Kikwete kainua uchumi wa Tanzania

Kikwete kainua uchumi wa Tanzania

Umeandika mengi sana, lakini ya muhimu ni matatu.
1. kwa mwenzi ni sh 140000 kwa kili mtanzania, kutokana na mahesabu ya GDP.
2. Jamii inamsuta kwa umasikini
3. Fungua milango ya uchumi

Nikianza na hili la GDP. Kwa lugha nyepesi ni kwamba, GDP ni kiwango cha pesa ilichonacho Nchi gawanya kwa idadi ya wananchi wake. Mfano, kama Zawadi nina sh 1000 na mwenzaqngu Juma contena una 10,000, kama sisi ndio tunafanya nchi basi GDP = (1000+10000)/2 =5500 sh. Huu ndio utaratibu unaotumika. Kama unaona utaratibu huu unamakosa basi lazima uje na ule mpya unaodhani uafaa. Lakini mpaka leo huu ndio utaratibu unaotumika.

Pengine nikusaidie kitu usichokijua kimoja na kikubwa sana. Ni vipi mgawanyo wa pesa hiyo iliyomkononi mwa matajiri itawafikia walala hoi? SWALI HILI NDIO LA KUTATULIWA NA NDIO SUALA LA WANASIASA. Na hapa ndio hutofautiana kati ya komunisti, wasocialist, liberal, mabepari wenye mlengo mkali kama Republican au wale waingereza maconservative. CHA MSINGI NA CHA AWALI NI KUWA PESA YENYEWE IPO NCHINI, MGAWANYO NI NYINYI KATIKA UCHAGUZI NDIO MNAAMUA.

Ufunguzi wa milango ya uchumi, hilo halina mjadala. Si kitu cha kuomb li nni wajibu wakee kufanya hivyo. Ameanza, lakini mwendokasi ni mdogo mo. Mfano, ukinunua kiwanja Mbezi toka kwa Zawadi, unaweza kubadili jina moja kwa moja. Sio kama zamani mpaka ujene kwanza.

Kifupi nawez kuseaa kuwa eneo hili la kutoa sheia za kirasimu katika biashara a maswala mengine ni lazim lishughulikiwe. Na litasaidia sana kwenye kuondoa rushwa na kuongeza uchumi.

1..labda ujisaidie mweyewe mawazo yako kwani 140000 kwa mwezi roughly ndio mgawanyo wa GDP kwa takwimu ulizo leta na mchango wako either kuna gap kubwa between the rich and the poor au unaleta takwimu za ajabu au labda ujui unaloliongelea on the macro picture kama ulikuwa na akili ungezidisha £1300 na watu wake ungeona ai make sense na maisha kidogo yangekua nafuu ndio maana nikakwambia yaani unamaana kwa mwezi ni 140000 kwa kila mtanzania kwa mwaka 1.5 mil roughly.

2..Pili kuna uchumi wa aina tatu duniani so far capitalism, socialism na tradition economy (caste systems).

Leo nchi nyingi zina combine karibu mbili ukitumia mifano yako ya awali utagundua India wana caste na capitalism hivyo kuna maendeleo lakini order ya kazo ni vile vile caste la chini kama kazi azitoshi aziwa fikii ndio maana regardless of the advance india iliyokuwa nayo duniani bado wanamskini wengi.

Socialism ni government being responsible for its people kwa hivyo huko ni serikali kuendesha uchumi lakini na wao pia leo wameeanza kuingiza na capitalism ili kuweza kuwacha wale wenye vipaji na hela wachangie kuinua uchumi. Kwani uchumi ni kuboresha maisha ya wengi.

Capitalism ni kusema na mwenye kuweza aweze ilikua hivyi mpaka miaka ya 40 ndipo walipogundua hawa jamaa wasipo saidiwa (maskini) ni hatari kwa jinsi wanavyo ishi kama wabongo tu umatatizo mengi ya kujitakia na ignorance ndipo hapo the welfare state ilipoundwa. Kwa mpuuzi anaweza sema hii ni socialism lakini ni kuwa responsible na watu wako.

Kwa hivyo ni jukumu la serikali kusaidia watu wake katika capitalism ni kwa namna ya tax na si kuboronga kama ulivyo sijui socialism, na nini.

sasa vyama vya siasa vinaingia kwa namna yake wanachokiona ni kwa faida ya jamii 'right politcs' and 'left and politics' ni viko based on moral rights on what best to serve society and how to help the needy ndipo hapo sokomoko la pubilc spending debate linaingia hiyo tena nenda kasome mwenyewe hila umelopoka mno hapo.

3. Hilo ndio tatizo letu ni vyema kama na wewe umegundua hii aitabadirika mpaka Raisi mmoja aingie na kusema huu mchezo inabidi uishe na sheria zi fanye kazi hivyo mwambie raisi wako akisha win the next election he has nothing to protect any more ni kuvunja nguvu zake na kugawa sheria ifanye kazi. Ili atakae kuja 2015 ajue kabisa tuta mpeleka mahakamani akileta mambo ya nuksi. Tanznaia ni maskimini inabidi uelewe hilo labda sio wewe ila watu ni maskini. Ukitaka kujua nchi yenye uchumi unaokuwa unaangalia na social mobility, na ni almost non existence.
 
Homa ya Uchaguzi 2010 imepanda lakini Wahenga walituambia kuwa Chema hujiuza na kibaya hujitembeza.
 
Lakini kikwete si kwamba hajafanya kitu sema ana matatizo ktk uteuzi wa watendaji.
Hana bouldness kwenye maamuzi mazito kiasi kwamba majambazi wakubwa wa uchumi wa nchi yetu anawaangalia tu wakiendelea kupora.
 
