Ukifikiri sana utaokota makopo kwakweli! Ninahakika hata haya machache ya kizalendo ni yale masalia ya Mwl Nyerere!Mtizamo, rais yupi?, aliyewekwa na nani?. Inteligensia ipi na maamuzi magumu yepi? kwa uwezo gani? kuinusuri niniiliyokwisha teketea?!.
Unakera sana mpuuzi wee... Watu wanaangalia nation kwa ujumla wewe bado uko bize na lowassa kwa rais 2015Wow!
Ni Lowassa pekee ndie atakayemsaidia JK akimaliza term yake. Ndugu yangu Pasco haulali?
2015 ni Lowassa!
Kama CIA wanahusika ktk politics za tanzania na endapo hizi taarifa zina ukweli , basi hii nchi haitakuwa "kisiwa cha amani " time will tell. tumeona yaliyotokea sierra leone , congo na hivi sasa yanayoendelea ktk nchi za kiarabu.
Chadema kuchukuwa nchi matope yatageuka blue band!
Kama CIA wanahusika ktk politics za tanzania na endapo hizi taarifa zina ukweli , basi hii nchi haitakuwa "kisiwa cha amani " time will tell. tumeona yaliyotokea sierra leone , congo na hivi sasa yanayoendelea ktk nchi za kiarabu.
mkuu aliyekwambia rostam ni mtanzania ni nani?mtanzania hana guts za kucheza diliza kuuza nchi namna hiyo..huyu mtu sijui kama anashikika since USA are backing him...obama go to hell..Ile ya RA kuwa ni mtanzania pekee kuhudhuria mkutano Arusha na Bush kama kweli ni hatari.
Mama Porojo hebu soma tena kwa umakini utamwelewa mtoa mada.jiulize mtoa mada anaposema "nakukudanganya" anamaanisha nini kwa mapana yake?Tom Apson si mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa haingii akilini kwamba angejua mambo ya msingi kupitia kwa baba yake eti tu kwa sababu ni mtoto wa aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Idara hiyo ndugu Apson. Tuwe makini na maneno ya mitaani
kwenye red nisaidie mimi nijasoma academy..unamaanisha nini?nilichokiona hapa kaka,ni kwamba by any means Lowasa is the next president to come,probably hali itabadilika but as i can see in future atatekeleza mradi uleule wa mabwana wa Kubwa,
Naipenda staili yake ya kutuachia vitu na yeye kutokomea gizani. its good to be safe bros!!Masimulizi yanaendelea....
Bila kizazi chetu kupigania rasilimali za nchi hii unadhani kizazi kijacho kitaijenga nchi upya kwa kitu gani?Huu mtandao una mwisho, lakini kipindi hicho watakuwa wameiacha Tanganyika ikiwa taabani. Kizazi kijacho kitabidi kianze kujenga nchi upya.
Samahani Mama Porojo,msome tena mtoa mada.hujamwelewa! Hayo tunayoyaona kwa macho ni makapi tu! Vitu viko nyuma ya pazia kufanya hayo yatokee!kumbuka mwaka 1995 baada ya Jk kushindwa na Mkapa alikuja viwanja vya biafra kinondoni na kutangaza kuvunja kambi yake na kuwaomba wafuasi wake wote wahamie kambi ya mkapa ili kujenga chama. Mimi ni mmoja wa waliokuwepo uwanjani hapo na vyombo vya habari vingi viliandika msimamo huu kwa hiyo Rostam Aziz kuonekana akiwa na kambi ya mkapa hakuwa amemsaliti yeyote kwani hata Jk aliingia hadhalani mikoa mbalimbali kumpigia kampeni mkapa na yeye Jk alimsaliti nani?