Duh!!!! Me [emoji124] [emoji124]Hii ilikuwa ni 9th January 2012, na inapotokea dhalimu huyo pia akawa ni dikiteta, kwa kauli ya "hapa kazi tuu", kazi ipo..!.
Pasco
Na sasa yasemekana ndiye aliyetowa pesa ya kusomba korosho zote na kumpa kiburi malaika mkuu.Mzee Mwanakijiji sio siri mwanzo nilifikiri huyu jamaa ni wewe umeamua kutoka kivingine nikikumbuka zile enzi za zile secret dossiers!. Ukijumlisha na ukimya wako wa kutochangia chochote kwenye ile sehemu ya kwanza, nika reach conclusion ni wewe!. Kumbe I was wrong!. Welcome on this!.
Kuna mambo Rev. Mtikika aliwahi kuyasema kumhusu huyu jamaa na double personalities tulimuona Mtikila kama amechanganyikiwa!. With this revelations sasa naanza kuelewa kidogo kidogo the source of powers behind the so called King Maker and why the hell he is just so poweful!.
Hizi sarakasi zote bila shaka jiwe atakuwa alishazisikia, majuma ya juzi tumeona RA alienda jumba jeupe kumsalimia. Mkuu kwani bado anaendelea na sarakasi zake huyo RA?Hakika Hutaki Unaacha [HU] sasa umeunganisha dots zangu nimepata picha kamili kuwa RA ni Agent wa kanda ya East Africa,kama ndio hivyo basi ndie msimamizi wa maslahi yao kanda hii yote,ndio maana akapata Contarct kwenye Migodi yetu ya Madini. ambazo kampuni nyingine yoyote ahijapata kupata Tanzania katika migodi ya Bulyangulu na Mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds mwanzoni mwa miaka ya 1996. Kwa wakati huo anapata tenda ya Mgodi wa Bulyangulu kwenye miaka ya 2000s kama sikosei jamaa ile deal ilikuwa na thamani ya Billioni 45.Na hiyo ni mgodi mmoja pata picha migodi kama Mitatu yote huko una tenda ya kila Mwaka na ni mpaka sasa.
Natumaini kama alikuwa recruited na CIA ni kuanzia miaka ya mwishoni ya utawala wa Mzee Mwinyi,na ndio maana HU alisema Mzee Mwinyi alitoa agizo Wanasiasa kumshika mkono Mhindi au Mwalabu mfanyabiashara.Na aikuwa ajabu kwa kuwa yuko kazini aliweza kucheza na makundi yote mawili la Mkapa na Kikwete mwaka 1995.
RA kama agent wa CIA,alijiimalisha sana wakati wa kipindi cha Mkapa,na ni katika kipindi hicho hakuna Mtanzania aliyekuwa na shaka na Jamaa huyu, ukizingatia alikuwa anasifiwa na watawala kwamba ndiye Mtanzania wa kwanza kwa kampuni yake kushinda tenda ya za kimataifa kwenye visima vya mafuta vya CASPIAN SEA uko umangani.Na kwa kuwa CIA wao kwao ni mianya ya biashara na maslahi yao, hivyo si ajabu wanahusika na kumpa support na access zote muhimu kama vile kupropose kwa Marais na viongozi wakuu kusikiliza ushauri wa wake kwenye nyanja ya Biashara na siasa kwa kumuona kama part ya Mwananchi kumbe wanafeed nini cha kuwaambia na kufanya dhidi ya marais wetu.
Nakumbuka wakati fulani Rais Kikwete alipata kulopoka nafikili alishindwa kujizuia kwa uchungu kuhusu Richmond aliona kama kawapiga bao na ndio maana akasemwa HAWALIPWI, lakini yaliyosikika akisema "SIJUI WATAKUJA KWA MBINU GANI".Hakika sasa nimeelewa kuwa alimaanisha hao waajili wa RA ambayo RA ndio Agent wao.Na kweli wakaa chini wakaona migodi yao bado inaitaji umeme hivyo wakaja na simbion Pole sana Kikwete hakika unastahiki pongezi kwa kuwa umekuwa na kigugumizi kwa mengi,kumbe nyuma yake wapo wazee wakazi wanaoitetemesha dunia.Umejitahidi sana kucheza nao.Manake kazi yao kwa sasa umangani imefanikiwa sana.
