Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

Kuna tofauti kati ya kutii amri na heshima. Unaweza kutii amri ya mtu hata kama humheshimu!

Kuna viji ukweli flani kwenye comment zako nyingi humu.
ingawa mbona kama unauhusiano mkubwa na alieanzisha thread! 2 in 1 au???

Hutaki unaacha = kigarama au???
 
unaambiwa rostam alivokua LSE alikua moto wa kuitea mbali he is genius in fact
 
Sasa kama chadema watachukua nchi 2015 hali itakuwaje? Hawa jamaa wataenda wapi?

Tumuombe mungu atusaidie katika hili. Mungu ndiye mkuu kuliko EL, RA etc. Tusikate tamaa, tuongeze nguvu. CHADEMA iungwe mkono katika harakati zake za kuikomboa hii nchi kutoka mikoni mwa mafisadi na majasusi. Nguvu ya umma pekee (na sio uwezo wa kifedha) vitasambaratisha ccm, EL, RA, CIA na usalama wa Taifa katika Tanzania.
 
Namwomba mungu huo uzi uwe mixture ya fiction na kweli, kama ni kweli tupu basi uhuru wetu Tanzania ni bendera tu tunahitaji ukombozi.
 
Imbombo Ngafu a.k.a kazi ipo. Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ongeza maombi, mambo siyo shwali. Vinginevyo waume kwa wake tutaolewa.
 
hata siku moja hamna mtu aliyeweza kuishinda nguvu ya umma
 
SURE..Rostam ni hatari..system nina hakika inajua lakini inashindwa jinsi ya kuchopoka.kweli rais wa nchi maskini hachaguliwi na raia wa nchi ila mpaka akubaliwe na kundi fulani.huu ndo mtindo wa US ili aweze kuishika dunia.
 
Hutaki unaacha na Jason Bourne ni wasio na kazi 'wanasema mambo ya kufikirika Wanaandika mambo yasiopo kujitakia umaarufu ili chama kizidi kutoa hela
 
ha ha ha, hutaki unaacha, sipati picha manake mimi nimekuwa fan wa conspiracy zake. ha ha ha.
 
Back
Top Bottom