Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

"Faint hearts never win decisive Battles", so said Malcom X.

Sisi Watanzania tunatakiwa kuchukua hatua za kuinusuru nchi yetu kwa kadri tunavyoweza. Nakubali kuwa hawa watu ni very powerful. The struggle will be long, hard and many will fall on the way. Lakini nani atutuondolewa watu hawa kama sio sisi wenyewe?

Historia ina mifano mingi sana ya hali kama ya kwetu. Cuba, Vietnam, South Africa, etc. Lakini walishindwa vibaya huko. Ili kutatua tatizo ni lazima kwanza ujue kiini chake. Once you have a correct statement of a problem, that problem is 50% solved.

Inshallah, Mungu yuko na waja wake. This country will one day belong to its people. It can be 5 years , 50 years, 100 yrs. At the end the people will emerge victorious. The struggle will continue. That is the way life is. That is the way societies evolve. Look at Europe in the 18th and 19th Century.

GOOD LUCK TANZANIANS. Kazi kweli kweli.
 
Mkuu wangu TR heshima mbele, hapa nilipo nimesoma uzi wa HU ila sijui kama ni kweli au si kweli, lakini nikiangalia uongozi na mwenendo wa nchi yangu ni rahisi sana kushawishika, kwani hakuna ovu linaloonekana kushindikana hapa Tanzania.

Sasa pamoja na uovu wote uliopo Tanzania bado watu wanaweza kutunga uongo wakiamini kuwa watanzania wataamini, ndio maana wewe mwenzetu ambae unaona kuwa huo ni uongo tueleze basi ni kwa vipi huo ni uongo. Kwa mfano mtu anaweza kuja hapa JF na kutuambia kuwa Kaseja wa Simba alihusika kubomoa nyumba na kuiba siku na saa fulani huko Mbeya.

Wengi wa wanaJF wanaweza kuanza kumdharau sana mchezaji huyo wa Simba kwa kuamini kuwa yaliyosemwa yana ukweli. Atakapotokea mwana JF mmoja na kuthibitisha kuwa Kaseja siku na saa hiyo iliyotajwa alikuwa uwanja wa Taifa Dar anadakia Simba ilipokuwa inacheza na Yanga au Mtibwa na kutupa vielelezo vya kuonesha kuwa mtoa hujuma ni muongo, sisi sote pengine tutakubaliana naye na kumdharau aliyeleta tuhuma hizo.

Mwenzetu hilo mpaka sasa hujalifanya, nimesoma posts zako zote umeshindwa kuthibitisha kuwa HU si mkweli, je unadhani wanaJF watakubaliana na wewe ukitilia maanani kuwa lolote ovu linawezekana Tanzania?

wewe unachanganya mambo na wewe...mimi sipo responsible kwako au kwa "kaka mkuu" yeyote yule wa hapa! ninachofanya ni kujaribu kuhoji hili na lile kutokana na contradictions zilizopo kwenye machapisho yake kwa mimi nilivyoziona,wewe kama hujaziona hizo contradictions muamini jamaa wala sikakukatazi nongwa inatoka wapi?but don't try to shut down questioning!unaweza kwenda angle nyingine si lazima unifuate mimi unless kama labda wewe ndio mleta thread mwenyewe,una haki ya kujibishana na mimi kwa style hiyo,otherwise usinizuie kuhoji hili na lile kwa kuwa tu wewe umechagua kuamini na yeyote anayehoji wewe una mtaka na yeye aje na hadithi ya kutaja majina na tarehe,na kuhusu kukubaliana na mimi au kutokubaliana i'm no looking for that here,mi siko hapa kumridhisha ama kumfurahisha mtu na ninajua sivunji sheria za jf ndio mana sipigwi ban na mamlaka husika.
 
thread inaonyesha kwamba Rostam Aziz yuko kwenye mtandao wa RO na Apson wa kumng'oa JK katika part I yake kwa maana hiyo Rostam ni agent wa TISS kama kweli yuko kwenye mtandao mmoja na viongozi wakuu hao wa TISS lakini part II inasema Rostam tena ni agent wa CIA. CIA na TISS ni partinners kutokana na asili ya kazi yao (sina hakika) lakini kwa dunia ya leo iliyojaa uhalifu wa kimataifa hawawezi kuacha kuwa karibu katika biashara yao ya ujasusi. Fumbo hili nina mashaka nalo nitaacha tujadili zaidi ili kupunguza mashaka haya ninayoyaona.

benefit of doubt!
 
