Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Lah! Jamani balaa tupu, huyu RA anatisha kweli vileee....Haya nimesikia uvumi mwingine kuwa RA ni member wa Maison....ya kweli haya?

..anatisha kwenu mabwege! mgemjua rostam alivyo,hata kuandika page moja tu ya ripoti hana huo uwezo!watu wanaimba sifa za rostam kama kasuku! ni bahati mbaya sana ile elimu aliyokusudia mwl Nyerere watanzania waipate hata kwa kiwango cha darasa la saba ili afute UJINGA! ilifeli..sasa hivi hata ngazi ya chuo kikuu unaweza kuona bado watu ni wajinga! hata makazini you can see such IGNORANCE!!! elimu yetu imeshindwa kufuta ujinga>> angalia statement wanazotoa watu wa usalama wa taifa..zimejaa ujinga! hata kina pasco look the way he comments..!halafu usishangae eti nae ni informer wa uwt, nchi iko jalalani hii!
 
kweli kakangu bora wewe umesema mi nawashangaa hawa jamaa hata wanavyotaka tuamini ni ma great thinker,hawa ni watu wa ku copy na paste bila kufanya upembuzi yakinifu,kwa wasomi wazuri wa propaganda ni rahisi sana kuwashika masikio watu m great thinker wetu,wanapeeeenda sana kuhadithiwa na wao ku copy hadithi,hawa jamaa mi naona ni ma gossip thinker aisee......mi naomba huyu mleta gossip angekuwa anakuja kila siku kupasua vichwa vya hawa jamaa zetu.
 
..anatisha kwenu mabwege! mgemjua rostam alivyo,hata kuandika page moja tu ya ripoti hana huo uwezo!watu wanaimba sifa za rostam kama kasuku! ni bahati mbaya sana ile elimu aliyokusudia mwl Nyerere watanzania waipate hata kwa kiwango cha darasa la saba ili afute UJINGA! ilifeli..sasa hivi hata ngazi ya chuo kikuu unaweza kuona bado watu ni wajinga! hata makazini you can see such IGNORANCE!!! elimu yetu imeshindwa kufuta ujinga>> angalia statement wanazotoa watu wa usalama wa taifa..zimejaa ujinga! hata kina pasco look the way he comments..!halafu usishangae eti nae ni informer wa uwt, nchi iko

Hapo kwenye red, Hana uwezo wa kuandika report ila alikuwa Ana uwezo wa kuratibu ushindi wa JK kupata mtandao wao haramu, hawezi kuandika report ila anaweza kupora rasilimali zetu nasi tukawa kimya mfano Ana makampuni 17 ila ni matatu tu yenye marina yake means ni mjanja kuliko Brela, uwt na wengineo hawezi kuandika report lakini ni Kingmaker....... Sa Sijui kuandika report kuna umuhimu gani wakati dola IMO in his hands
 
Bado nina mashaka sana na hilo la RA kuwa CIA, anyways ngoja nisome tu na labda given time, nitaitambua dhana nzima ya HU.

Yes, kuwakwako na mashaka ndo kufanikiwa kwao, wkani CIA wanatakiwa wasiwe identified hata na cia wenzoa. Sasa kama wewe umepata mashaka, basi ujue wanaelekea kufanikiwa na inawezekana kuwa kweli. Lakini ukioona unaweza amini kabisa , dots zote zinaunganika ujue hilo ni kanyaboya.
 
Ni vigumu sana kwa mtu kubuni na kutunga maelezo ya aina hii. Ikiwa mwandishi amepoteza muda kutunga uongo wenye kiasi kikubwa cha ukweli ndani yake! Basi huyu ni mtu hatari apaswaye kuogopwa kuliko njaa. Kwa mtazamo wangu RA Kuwa CIA inatisha na kuogofya pia, lakini ni kitu kinachowezekana kwa sababu nyendo na dili zake zina viashiria vyote vya u CIA. Kuhusu u masons hilo silipi nafasi kubwa ya ukweli kwani hajawahi kuonekana kwenye 'black light meeting' makutano muhimu zaidi ya kila mwaka, hapo watu wazito zaidi hukutana na ma-masons wa kawaida, hapa pia siwezi kuwa mbele ya ushahidi kwani ngozi nyeupe ambao ni members wako wengi na walivyo watu hawa wanafanana sana. Anaweza kuwepo na asitambulike kwa urahisi pia. Zaidi naweza kuona picha ya ugombea urais katika awamu ijayo itakavyochochea hisia za udini ndani yake baina ya makundi yanayojizatiti ndani ya CCM, uislam kutoka visiwani na kundi la ukristo kutoka bara. Bila ya shaka rais mstaafu wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar anaweza kusimama katika harakati za kuwania nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano. Tuombe uzima, kw a wale watakao kuwa hai nyakati hizo huenda wakashuhudia kile kisichotarajiwa.
 
