Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)


Let me ask u one thing?is sokoine a dead person or not?if u believe is a dead person,why u do so mr great thinker?
 
Let me ask u one thing?is sokoine a dead person or not?if u believe is a dead person,why u do so mr great thinker?

Kwanini unajitahidi kuwa mvivu wa kufikiri namna hiyo? Sasa unamaana gani kumuuliza kuhusu kifo cha Sokoine? Unataka kufananisha kifo cha sokoine na Ballali? Hivi kwa akili ya kawaida tu huwezi kuona tofauti?

Sokoine mwili wake uliagwa na watanzania, na kaburi lake mpaka kesho liko pale monduli, je ni vipi kuhusu Ballali? Kilichosababisha mwili wa kiongozi mkubwa wa taifa kama Ballali usirudishwe nchini ni nini? Ikiwa mwananchi wa kawaida tu akifa marekani jumuiya ndogo tu wa watu wa kawaida hujichangisha mchango na kurudisha mwili nyumbani, why not Ballali? Acha banaaa tena achaaa kabisaaaa..
 

Unamfahamu AMIRI JAMAL?alikua ni nani hapa nchi na kaburi lake liko wapi hapa nchini?au nae hajafa
 
Nilikuwa sijaliona hili bandiko! nitarudi kwa ajili ya comments za wadau!
 
Okada,

Umenikumbusha film ya Tom Cruise hii mpya ya MISSION IMPOSSIBLE. Jamaa amekaa anajilaumu kuwa alisababisha kifo cha mke wa Tom Cruise na mwisho akaulizwa, je uliuona mwili wake kwenye jeneza? Akasema hapana hakuuona ila aliona jeneza na mazishi.

Alionywa kuwa next time, kama hujauona mwili wa marehemu, usiseme fulani amekufa na amezikwa.

Kipande kidogo mbele, unaona Mke wake kweli ni mzima wa afya na Mpingo pembeni kama mlinzi.

Sokoine tulimuona kweli amekufa. Balali tuliona tu jeneza na kuambiwa yumo ndani ya jeneza wakati likiwa kanisani.

Hakuna uhakika wa asilimia 100 kuwa ndani yake alikuwa Balali au mgomba. Kwa hili uko sawa mkuu.

Sijanunua ugomvi.... ENDELEENI wenyewe.
 
hii ni hatari ndo maana pinda alisema kuwa kuna kamtandao ka watu wachache wameamua kuziteka rasilimali zetu siku kakiguswa basi serikali yote inatetetereka

Jamani sisi Watanzania tumemkosea nini Mungu? mbona naona dalili ya kuja kuuana muda si mrefu? mimi naamini tumebakiwa na maombi na dua kwa Mungu tu, vinginevyo hatutoboi!!!!
 
CDM haiwezi kuchukua hii nchi. Hizo ni story za JF tu!
Na huo mtandao haujakaa kihivyo ...... ni mchina ndiye atayemweka rais 2015.
Haya maongezi yataisha baada ya uchaguzi wa CCM.

Mimi hata sijakuelewa hili la Mchina, labda ujitahidi kunielewesha kwa kina maana mwenzako katoa uthibitisho kiasi fulani, tueleze tukusome mkuu
 
watanzania msimtegemee mungu atende muujiza wakati mnaakili na nafsi hai kuweza kutambua nn cha kufanya watanzania wenzangu tuamke tufanye kitu kwa ajiri ya mama yetu tanzania anayelia kila siku kwa mateso ili hali vijana wake tupo tunamtegemea mungu afanye wakati tumelala. ni wakati tuamke tuseme na tufanye kwa vitendo.
 
zidi kutupa nondo mkuu.ili hali ikiharibika huko mbeleni tujue kina tuanze ku-deal nao
 
Amir Jamal alifia Canada. Walichoma au walizika sio relevant. By the way hata majivu yanazikwa.

Ila bwana Kim Kardash u need to shape the way you think.
 
Amir Jamal alifia Canada. Walichoma au walizika sio relevant. By the way hata majivu yanazikwa.

Ila bwana Kim Kardash u need to shape the way you think.

hapa:m.usmag.com/?redirurl=/celebrity-news/news/report-kim-kardashian-to-file-for-divorce-from-kris-humphries-20113110
 
huyo ni muhindi wao wanachoma hawaziki

Hivi kwanini tunapenda kujiita great thinker lakini hatufikiri wala kufanya research kabla ya ku post mambo humu?yani unadhani kwa kuwa ipo jamii fulani ya waasia inachoma miili ya marehemu wao badala ya kuizika basi una jumlisha ni wahindi wote!!!Ur a great thinker without thinking,Amir kama jina lake lilivyo kwa taarifa yako alikua ni muislam sio baniani ambao ndio huchoma moto marehemu wao!Kwa hiyo bwana mkubwa ukweli ni kwamba Amir Jamal alizikwa kwa taratibu zote za kiislam...japo hatukuona akizikwa kama tulivyoona kwa marehemu Julius Nyerere ama Edward Sokoine,kwanini kwa Amiri Jamali tunaamini kwa Daudi Balali tunagoma kuamini?
 
Amir Jamal alifia Canada. Walichoma au walizika sio relevant. By the way hata majivu yanazikwa.

Ila bwana Kim Kardash u need to shape the way you think.

kwanini unadhani hivyo mzee?maana watu wanatuambia Balali hajafa,tunauliza kwa nini wanaamini sokoine kafa lakini balali hajafa wanatuamia kigezo chao ni kutoonekana mazishi wala kaburi lake na kwanini azikwe nje ya tanzania?ndio tukawajibu hoja yao hiyo kwa kuwaletea kumbukumbu za AMIRI JAMAL,wameishiwa hoja wanaanza kutapa tapa tu oooh wahindi wanachomwa...tunawaambia si kila mhindi anachomwa akifa bahati nzuri na wewe ukafafanua zaidi,ila kutaka kuonyesha kwamba wewe ni mmoja wa wale makaka wakuu wa jf unazua hoja nyingine isiyo na kichwa wala mguu...nieleze sasa kwanini unadhani hivyo ulivyoandika?kama huna cha kusema piga kimya tu,nayo inatosha.
 
hapa:m.usmag.com/?redirurl=/celebrity-news/news/report-kim-kardashian-to-file-for-divorce-from-kris-humphries-20113110

Huwa sipotezi muda na watu ambao wanahangaishwa na ID za ki jf jf! uzoefu unaonyesha mara nyingi mtu akiishiwa hoja ama atakimbilia kujaribu kuijadili avatar au ID akishindwa huko atatukana na kuishiwa kupigwa ban!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…