MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
sio kila lisemwalo ni la kweli inategemea lengo na dhamira ya mwandishi. Ni kazi yetu kuchuja na hata kukosoa ili kuweka kumbukumbu sahihi kwa kizazi kijacho
Hutaki-unaacha naona ameamua kuacha:alien:
Acha longolongo na porojo.Mtoa hoja ameshaandika.Jibu basi mstari kwa mstari.Membe,membee kitu gani.Hii ameandika jibu hoja kwa hoja.Ameweka 'facts' na wewe weka 'facts' kila mtu atachanganya na zake na kupata facts.nimkosoa mara ngapi?mtu mwenyewe umeona anajibu hoja ya nani humu,tumemchallenge several time kutokana na hizo hizo tamnthilia zake the ay anavyojicontradict kwenye suala la mitandao hatari mbalimbali,lakini hakuna majibu sasa tunajibizana na kivuli au nyie washabiki wake..aje twende mstari kwa mstari,ndio hata nyie mtafaidika zaidi!
kumbe huyu KIM KARDASH huku nako alifika? loh!
Acha longolongo na porojo.Mtoa hoja ameshaandika.Jibu basi mstari kwa mstari.Membe,membee kitu gani.Hii ameandika jibu hoja kwa hoja.Ameweka 'facts' na wewe weka 'facts' kila mtu atachanganya na zake na kupata facts.
Kulalama na kupiga mayowe ya 'tamthilia' hayakusaidii wewe wala sisi....
Hoja hujibiwa kwa hoja.Narudia tena,HU ameeleza aliyoeleza.Eleza na wewe unachojua kwa uhakika ukijibu hoja za HU mstari kwa mstari.Unajua definition ya neno facts lakini mkuu?au kwa kuwa ulilisikia mahali mtu akilitamka basi na wewe ukaamua kujizoesha kulitumia tu;na hili ni tatizo la watu watanzania walio wengi,mi nadhani tungejikita katika matumizi ya kiswahili,hii ingetusaidia sana kuepuka kuchanganya mambo!unasubiri hadithi then uzigeuze kuwa facts!hii sijawahi kuisikia popote duniani zaidi ya hapa!ok bwana uzuri hakuna membership fee kujiunga na kuwa mwanachama hapa.
Hoja hujibiwa kwa hoja.Narudia tena,HU ameeleza aliyoeleza.Eleza na wewe unachojua kwa uhakika ukijibu hoja za HU mstari kwa mstari.
Acha kutapatapa...
Kwa hiyo bwana mkubwa ukweli ni kwamba Amir Jamal alizikwa kwa taratibu zote za kiislam...japo hatukuona akizikwa kama tulivyoona kwa marehemu Julius Nyerere ama Edward Sokoine, kwanini kwa Amiri Jamali tunaamini kwa Daudi Balali tunagoma kuamini?
mi nilidhani vya moto kutoka cdm HQ,kumbe vya kule kwenu hamvitaki mnataka vya ccm,mnazeeka vibaya sana watu wa vyama aiseelabda atakuja kivingine, mtoa habari nae katutoroka, wa 16 ndo kafa kabisa, afadhali JB bado yupo yupo kutupatia vyamoto moto kutoka magogoni.
hii ni hatari ndo maana pinda alisema kuwa kuna kamtandao ka watu wachache wameamua kuziteka rasilimali zetu siku kakiguswa basi serikali yote inatetetereka