Hila huyu agent wao na hakika mambo yao na wao watamalizana nao kwa kuwa wanakanuni zao za USE AND ABUSES.Wakiona mambo kama haya mission inakuwa terminated. Ni vyema haki sytle ya usalama ilokuwa inatumiwa na Mwalimu haina budi kuludishwa yani safari hii Jamaa wameingia mpaka kwenye TISS yetu jamani Watanzania mliosomeshwa Cuba, Russia, China, Israel mlikuwa wapi mnawaacha watu aina ya RA na JM wanasogelea TISS na viongozi, wake nanyi mnakaa kimya matokeo yake mmeshikwa na woga na stahili yao ya vitisho.
Kosa kubwa sana na lawama kwa haya yote kutokea ziende kwa utawala wa awamu ya tatu.Na hakika safu za Watanzania waliosomea ujasusi Tanzania, China, Cuba, Russia , Misri na kwingineko kujiunga na kuondoa uchafu huu kwa kuwa tunajulikana hatufungamani na mtu yoyote.Tanzania ni kwa Watanzania, hakika Mwalimu ilo aliliweza na CIA wanalijua hilo walimuheshimu Mwalimu nae aliwaheshimu Marekani lakini sio hilii la kuja kututawala kisiasa na kiuchumi na soon watatuwala kiutamaduni ndio maana wanatuletea Shogaism. Yani ndio kusema tumebuluzwa na Marekani yapata miaka ishirini sasa.Ndio maana hata Mwananchi wa kawaida kesha stuka kuwa Nchi ilishauzwa
Ila hakuna Nyoka mbaya Tanzania na kwa Iran na Mataifa yote ya EA kama RA.Hivi jamani unawezaje kuwa msaliti kwa watu ambao umekuwa nao maisha yako yote hata kama si ndugu zako.Mimi mwenyewe kumsaliti classmate wangu siwezi sembuse jamaa wa karibu. Ila dawa yake wanao hao hao waliomuhajili uzuri Rais ujumbe kapata.Ndio maana nikasema wenye akili zao wanamchezesha hakuna cha King maker hapo kuna Tarishi kw kuwa agent kazi yake ni kutekeleza maigizo ya principal.Hivyo vindumbwe ndubwe vyote nchini vya Migodi,EPA, Richomond na Dowans nyuma yake kuna vigogo wa dunia aka viongozi wetu toka enzi ya Mwalimu wamezoe kuwaita "Wakubwa hawa"
Mkuu kama RA ni real agent or CIA contractor, ni ngumu sana kujua previous trend ya maisha yake, kuna sehemu utaona kuna vitu vina miss. Hata Osama ilikua ni hivyo hivyo.
Pinda alituangusha sana, kwahiyo aliona bora nchi iendelee kufilisika chini ya hao mafisadi kuliko kuiyumbisha nchi lakini tukabaki na rasilimali zetu?mnakumbuka Pinda alisema tukiwagusa hawa mafisadi nchi itayumba?
Asante mkuuWana JF, hakuna haja ya kuwa na hofu yoyote juu ya CIA na RA, kwani hata wao CIA wana heshimu sana UMMA. CIA huwa wanakuwa na jeuri pale tu wanapopata vibaraka wa kuwapandikiza kwenye their strategic interest areas, haswa pale vibaraka hao wanapofanikiwa kuufanya UMMA ufyate kwa hofu. Vinginevyo, kwa miaka mingi sana, CIA walimlinda Mubarak pale Misri kwa sababu ya strategic interest ya Israel, lakini UMMA wa Misri ulipoamka, CIA ikamshauri Mubarak angatuke. Pia huko Afganistan, ni juzi tu CIA wamemshauri Kazai kumaliza tofauti zao na Taliban, huku Marekani ikisaidia kufanikisha hilo, baada ya CIA kugundua kwamba UMMA wa Taliban will only retreat, but will never surrender. MIfano ipo mingi sana.
Vijana, sisi tunaondoka. Lakini natoa wito kwa vijana kama nyie mliokuwa na upeo kuliko wenzenu wa mitaani na vijijini, waongozeni wenzenu kupigania nchi yenu. Lakini hadi sasa, ni wao huko Mbeya, Arusha, ndio wanaowangoza nyie, na kuwapa fikra kwamba kumbe inawezekana, wakati suala hili lilitakiwa liwe kinyume, kwa nyie kuwaongoza. Ebu jaribuni kuwaza iwapo vijana hawa wa Mbeya, Arusha na kwingineko watapata mwongozo na ushirikiano kidogo tu kutoka miongoni mwenu, si tutakuwa tunaongea majina ya RA, EL , kama ni historia? Lakini mjiandae kupoteza maisha ya baadhi miongoni mwenu, lakini hilo lisiwe kikwazo na lisiwatie hofu, kwani hiyo nayo ni sehemu ya mapambano. Vinginevyo, pamoja na ukweli kwamba JF inatikisa mpaka chumbani ikulu, na ina watu waliopewa kazi maalum kuifuatilia kila siku, na wapo kwenye pay roll za Ikulu kwa Salva Rweyemamu, TISS, na Ofisi ndogo ya CCM Lumumba kwa kazi hiyo tu. Vinginevyo furaha kubwa ya watawala wetu ni pale JF na nguvu yake kubwa, itakapoendelea kubakia kuwa ni kijiwe cha Soga, na sio jukwaa la vitendo vyenye lengo la kuleta mabadiliko.
