Hutaki
UnaachaAsante... Tafadhali tunaomba Part
III.
Lini utaendelea NI inbox sitaki kukosa kabisa maana utamu unakuja unakatisha aakkhahhaWAPENDWA WANA JF, MNIVUMILIE KWA MPANGILIO MBOVU. NITAENDELEA NA ROSTAM KWA UPANA ZAIDI, THEN APSON, MKAPA, EDWARD NA OTHMAN
Napata Hofu watu wengi hatujui mengi. mengi yapo behind the scene tunayoyaona kumbe siyo, hata Chadema kuchukua Nchi basi ngumu kuna nguvu kubwa nyuma ya panzia, hapa napata majibu Fulani lakini haya, wapo zaidi ya hawaSasa kama chadema watachukua nchi 2015 hali itakuwaje? Hawa jamaa wataenda wapi?
hii kitu mbona inarudiwarudiwa kila siku ile ile, tunataka part 3 kama ulivoahidi kama haipo potezea acha kutuboa!!