Duu! Inanikumbusha hekaya za Alfu-lela ulela!
Lah! Jamani balaa tupu, huyu RA anatisha kweli vileee....Haya nimesikia uvumi mwingine kuwa RA ni member wa Maison....ya kweli haya?
..anatisha kwenu mabwege! mgemjua rostam alivyo,hata kuandika page moja tu ya ripoti hana huo uwezo!watu wanaimba sifa za rostam kama kasuku! ni bahati mbaya sana ile elimu aliyokusudia mwl Nyerere watanzania waipate hata kwa kiwango cha darasa la saba ili afute UJINGA! ilifeli..sasa hivi hata ngazi ya chuo kikuu unaweza kuona bado watu ni wajinga! hata makazini you can see such IGNORANCE!!! elimu yetu imeshindwa kufuta ujinga>> angalia statement wanazotoa watu wa usalama wa taifa..zimejaa ujinga! hata kina pasco look the way he comments..!halafu usishangae eti nae ni informer wa uwt, nchi iko jalalani hii!
..anatisha kwenu mabwege! mgemjua rostam alivyo,hata kuandika page moja tu ya ripoti hana huo uwezo!watu wanaimba sifa za rostam kama kasuku! ni bahati mbaya sana ile elimu aliyokusudia mwl Nyerere watanzania waipate hata kwa kiwango cha darasa la saba ili afute UJINGA! ilifeli..sasa hivi hata ngazi ya chuo kikuu unaweza kuona bado watu ni wajinga! hata makazini you can see such IGNORANCE!!! elimu yetu imeshindwa kufuta ujinga>> angalia statement wanazotoa watu wa usalama wa taifa..zimejaa ujinga! hata kina pasco look the way he comments..!halafu usishangae eti nae ni informer wa uwt, nchi iko
Hapo kwenye red, Hana uwezo wa kuandika report ila alikuwa Ana uwezo wa kuratibu ushindi wa JK kupata mtandao wao haramu, hawezi kuandika report ila anaweza kupora rasilimali zetu nasi tukawa kimya mfano Ana makampuni 17 ila ni matatu tu yenye marina yake means ni mjanja kuliko Brela, uwt na wengineo hawezi kuandika report lakini ni Kingmaker....... Sa Sijui kuandika report kuna umuhimu gani wakati dola IMO in his hands
Bado nina mashaka sana na hilo la RA kuwa CIA, anyways ngoja nisome tu na labda given time, nitaitambua dhana nzima ya HU.
..anatisha kwenu mabwege! mgemjua rostam alivyo,hata kuandika page moja tu ya ripoti hana huo uwezo!watu wanaimba sifa za rostam kama kasuku! ni bahati mbaya sana ile elimu aliyokusudia mwl Nyerere watanzania waipate hata kwa kiwango cha darasa la saba ili afute UJINGA! ilifeli..sasa hivi hata ngazi ya chuo kikuu unaweza kuona bado watu ni wajinga! hata makazini you can see such IGNORANCE!!! elimu yetu imeshindwa kufuta ujinga>> angalia statement wanazotoa watu wa usalama wa taifa..zimejaa ujinga! hata kina pasco look the way he comments..!halafu usishangae eti nae ni informer wa uwt, nchi iko
Hapo kwenye red, Hana uwezo wa kuandika report ila alikuwa Ana uwezo wa kuratibu ushindi wa JK kupata mtandao wao haramu, hawezi kuandika report ila anaweza kupora rasilimali zetu nasi tukawa kimya mfano Ana makampuni 17 ila ni matatu tu yenye marina yake means ni mjanja kuliko Brela, uwt na wengineo hawezi kuandika report lakini ni Kingmaker....... Sa Sijui kuandika report kuna umuhimu gani wakati dola IMO in his hands
maneno ya kitoto hayo hapo mwisho wa nahau zako,dola imo in his hands na hayuko kwenye system nowadays,si mbunge,si diwani wala si mjumbe wa nyumba kumi,ni mkurugenzi tu wa utitiri wa makampuni yake!jiulize wakati serikali hii inaingia madarakani alikua na nafasi gani na gani na sasa ana nafasi gani?nyie great thinker wa wapi nyie,mtasababisha nipigwe ban bure na ugeni huu,ngoja niishie hapa but mjifunze kufikiri kama kweli mnautaka u great thinker,msisubiri wengine wafikiri kwa niaba yenu hata kwa mabo yaliyo wazi kabisaeven kwa mwanangu Andy ambae yuko darasa la tatu ..

