there is some connection)
 
Ni kutaka kumgombani Davis mwamunyange na Jk na wewe utakuwa uko lile kundi la Omar Shimbo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi mnaosigana jeshini ili kupata mkate wa leo. kwa taarifa yake Davis ana heshima ya kutosha kwa JK na hili mnalifanya kwa malengo yenu. Davis ni mtu wa JK muda mrefu na asifika kuwa Mkuu wa Mjeshi kutoka JKT bila JK na hiyo haijawahi kutokea tangu uhuru ambapo baadhi ya wanajeshi hawakupenda mtu kutoka JKT ndio wanaleta uchonganishi.

Tutayajua mengi, Mtoa mada bravo!
 
Leo mnatuambia eti fisadi Rostam Azizi ni CIA kwa maana ya agent kwa hiyo siku hizi CIA wanakumbatia mafisadi?

What kind of question is this? If you are from the TISS (as your threads lead us to believe), I thought you know better than this?
 
Tom Apson si mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa haingii akilini kwamba angejua mambo ya msingi kupitia kwa baba yake eti tu kwa sababu ni mtoto wa aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Idara hiyo ndugu Apson. Tuwe makini na maneno ya mitaani

vipi kuhusu Ridhiwani hawezi jua mambo mengi kama mtoto wa raisi?
 
Mkuu The Romantic........

.......Bado nakumbuka yale maandishi yako kuhusu yule jamaa aliyetoa stori akiwa amelewa............lol!
 
jamani watz wenzangu achaneni na hadithi za mitaani zenye lengo la create fear isiyokuwepo,Rostam is a dead person politically,hivi huyu mtu angekuwa nayo kweli hiyo miguvu ccm ingeshinda kweli jimbo la igunga??maana ni wazi kina Bashe walisikika wakitamba mpaka mbele ya mukama kwamba "wameamua" ccm ipoteze jimbo ili kurejesha heshima yao na ya bosi wao,unadhani mtu mwenye nguvu kama hizi tunazoaminishwa hapa angeshindwa kulipata jimbo la pahala alipozaliwa an kukulia na zaidi amekua mbunge na mfadhili mkubwa wa jimbo hilo for years????kuna maswali mengi kuliko majibu hapa,na je mtu kama zakia ambae alipata kuwa bibi yake alikua hazijui nguvu za "CIA" agent huyu mpaka amshambulie hadharani siku ile ndani ya cc,hapa nchini panakuwaga na uzushi mwigi sana hata mzee mengi labda wengine mlikua wadogo imeshawahi kudaiwa nae ni agent wa CIA anatumiwa na marekani kuua ujamaa!

Romanticand others: why do not you give us the TRUE VERSION OF SUCH STORIES kuliko kuwashambulia watu wanaoleta thread kama hizi? why? what is stoping you? Information is power na nyinyi mna kila information sources, why do nit come out with the truth mkapunguza fears za watu?
 
Angali hitimisho la mwandishi.....Hii thread imeanza kwa ujanja sana kama vile inatuambia habari za mtandao lakini kikubwa mwandishi alikuwa anataka kutueleza nguvu ya Rostam Aziz ili tutisheke na kuogopa kumshughulikia na kashfa zake. ndio maana kamuelezea kwa kirefu sana habari zake na huyu anaweza kuwa kwenye kambi ya Hussin Bashe

Sawa, sasa ku proove yuko wrong mshughulikieni tuone.., maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Hussein Bashe katika style nyingine ya kumsafisha Rostam na kundi lake. TISS na serikali kamateni huyu achana na maneno haya ya mtaani CIA watamkuta gerezani. haingii akilini ni mpango wa vitisho vilivyotengenezwa kwa akili ya hali ya juu ili kumpa kinga RA.

Sawa tumesikia yaote, haya kamateni RA basi ili tuone kama kweli hii thread ni ya uongo na uzushi.
 
Romanticand others: why do not you give us the TRUE VERSION OF SUCH STORIES kuliko kuwashambulia watu wanaoleta thread kama hizi? why? what is stoping you? Information is power na nyinyi mna kila information sources, why do nit come out with the truth mkapunguza fears za watu?