Nilikwisha sema Mungu atusamehe kwa vile hatujui tuendako,Kumbe sasa napata picha halisi kuwa hata Daudi Balali yu hai huko ughibuni kwenye visiwa vya Malta.

Ndo maana Bush anakuja ni project nyingine kumbe lengo ni kusimamia mikakati na malengo yao wanayoyaita millenium challenge.

Watanzania tunaelekea wapi? Tukianza na Mkapa yeye ni mmakuwa toka Msumbiji,Karume Mnyasa toka Malawi,Rostam Burushi toka Irak bado tuna waita wazalendo wa nchi hii? Lowasa Mmasai toka kenya,tena inasemekana na estate kubwa sana sehemu za Thika Company yake inaitwa Monoban Farming Estate inayosimamiwa na Mollel.

Kwanini hatustuki,mwishowe mapera yataisha kwenye shamba la bibi matokeo yake tupate laaana tukiwa kwenye makaburi toka kwa new generation.

Saa ya ukombozi ni sasa
 
Ni kutaka kumgombani Davis mwamunyange na Jk na wewe utakuwa uko lile kundi la Omar Shimbo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi mnaosigana jeshini ili kupata mkate wa leo. kwa taarifa yake Davis ana heshima ya kutosha kwa JK na hili mnalifanya kwa malengo yenu. Davis ni mtu wa JK muda mrefu na asifika kuwa Mkuu wa Mjeshi kutoka JKT bila JK na hiyo haijawahi kutokea tangu uhuru ambapo baadhi ya wanajeshi hawakupenda mtu kutoka JKT ndio wanaleta uchonganishi.
Ndugu si unajua lakini kuwa Davis alikuwa JWTZ kabla ya kwenda JKT,kwa hiyo sio kuwa ni mtu wa JKT moja kwa moja,wanadamu hugeuka ndugu
 
Nilikwisha sema Mungu atusamehe kwa vile hatujui tuendako,Kumbe sasa napata picha halisi kuwa hata Daudi Balali yu hai huko ughibuni kwenye visiwa vya Malta.

Ndo maana Bush anakuja ni project nyingine kumbe lengo ni kusimamia mikakati na malengo yao wanayoyaita millenium challenge.

Watanzania tunaelekea wapi? Tukianza na Mkapa yeye ni mmakuwa toka Msumbiji,Karume Mnyasa toka Malawi,Rostam Burushi toka Irak bado tuna waita wazalendo wa nchi hii? Lowasa Mmasai toka kenya,tena inasemekana na estate kubwa sana sehemu za Thika Company yake inaitwa Monoban Farming Estate inayosimamiwa na Mollel.

Kwanini hatustuki,mwishowe mapera yataisha kwenye shamba la bibi matokeo yake tupate laaana tukiwa kwenye makaburi toka kwa new generation.

Saa ya ukombozi ni sasa

Lowassa ni Mmeru, hana chembe ya umasai ndani yake. hata hiyo lugha haijui
 
Wala sio Junior kihivyo.....ni mtu mkubwa huyu......and if you read between the lines you can precisely reveal who he is!
Inkoskaz, hata mimi niliwahi kudhania kama unavyodhania wewe, haswa kwa kuwategea members fulani fulani wangekula nae sambamba!. Ule ukimya wao ukapelekea mimi kudhania labda ndio hao wamekuja na ID mpya, nikakuta sio!. HU na MH wote ni wapya kuikweli. HU ni mtu wa TISS anatupatia zile kali kabisa za jikoni kule kunako!.
 
Mkuu Mkandara, its very unfortunately beggars cannot be choosers!. He who pays the piper may call the tune!. Do we have choice?. No!. Lets just dance to the tune, EL is the Piper!. Oh poor Tanzania!.
Plays the pipe..kanjanja ww!!
 
Mkuu Mkandara, its very unfortunately beggars cannot be choosers!. He who pays the piper may call the tune!. Do we have choice?. No!. Lets just dance to the tune, EL is the Piper!. Oh poor Tanzania!.
Samahani kanjanja njaa..nilisahau hii.
 
Pasco na wewe unakuwa mbishi sana, utafikiri ni bonge la Mwana Sayansi hapa Tanzania....... Unajuwa wewe ni nani?

Einstein, Newton and Pascal decide to play hide and seek. Einstein is it, closes his eyes, counts to 10 then opens them.

Pascal is no where to be seen.

Newton is sitting right in front of Einstein, with a piece of chalk in his hand. He's sitting in a box drawn on the ground, a meter to a side.

Einstein says "Newton, you're terrible, I've found you!"

