Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Lini nilisema niko "Ulaya", uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. "Ulaya" nimeenda kutenbea au kwa kazi tu. Mimi sasa hvi nipo Mkuranga.
Kweli mkuu uliona mbali manake tangia wakati huo jamaa kapotea!hutaki unaacha, ungetupa yote kwa pamoja
Lini nilisema niko "Ulaya", uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. "Ulaya" nimeenda kutembea au kwa kazi tu. Mimi sasa hvi nipo Mkuranga.
Nimeishi sana nje ya Tanzania lakoni si Ulaya, jaribu bahati yako.
Jina kuuubwa kumbe hata Ulaya haujuwi ni wapi.
Lakoni ndio mdudu gani?
Toa L weka T.
Lini nilisema niko "Ulaya", uongo mwingine hauna kichwa wala miguu. "Ulaya" nimeenda kutembea au kwa kazi tu. Mimi sasa hivi nipo Mkuranga.
Nimeishi sana nje ya Tanzania lakini si Ulaya, jaribu bahati yako.
Jina kuuubwa kumbe hata Ulaya haujuwi ni wapi.
Lakoni ndio mdudu gani?
we unafikiri hizi tamthilia za HUTAKI UNAACHA ZIMEANZA leo?Alianza na hii hapo chini kwanza,alipoona haikupata mapokezi yaliyostahili akaihariri upya ndio akaibuka na huu mtiririko!msome alivyoanza halafu kaa chini uunganishe dots uone contradictions zake,yalekea anasahu upesi sana...
Hii ilikuwa ni 9th January 2012, na inapotokea dhalimu huyo pia akawa ni dikiteta, kwa kauli ya "hapa kazi tuu", kazi ipo..!.Kigarama, watu hao ni madhalimu, wametuwekea serikali dhalimu yenye utawala dhalimu na 2015 wanatubadilishia tuu kutoka dhalimu mmoja kwenda dhalimu mwingine huku sisi Watanzanzia tuki mu watch him play our minds away like a congregation waiting for their priest longed to hear him pray!.
Hii ilikuwa ni 9th January 2012, na inapotokea dhalimu huyo pia akawa ni dikiteta, kwa kauli ya "hapa kazi tuu", kazi ipo..!.
Pasco