Why fear? Atleast trust yourself thats enough to keep you out of unnecessary worries! Watanzania bana hadithi za sungura na paka kama vile tunaakili sana kihivyo; kama tunazo mbona hatuoni ubunifu wowote zaidi ya wizi na ujanja? People are dying of hunger watu wako wanaongelea hadithi mchana..hadithi zinasimuliwaga usiku watu wakimaliza kufanya kazi...
 
Hii ni tamthilia za kina Kanumba saizi imefika part 2.

Ni nzuri kuna mipasho,udaku,na umbeya..mie nasubiri mpaka ifike part 6 ndio tainunua.

Umenena, tumekusikia Mkulu. Ngoja nitafute mabandiko ya FF, Rejao, na Topical.
 
US imeona wewe ni shida kwa kuwa nchi ni kama inakushinda vile na haioni tena mvuto wako kwa wananchi na hii ni hatari kwa maslahi yao hasa mafuta ya Zanzibar ambayo imeshayalia timing kwa maana ya kwamba imeshirki kikamilifu kucheza ‘‘game’’ ya Rostam-Jussa-Karume-Shein kwa haraka sana. Nimekwambia kwamba, Muungano waweza kuvunjwa na baada ya muda ukarudi tena nakuwa serikali moja. Jiulize ni kwanini Mwamunyange anakudharau kiasi hicho?. Hicho kiburi anakitoa wapi?. Mr President, usikurupuke, cheza karata vizuri!

WAPENDWA WANA JF, MNIVUMILIE KWA MPANGILIO MBOVU. NITAENDELEA NA ROSTAM KWA UPANA ZAIDI, THEN APSON, MKAPA, EDWARD NA OTHMAN

Hii nasikia ni kweli na wakati ule SHIMBO alipokutwa na TRILIONI KADHAA nasikia alipoona KIKWETE hataki kumchukulia hatua SHEMEJI yake jamaa alienda kwao na alisusa kila kitu na amini usiamini NCHI hali ilikuwa tete na ni mwezi uliopita tu STAND BY imeisha kwani jamaa haeleweki na wana JERSHI wana muunga mkono na ku mkubali sana MWAMUNYANGE.
 
Angali hitimisho la mwandishi.....Hii thread imeanza kwa ujanja sana kama vile inatuambia habari za mtandao lakini kikubwa mwandishi alikuwa anataka kutueleza nguvu ya Rostam Aziz ili tutisheke na kuogopa kumshughulikia na kashfa zake. ndio maana kamuelezea kwa kirefu sana habari zake na huyu anaweza kuwa kwenye kambi ya Hussin Bashe

kwa jinsi anavyoandika hasa ukiwa ulianza kuisoma ile thadhari aliyoileta hapa kumpa membe awe careful,huyu ni msomali wa nzega!najua aina ya uandishi na maneno anayopenda kuyatumia!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Previously:
JK, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

Karume na Jussa ni wamoja na wanafahamiana vizuri sana kuliko wewe unavyofikiri. Kundi hili linao uwezo wa kuvunja Muungano muda wowote linaoutaka na kuanzisha serikali tatu na baada ya malengo kutimia likaanzisha serikali moja!. Ni vigumu kuelewa ni yapi majukumu ya Karume ndani ya hili kundi na nani kampa majukumu hayo na wapi kiburi cha Karume kimeegemea. Ni swala la historia ndefu sana ambayo nitaiunganisha vizuri baada ya kumchambua Rostam ambaye nitachukua muda mrefu kumchambua kuliko mwingine yeyote katika kundi hili.

