Wewe hujiulizi ni kwa nini Nyalandu alisema USA wanataka yeye awe Rais 2015. Nani alimwambia kwamba USA wanamtaka kama hakuambiwa na mtu wa CIA. Just connect the dots!!Rostam! CIA agent? can't believe this. This man is terribly dangerous. Really
Wewe nawe! Ushaibuka na udini! Yaani unampangia hadi sentensi za kuandika!namngojea zaidi UCHAMBUZI WA EDWARD. NAAMINI MCHAMBUZI SWALA LA MKATABA WA MOU UTAFAFANULIWA. UMEASISIWA NA CIA,KUTUNGWA NA NATO NA KUTUMIWA MZEE UFISADI YAANI EL NA HATIMAE MAKANISA YANALINYONYA TAIFA KWA MKTABA HATARI NA WA KINYONYAJI KWA TAIFA LETU CHANGA.
hapo kwenye red umeinajisi comment yako yote!!rudia kusoma utaona sehemu ambapo jk alipokea briefcase zilizojaa dola na hutaji unaacha anauliza mr.president alizipeleka wapi hizo fedha?!Pamoja na kushtushwa na taarifa hizi lakini bandugu na Adm nzima ya JF,hapa tunaanza kugusa na maslahi ya Marekani na for sure lazima watafuatilia effect ya taarifa hizi! Ninavyofahamu wanaweza kujaribu hata kuingilia mtandao huu kwa maslahi yao! Naamini JF imekomaa sasa wataweza kudetect any threat! Umakini uongezeke kidogo maana haya ni kwa maslahi ya taifa hili na kumsaidia Rais wetu ajue hali ilivyo kwa mapana yake.
Kwa masual yanayohusu intelijensia, futa hiyo kauli yako kabisa!, nasikitika huenda hujui vyema kuwa watu wana kazi mbilimbili au zaidi!.ukiunganisha dots katika thread hii unaona kuna watu wanaunganishwa kwamba wanaweza kuunda mtandao mmoja lakini kiukweli hawa watu hawawezi kukaa meza moja na kuaminiana kwa asilimia 100 ili kuweka mpango mkakati mkubwa kama huu kutokana na historia ya siasa za nchi yetu hasa tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza 1992, bila kujali watu hao wako chama kimoja au la. kuuaminisha uuma kwamba sasa kambi hizo zinaaminiana si kweli
kama kweli ni pumba basi sisi tunachukua nafasi ya Nguruwe, ni chakula kizuri tu kwetu. Hivi unafikiri anapomtaja Mwamunyange kumdharau Jakaya anataka sifa?Aiseee!.... Umerejea tena na pumba zako, Unachonishangaza ni kwamba huna point wala mpangilio katika uandishi wako. Hata hivyo unatimiza wajibu kama unavyotumwa.
Hakuna mtu ANAYEUAMINI bali watu wote humu ndani wanajaribu kuunganisha vifundo ili kama kweli kuna ukweli ndani yake mnyororo unaoangamiza nchi yetu ujulikane umeanzia wapi na kuishia wapi. Duniani hakuna uzushi mtupu lazima ndani yake kuwe na ukweli fulani.kwa nini tunakubaliana na uongo huu mkubwa basi weredi wetu hauna maarifa ya uchambuzi wa kina katika masuala ya kisiasa.
kama kweli ni pumba basi sisi tunachukua nafasi ya Nguruwe ni chakula kizuri tu. Hivi unafikiri anapomtaja Mwamunyange kumdharau Jakaya anataka sifa?
Tom Apson si mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa haingii akilini kwamba angejua mambo ya msingi kupitia kwa baba yake eti tu kwa sababu ni mtoto wa aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Idara hiyo ndugu Apson. Tuwe makini na maneno ya mitaani