..anatisha kwenu mabwege! mgemjua rostam alivyo,hata kuandika page moja tu ya ripoti hana huo uwezo!watu wanaimba sifa za rostam kama kasuku! ni bahati mbaya sana ile elimu aliyokusudia mwl Nyerere watanzania waipate hata kwa kiwango cha darasa la saba ili afute UJINGA! ilifeli..sasa hivi hata ngazi ya chuo kikuu unaweza kuona bado watu ni wajinga! hata makazini you can see such IGNORANCE!!! elimu yetu imeshindwa kufuta ujinga>> angalia statement wanazotoa watu wa usalama wa taifa..zimejaa ujinga! hata kina pasco look the way he comments..!halafu usishangae eti nae ni informer wa uwt, nchi iko

Hapo kwenye red, Hana uwezo wa kuandika report ila alikuwa Ana uwezo wa kuratibu ushindi wa JK kupata mtandao wao haramu, hawezi kuandika report ila anaweza kupora rasilimali zetu nasi tukawa kimya mfano Ana makampuni 17 ila ni matatu tu yenye marina yake means ni mjanja kuliko Brela, uwt na wengineo hawezi kuandika report lakini ni Kingmaker....... Sa Sijui kuandika report kuna umuhimu gani wakati dola IMO in his hands

maneno ya kitoto hayo hapo mwisho wa nahau zako,dola imo in his hands na hayuko kwenye system nowadays,si mbunge,si diwani wala si mjumbe wa nyumba kumi,ni mkurugenzi tu wa utitiri wa makampuni yake!jiulize wakati serikali hii inaingia madarakani alikua na nafasi gani na gani na sasa ana nafasi gani?nyie great thinker wa wapi nyie,mtasababisha nipigwe ban bure na ugeni huu,ngoja niishie hapa but mjifunze kufikiri kama kweli mnautaka u great thinker,msisubiri wengine wafikiri kwa niaba yenu hata kwa mabo yaliyo wazi kabisaeven kwa mwanangu Andy ambae yuko darasa la tatu ..
 
Masikini Andy !
 
Ni kutaka kumgombani Davis mwamunyange na Jk na wewe utakuwa uko lile kundi la Omar Shimbo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi mnaosigana jeshini ili kupata mkate wa leo. kwa taarifa yake Davis ana heshima ya kutosha kwa JK na hili mnalifanya kwa malengo yenu. Davis ni mtu wa JK muda mrefu na asifika kuwa Mkuu wa Mjeshi kutoka JKT bila JK na hiyo haijawahi kutokea tangu uhuru ambapo baadhi ya wanajeshi hawakupenda mtu kutoka JKT ndio wanaleta uchonganishi.

Ndugu si unajua lakini kuwa Davis alikuwa JWTZ kabla ya kwenda JKT,kwa hiyo sio kuwa ni mtu wa JKT moja kwa moja,wanadamu hugeuka ndugu

Kweli kabisa Mkuu.....kuna maandishi mengine mtu ukiona unajua.....kuna walakini mkubwa kwenye uelewa wa vyombo vyetu hivi.........
 
kikwete ndio rais wa tanzania na ndio amiri jeshi mkuu na na ndio mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,that is the reality na itabaki kuwa hivyo mpaka atakapomaliza muda wake 2015 kwa mujibu wa katiba,nyingine ni story tu za kuchangamshia gumzo hapa kijiweni pachangamke,ndio maana mnaona watu serious kama kina Fm Es,mzee mwanakijiji,WJ malecela,Invisible na vichwa vingine wameamua kuupotezea kiaina huu mjadala licha ya kuchokonolewa mara kadha hapa na baadhi ya wachangiaji wameona hauna maslahi wala mashiko lakini sisi tuendelee tu kuchangamsha kijiwe chetu kisiwe doro!

This is truism. Lakini hiyo haina maana kila kinachosemwa sio kweli.
 
Na kwa kweli sijui Balal wamemkosaje????

By then, they did not think outside the box.

we bado unajishughulisha na habari za wafu,pole sana mzee...hii inanikumbusha tikiwa bado vijana wadogo sokoine alipopata ajali ya kawaida tu na kufa,iliwachukua watz wengi muda mrefu kuamini kwamba jamaa amekufa tu kama binadamu wengine,tukawa tunaambiwa nasikia kaonekana ofisini kwa salilm A salim ambae alikua mrithi wa cheo chake,mara kawatokea walinzi pale monduli kwenye kaburi lake mara sijui kaonekana wapi,nakumbuka ujinga ule ulipozidi ilibidi julius nyerere ahutubie taifa na kuwaambia watz sasa fanyeni kazi sokoine amekufa na hawezi kuonekana tena,lakini kipindi kile tunaweza kusema ujinga ulikuwa bado umewatawala wazee wetu wengi si sasa!
 
I can see your line of thinking. Well done.
 
Naelewa ni ngumu kubadilisha imani ya mtu lakini huo ndio ukweli na kila mwenye macho anauona!

Sijakubishia. JK ni mkuu wa kaya si ndio? Ndio maana nimekwambia ni TRUISM. This is the fact. Ni sawa na kusema ukimwaga maji yatakwenda bondeni, au mito yote inakwenda baharini.......

Lakini kuna exceptions.....
 
I can see your line of thinking. Well done.
kwa hiyo unaamini balali mzima na anatumia fesibuku..duu .....hii kweli ni nyumba ya great thinkers,basi bwana jamaa mzima,yaishe!nisijeonekana sio great thinker bure!
 
kwa hiyo unaamini balali mzima na anatumia fesibuku..duu .....hii kweli ni nyumba ya great thinkers,basi bwana jamaa mzima,yaishe!nisijeonekana sio great thinker bure!

What I do not understand about you, is why are you one side minded? I DID NOT CLAIM AND I AM NOT CLAIMING that Ballal is alive, and on the other hand, YOU HAVE NO EVIDENCE THAT BALAL is dead. That is a fact. Do you need a UNIVERSITY DEGREE to read between the lines????????????????

A great thinker is the one who do not believe on one side story, is not the one who is easily brain washed, and not the one who is doing/saying what he does not believe, but forced to do according to circumstances...
 
Back
Top Bottom