Nafikiri urafiki wako na Karume waweza kuwa umeingia doa kipindi cha 2007 hivi wakati umeletewa zile briefcase zilizojaa dola na kumhukumu Karume kabla hujaenda uarabuni!. Hivi zile dola zilienda wapi Mh Rais?. Zilikuwa nyingi kwelikweli. Hata hivyo Karume anaweza kweli kusahau mchezo mliotaka kumfanyia wewe na Nahodha kuhusiana na mwafaka kabla ya kipindi chake kuisha na kupelekea kumtishia Nahodha nafasi yake ya Waziri Kiongozi? Nahodha akabaki analia wakati wewe umemruka tayari baada ya kuona umezidiwa nguvu?. Mr President, unawafahamu waliokuwa nyuma ya mchezo huu? Basi hao hao kwa miaka mingi wangekwishakumaliza lakini Edward alionekana "kukupenda'" zaidi na yeye amekuwa akiwawekea ngumu yaani kukulinda lakini kwa bahati mbaya sana, amewakubalia hivyo kufanya '‘game'' kuwa kali. Edward anaweza kukulinda baadaye. Lakini hutaweza kufanya biashara yeyote ile na waweza kubaki na "njaa" kali sana baada ya kustaafu. '‘Game'' hii ni hatari kwasababu lazima imuweke Karume kwenye nafasi za juu za uongozi wa taifa hili 2015. Mh Rais naomba umuulize Mama Maria Nyerere akwambie vitisho alivyopewa na Karume na Mkapa kuhusiana na mwanaye makongoro wakati wewe unaendesha kikao cha NEC. Hata hivyo ni vizuri ukajiuliza swali la kitoto kama hili: Je ni kwanini Karume na wenzake walikushinikiza sana umteue Tom Apson kuwa mbunge wao wakikudanganya kwamba Tom amefanya kazi nzuri ya kuiba siri za Apson na malecela na wengine? Think twice Jakaya!.

3. Rostam ni nani?


Licha ya kuwa rais wa nchi hii tena Kamanda mkuu wa vyombo vyote vya usalama, umeshindwa kumfahamu Rostam kwa undani zaidi. Nikiri kwamba, bado hujamfahamu Rostam vizuri na sidhani kama ''vijana'' wako wanamfahamu vizuri. Kabla sijamwelezea vizuri, naomba nikukumbushe kitu kimoja. Hivi ilikuwaje mwaka 1995 wakati kambi yako inaomboleza baada ya kushindwa urais, Rostam alionekana kwenye sherehe ya kumpongeza Mkapa tena akiwa na Mkapa na kwa mazungumzo marefu sana?. Je aliwasaliti nyie washirika wake?.

Nikiri tena kuwa, Rostam aweza kuwa mtu hatari, mwenye akili ya haraka sana lakini mwenye kuzichezea kwa akili ya juu sana siasa za Tanzania kuliko mtu yeyote aliye hai niliyeweza kumfahamu hapa Tanzania. Huyu akiwa pale LSE UK, alijenga urafiki mkubwa sana na binti wa mkubwa mmoja na muhimu katika Tehran (siasa za Iran). Haikufahamika kwa haraka ni nini alichokuwa akikitafuta kwa huyo binti na nani alimtuma ajenge huo urafiki ghafla kiasi hicho. Hili ninalolisema kwa sasa hata Lowassa hawezi kulifahamu, si wewe peke yako.

Ni vigumu kuamini kuwa, Serikali ya Marekani imegharamia masomo ya Rostam LSE (baada ya hii task) na hii serikali kupitia Prof mmoja anayefundisha chuo kikuu kimoja UK huku akiwa ni mfanyakazi wa CIA iliweza kufanikisha urafiki mkubwa wa Rostam na huyu binti huku yeye (Prof) akiwaachia maelekezo vijana wa CIA baadhi kum-monitor Rostam na hatimaye urafiki ukawa mkubwa sana kiasi kwamba ukaweza kumfanya Rostam akubalike na Tehran.

Kwa udhamini na wito kutoka serikali ya US, Rostam akawa anakwenda mafunzo mahsusi ya ki-usalama marekani na huko alikutana na watu wengi sana muhimu wakiwemo wamiliki wa Symbion. Kwa kukudokezea tu, pesa za Kagoda ni msamaha wa deni lililofanikishwa na ushawishi wake pale Tehran. Kwa bahati mbaya sana hata Mariam (mke wa Rostam) hakuufahamu uhusiano ule akifikiri ni mapenzi mpaka pale alipojua vinginevyo (ingawa hawezi kujua behind the scene kuna nini). Malengo ya Marekani na huu urafiki (Rostam-Tehran) bado yako palepale na nilipokutana na rafiki yangu (huyu aliweza kufanya kazi nzuri sana na Shah Riza kule Middle East) wa siku nyingi sana pale Boston, akanihakikishia kuwa lengo lilipangwa kutimia 2018 au 2022 hivi!. Ni hatari sana na mtandao wa Rostam na wenzake unaweza kukufanyia lolote watakalo kama usipokuwa makini!. Kule Saudi Arabia na sehemu nyinginezo ameweza kutumiwa sana na hawa '‘mabosi'' wake kwenye masuala ya biashara.