Masikini Andy !
Masikini Andy !
wala sio masikini ANDY yuko njema tu kaka anakula akashiba na pia anapata elimu bora(sio shule nzuri)namaanisha elimu bora,ndio ana upeo wa kuelewa rostam azizi ni mfu kisiasa na wala hawezi kufufuka tena,mna hofu na jinamizi lake labda but he is not in politics
Ni kutaka kumgombani Davis mwamunyange na Jk na wewe utakuwa uko lile kundi la Omar Shimbo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi mnaosigana jeshini ili kupata mkate wa leo. kwa taarifa yake Davis ana heshima ya kutosha kwa JK na hili mnalifanya kwa malengo yenu. Davis ni mtu wa JK muda mrefu na asifika kuwa Mkuu wa Mjeshi kutoka JKT bila JK na hiyo haijawahi kutokea tangu uhuru ambapo baadhi ya wanajeshi hawakupenda mtu kutoka JKT ndio wanaleta uchonganishi.
Ndugu si unajua lakini kuwa Davis alikuwa JWTZ kabla ya kwenda JKT,kwa hiyo sio kuwa ni mtu wa JKT moja kwa moja,wanadamu hugeuka ndugu
Ndio maana Mwakyembe yamemkuta yaliyomkuta huu mtandao nuksi .
kikwete ndio rais wa tanzania na ndio amiri jeshi mkuu na na ndio mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,that is the reality na itabaki kuwa hivyo mpaka atakapomaliza muda wake 2015 kwa mujibu wa katiba,nyingine ni story tu za kuchangamshia gumzo hapa kijiweni pachangamke,ndio maana mnaona watu serious kama kina Fm Es,mzee mwanakijiji,WJ malecela,Invisible na vichwa vingine wameamua kuupotezea kiaina huu mjadala licha ya kuchokonolewa mara kadha hapa na baadhi ya wachangiaji wameona hauna maslahi wala mashiko lakini sisi tuendelee tu kuchangamsha kijiwe chetu kisiwe doro!
Na kwa kweli sijui Balal wamemkosaje????
By then, they did not think outside the box.
This is truism. Lakini hiyo haina maana kila kinachosemwa sio kweli.
we bado unajishughulisha na habari za wafu,pole sana mzee...hii inanikumbusha tikiwa bado vijana wadogo sokoine alipopata ajali ya kawaida tu na kufa,iliwachukua watz wengi muda mrefu kuamini kwamba jamaa amekufa tu kama binadamu wengine,tukawa tunaambiwa nasikia kaonekana ofisini kwa salilm A salim ambae alikua mrithi wa cheo chake,mara kawatokea walinzi pale monduli kwenye kaburi lake mara sijui kaonekana wapi,nakumbuka ujinga ule ulipozidi ilibidi julius nyerere ahutubie taifa na kuwaambia watz sasa fanyeni kazi sokoine amekufa na hawezi kuonekana tena,lakini kipindi kile tunaweza kusema ujinga ulikuwa bado umewatawala wazee wetu wengi si sasa!
Naelewa ni ngumu kubadilisha imani ya mtu lakini huo ndio ukweli na kila mwenye macho anauona!
kwa hiyo unaamini balali mzima na anatumia fesibuku..duu .....hii kweli ni nyumba ya great thinkers,basi bwana jamaa mzima,yaishe!nisijeonekana sio great thinker bure!I can see your line of thinking. Well done.
kwa hiyo unaamini balali mzima na anatumia fesibuku..duu .....hii kweli ni nyumba ya great thinkers,basi bwana jamaa mzima,yaishe!nisijeonekana sio great thinker bure!