Huu mtandao una mwisho, lakini kipindi hicho watakuwa wameiacha Tanganyika ikiwa taabani. Kizazi kijacho kitabidi kianze kujenga nchi upya.
Akili kubwa sana inahitajika kwenye michezo ya BIG BOYS GAME, uwa HAWAKOMI NI CONTINUOUS PROCESS cha msingi ni kuwachezesha SEBENE wakati wote kidogo kidogo hadi TUNAJIJENGA KIUWEZO KULINDA MALIASILI ZETU.Hizi sarakasi zote bila shaka jiwe atakuwa alishazisikia, majuma ya juzi tumeona RA alienda jumba jeupe kumsalimia. Mkuu kwani bado anaendelea na sarakasi zake huyo RA?
Yameguswa na sasa tunaona sarakasi zinazoendelea.Pinda alituangusha sana, kwahiyo aliona bora nchi iendelee kufilisika chini ya hao mafisadi kuliko kuiyumbisha nchi lakini tukabaki na rasilimali zetu?
Hapana..... kwa hiyo alternative plan ni mwendelezo kwa kumtumia PK baada ya original script kuvurugwa 2015? Na ile inayosemekana ... " kompromat" iliyopo kama ni kweli sio kwa maslahi ya ile nchi ya jirani bali ni kwa wale wale? (Oppenheimers, Rothschilds wa dunia hii)
Chezea Chumaa.............Kisukuma Wanasema Kandageja Ngosha.....Masanja anasema Kandamiza Ng"wanaone....Mgandamizo wakurya wanasema HADI KIHEREMA kilejeee..iwe kwa jiwe au dodoki kitaelewekaNa sasa yasemekana ndiye aliyetowa pesa ya kusomba korosho zote na kumpa kiburi malaika mkuu.
Huyu jamaa ni Ghost.
Tumeelezwa humu fedha za korosho zimechotwa strong room pale na kupitishiwa TADB. Don't believe everything you hear, ila it's true kuna jambo huyu the king maker is behind. Baada tuu ya kuonana na mkulu pale Nyumba kubwa, kesho yake alimuondoa Mhariri Mkuu wa gazeti lake na kumuweka bench. Soon mtasikia MD wa Mtanzania ameachia ngazi, then Mstaafu Salva anaweza kurejea as mshauri, gazeti limeunga mkono juhudi.Na sasa yasemekana ndiye aliyetowa pesa ya kusomba korosho zote na kumpa kiburi malaika mkuu.
Huyu jamaa ni Ghost.
I see, kwa hiyo huyu King maker ameusaliti mtandao au kuna kitu kinapikwa?Tumeelezwa humu fedha za korosho zimechotwa strong room pale na kupitishiwa TADB. Don't believe everything you hear, ila it's true kuna jambo huyu the king maker is behind. Baada tuu ya kuonana na mkulu pale Nyumba kubwa, kesho yake alimuondoa Mhariri Mkuu wa gazeti lake na kumuweka bench. Soon mtasikia MD wa Mtanzania ameachia ngazi, then Mstaafu Salva anaweza kurejea as mshauri, gazeti limeunga mkono juhudi.
P
Mayalla acha ramli sasa mwenzako akipoteza kazi unafikiri atakula wapi?Baada tuu ya kuonana na mkulu pale Nyumba kubwa, kesho yake alimuondoa Mhariri Mkuu wa gazeti lake na kumuweka bench. Soon mtasikia MD wa Mtanzania ameachia ngazi, then Mstaafu Salva anaweza kurejea as mshauri, gazeti limeunga mkono juhudi.
No hajapoteza kazi, amewekwa tuu bench, mshahara uko pale pale.Mayalla acha ramli sasa mwenzako akipoteza kazi unafikiri atakula wapi?
IrrelevantRostam karudi na nguvu zote sasa, acha tuone mwisho wa huu mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
DA mkuu upo longtime sana komrediRostam karudi na nguvu zote sasa, acha tuone mwisho wa huu mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app