Rostam anafanya kazi kubwa na nyingi za kibiashara na kisiasa na CIA kama agent wao muhimu sana Afrika huku yeye akisaidiana na mtandao wa CIA kule South Africa na ku-control sehemu kubwa Afrika Mashariki na Kati na sehemu nyingine za afrika ambazo US itakuwa na maslahi nazo. Mambo machache aliyoweza kufanikisha ni pamoja na kumfikisha Raila hapo alipo, mikataba ya kimaslahi na Salva Kiir achilia mikono ya Rwanda na Uganda kule Congo, Madagascar, mwafaka wa Zanzibar, kujivua gamba though kosa mojawapo ni wewe kukosea implementation hivyo kum-cost na kupelekea US kumwambia ajiuzulu ubunge na '‘kuacha'' siasa kitu kinachomfanya afanye siasa mara kumi ya aliyokuwa akiifanya awali.

Mr President, muulize Othman akueleze ukweli kwa kuwa hili alilifahamu ingawa hajui ni kwanini lilitokea. Kumbuka vizuri wakati Bush amekuja Tanzania. Kule Arusha, viongozi wa makampuni makubwa yanayomiliki migodi mikubwa ambayo Bush, US na CIA ina maslahi nayo kutoka karibu kila kona ya dunia walikusanyika na walielezea ni kwanini biashara haiendi vizuri. Hakuna mtanzania yeyote Yule hata Deo aliyehudhuria except Rostam. Nani alimwalika na alihudhuria akitokea wapi?! Pale waliazimia mambo makubwa na ya hatari sana. Rostam anajua vizuri what happened na maazimio yale yalilenga nini.

US imeona wewe ni shida kwa kuwa nchi ni kama inakushinda vile na haioni tena mvuto wako kwa wananchi na hii ni hatari kwa maslahi yao hasa mafuta ya Zanzibar ambayo imeshayalia timing kwa maana ya kwamba imeshirki kikamilifu kucheza '‘game'' ya Rostam-Jussa-Karume-Shein kwa haraka sana. Nimekwambia kwamba, Muungano waweza kuvunjwa na baada ya muda ukarudi tena nakuwa serikali moja. Jiulize ni kwanini Mwamunyange anakudharau kiasi hicho?. Hicho kiburi anakitoa wapi?. Mr President, usikurupuke, cheza karata vizuri!

WAPENDWA WANA JF, MNIVUMILIE KWA MPANGILIO MBOVU. NITAENDELEA NA ROSTAM KWA UPANA ZAIDI, THEN APSON, MKAPA, EDWARD NA OTHMAN

unaonekana una una chuki na huyo jamaa na habari zako ni kutunga tunga na mambo yako ni ya karne ya 47 dunia ya sasa ni mambo ya tec ya kisasa marekani wanakufanyia uchunguzi wala hawana haja ya kuja bongo vitu vyote wamefiseti bro watakuja igunga hata barabara hakuna wewe vipi huna jipya andika mambo ambayo jamii ya kitanzania tunayahitaji tufannye nini ili tuwapate wenzetu huduma za afya uwizi wa mali za umma mahakama zetuzinawahukumu machinga haziwahukumu viongozi wala ruswa karibu 98 serikali haifanyi vitu vya maana kuanzia serikalini mpaka mitaani kila mtu tanzania ni wa kulaamu wacha tabia ya vitina sema mambo ya kusaidia taifa kama ni msemaji wacha majungu sio vizuri unajipa mkosi hata maisha yako ya kila siku ninakusubiri uje
 
Back
Top Bottom