Newton says "No no, Einy. You've found one Newton per square meter. You've found Pascal!"


Einstein%2C+Newton+%26+Pascal+-+Touched+up.jpg


TUENDELEE NA MJADALA JAMANI. ILIKUWA NI KUPUNGUZA TU PRESSURE BAADA YA KUSOMA PAGE KIBAO....
Pukudu, hata Galileo Galilei alipogundua dunia ni duara na kutangaza, aliuwawa kwa kumkashifu Mungu eti aliumba dunia bapa yenye pembe nne!.

Archmedes alipogundua law of floation alikuwa bafuni na alitoka mbio kama alivyozaliwa na kukimbia mitaani huku akiimba "eureka eureka"!.

Newtons alipogundua 3 laws of motion, alichukua saa akaichemsha kwenye sufuria na kulishika yai mkononi ili kupima inachukua dakika ngapi kwa yai kuiva na aliliangalia hilo yai mpaka mkewe alipomuuliza kulikoni!.

Hivyo vyovyote mtakavyomuona HU muoneni hivyo hivyo, kwetu akina siye tusioelewa, tunamuona kama ametufungua macho fulani!.

HU, usikatishwe tamaa na mijitu mijinga 'much know', endelea kutuelimisha sisi tusiofahamu lakini tuna kiu ya kufahamu.
 
Inkoskaz, hata mimi niliwahi kudhania kama unavyodhania wewe, haswa kwa kuwategea members fulani fulani wangekula nae sambamba!. Ule ukimya wao ukapelekea mimi kudhania labda ndio hao wamekuja na ID mpya, nikakuta sio!. HU na MH wote ni wapya kuikweli. HU ni mtu wa TISS anatupatia zile kali kabisa za jikoni kule kunako!.

..acheni ukora kuwatisha watz! hakuna ukweli kwny habari hiyo, tatizo members wengi wa jf na watz wengi ni wavivu wa kufikiri ie kufanya critical thinking..wanapenda vitu vya kuletewa km hivi! la wangejua CIA inavyooperate wangejua haiwezi kupoteza muda na issue za Tz!
rostam is no body!!!!!!!!!!!!!!!!!! bahati mbaya sana uwt umekuwa genge la kufanikisha uporaji wa rasilimali zetu, then wanakuja na staili ya maelezo km haya..cjui rostam ni cia, mara ooh wana njama fulani.. habari ndeeeefu lengo kuwajengea watz taswira ya woga ili wasiwe hata na ujasiri wa kukabiliana na uhalifu unaoratibiwa na uwt!! au hata kufikiria kufanya mabadiliko ya uongozi kwa njia ya KURA vile tu wametajwa kina bush, cia cjui nani...! basi ili mradi waone kwamba si rahisi kufanya mabadiliko! this is a RAT TRAPE!!!!! uwt wameishiwa!! but one thing will stand...ipo siku nayo yaja muda si mrefu wote hawa wanaotunga habari za uongo THEY WILL END THEIR LIFE BEEHIND THE BARS!!!!remember this words, if you heard what happened to gadafi..
 
Ogah, mwanzo nilipigania sana Lowassa awe mgombea wa CCM!. Baada ya kuisoma hii kitu na kujua where real powers lies!. Sasa nimeamua kujinyamazia kwanza and watch how this man, King Maker, plays our mind away!. Hivyo kama haya humu ni kweli!, then JK is nothing!, CCM is nothing!, na sisi Watanzania wote we are nothing!.

The only thing that is something, according to this, then its the "King Maker"!. Ndiye aliyemuweka JK na VP wake!, akamuweka Spika!, akamuweka CJ. Hii ndio mihimili yenyewe ya dola!. Akaja kumuweka CDF!, IGP! na Chief wa TISS!, where true powers lies, usikute hata Hosea na kina DPP wanawajibika kwake!. Sasa who are we kukataa chaguo lake?!.

Kama ni kweli chaguo lake ni Lowassa, sasa kazi nitakayoianza kipindi kifupi kijacho, ni kuwahamasisha wapinzani kama EL ndiye atasimamishwa kuwa mgombea wa CCM, wasithubutu kuchukua fomu za urais!, wamuache apite bila kupingwa ili Tanzania iwe ile nchi ya ahadi!. Nchi ya maziwa na asali!. Mabomba yatatoa maji, maziwa na asali nchi nzima!. Kumpinga ni wastage of time and money!.

Then Yes Indeed, for 2015, Lowassa is The One and Only!.

...with these comments! pasco you r SO FOOLISH!!!!!!
 
Back
Top Bottom