Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

hii kitu mbona inarudiwarudiwa kila siku ile ile, tunataka part 3 kama ulivoahidi kama haipo potezea acha kutuboa!!
 
Hii ngoma ni pevu jamani, huyu Rostam siyo mtu salama kwa afya ya Tz na Afrika kwa ujumla. Hivi nyumbani kwa Rostam ni wapi hapa Tz, amejenga nyumba, amenunua au amepangisha. Think Wide pls
 
Wakuu naomba mnaisaidie/tusaidiane kufahamishana ya ndani zaidi kuhusu huyu Mtu Bw.RA.Nimeshtuswa na taarifa ambazo nimezisoma kupitia Thread ya Ndg Hutaki Unaacha, Nimeona sio vibaya kuanzisha mjadala kamili kuhusu muhusika.
 
WAPENDWA WANA JF, MNIVUMILIE KWA MPANGILIO MBOVU. NITAENDELEA NA ROSTAM KWA UPANA ZAIDI, THEN APSON, MKAPA, EDWARD NA OTHMAN
Lini utaendelea NI inbox sitaki kukosa kabisa maana utamu unakuja unakatisha aakkhahha
 
Sasa kama chadema watachukua nchi 2015 hali itakuwaje? Hawa jamaa wataenda wapi?
Napata Hofu watu wengi hatujui mengi. mengi yapo behind the scene tunayoyaona kumbe siyo, hata Chadema kuchukua Nchi basi ngumu kuna nguvu kubwa nyuma ya panzia, hapa napata majibu Fulani lakini haya, wapo zaidi ya hawa
 
kweli au si kweli ni hoja tu, lakini hebu tuangalie viashiria vya kuwepo kwa nguvu kubwa zaid ya rais....wapi kagoda, nini meremeta, richmond etc...twiga wameenda, tembo wanauwawa ovyo pia viongozi wanaharibu openly na hakuna hatua, mfano:maige, jairo na sakata la madaktari...VERY LIKELY THERE IS POWER BEYOND THE PRESIDENCY...naungana nawe figganiga
 
Aisee, this issue is very serious. I am totally bamboozled!!!:A S angry:
 
uganda na rwanda kuhusu congo panaukweli.

kumfikisha raila hapo alipo amepatia

rostam-karume-jussa-shein

mengi yana ukweli juu ya hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…