Mugo"The Great";589494 said:
Homa ya Uchaguzi 2010 imepanda lakini Wahenga walituambia kuwa Chema hujiuza na kibaya hujitembeza.

Kabisa
 
1..labda ujisaidie mweyewe mawazo yako kwani 140000 kwa mwezi roughly ndio mgawanyo wa GDP kwa takwimu ulizo leta na mchango wako either kuna gap kubwa between the rich and the poor au unaleta takwimu za ajabu au labda ujui unaloliongelea on the macro picture kama ulikuwa na akili ungezidisha £1300 na watu wake ungeona ai make sense na maisha kidogo yangekua nafuu ndio maana nikakwambia yaani unamaana kwa mwezi ni 140000 kwa kila mtanzania kwa mwaka 1.5 mil roughly.

2..Pili kuna uchumi wa aina tatu duniani so far capitalism, socialism na tradition economy (caste systems).

Leo nchi nyingi zina combine karibu mbili ukitumia mifano yako ya awali utagundua India wana caste na capitalism hivyo kuna maendeleo lakini order ya kazo ni vile vile caste la chini kama kazi azitoshi aziwa fikii ndio maana regardless of the advance india iliyokuwa nayo duniani bado wanamskini wengi.

Socialism ni government being responsible for its people kwa hivyo huko ni serikali kuendesha uchumi lakini na wao pia leo wameeanza kuingiza na capitalism ili kuweza kuwacha wale wenye vipaji na hela wachangie kuinua uchumi. Kwani uchumi ni kuboresha maisha ya wengi.

Capitalism ni kusema na mwenye kuweza aweze ilikua hivyi mpaka miaka ya 40 ndipo walipogundua hawa jamaa wasipo saidiwa (maskini) ni hatari kwa jinsi wanavyo ishi kama wabongo tu umatatizo mengi ya kujitakia na ignorance ndipo hapo the welfare state ilipoundwa. Kwa mpuuzi anaweza sema hii ni socialism lakini ni kuwa responsible na watu wako.

Kwa hivyo ni jukumu la serikali kusaidia watu wake katika capitalism ni kwa namna ya tax na si kuboronga kama ulivyo sijui socialism, na nini.

sasa vyama vya siasa vinaingia kwa namna yake wanachokiona ni kwa faida ya jamii 'right politcs' and 'left and politics' ni viko based on moral rights on what best to serve society and how to help the needy ndipo hapo sokomoko la pubilc spending debate linaingia hiyo tena nenda kasome mwenyewe hila umelopoka mno hapo.

3. Hilo ndio tatizo letu ni vyema kama na wewe umegundua hii aitabadirika mpaka Raisi mmoja aingie na kusema huu mchezo inabidi uishe na sheria zi fanye kazi hivyo mwambie raisi wako akisha win the next election he has nothing to protect any more ni kuvunja nguvu zake na kugawa sheria ifanye kazi. Ili atakae kuja 2015 ajue kabisa tuta mpeleka mahakamani akileta mambo ya nuksi. Tanznaia ni maskimini inabidi uelewe hilo labda sio wewe ila watu ni maskini. Ukitaka kujua nchi yenye uchumi unaokuwa unaangalia na social mobility, na ni almost non existence.
Nashukuru kwa maelezo yako, ambayo kifupi ningesema umenielewa vizuri sana, pamoja na kwamba umeshindwa kuganda kwenye point kuu. Si mbaya!

Kwanza kabisa ningeanza na paragraf ya mwisho. kikwete ni rais wetu na Si Rais Wangu. Maana ndo tulimchagua wote. Ndio shida na matatizo madogo madogo yaliyopo kwenye taratibu za dunia, kama lile la GDP. Tukichukulia Mkapa, uchaguzi wa kwanza alichaguliwa kwa kura 52%. 48% hawakumtaka lakini waliwajibika kumwita Rais wao pia. Ah Sheria ni Kiboko! Achana na hayo.

Nikitolea muhtasari wa yote uliyoyaandika nitanukuu sehemu hii- "Capitalism ni kusema na mwenye kuweza aweze ilikua hivyi mpaka miaka ya 40 ndipo walipogundua hawa jamaa wasipo saidiwa (maskini) ni hatari kwa jinsi wanavyo ishi kama wabongo tu umatatizo mengi ya kujitakia na ignorance ndipo hapo the welfare state ilipoundwa. Kwa mpuuzi anaweza sema hii ni socialism lakini ni kuwa responsible na watu wako". Ukweli nchi zetu za Afrika zipo hapa, na hapa ndio ndugu zetu wengi wanapofanya makosa au kujichanganya. Kati ya karne 21 tuliyonayo na hali halisi ya ueleo na uchumi wa wananchi wake. Na ni vizuri umetoa mfano wa India!

Kifupi hayo maelezo yako yanaelezea nchi za Ulaya na Marekani. Ngoja nikwambie ukweli mmoja uliouficha hapo. Sio matajiri ndio waliamua kwa hiari yao, bali walipata shinyikizo toka kwa masikini (wananchi). Na shinyikizo kubwa lilianza toka kwa vyama vya wafanyakazi. Hawakuwa na jingine ila ni kutafuta suluhu. Na ndio wakati huo kukazuka njia tofauti mbadala kama Ujamaa, ukomunisti, liberal n.k

Tofauti ya vyama vyao vya wafanyakazi na vyetu ni kwamba, vyama vyao vilianzia kwa masikini(walala hoi), wakati hivi vya kwetu vimeanzishwa toka juu. Yaani CCM ndio ina anzisha JUWATA. Na CCM ndio serikali n dio unategemea JUWATA iandamane dhidi ya CCM?

Kwa hiyo muhtasari wa yote uliyoandika ni kama ifuatavyo: Bila kuangalia Serikali yeyote ile iwayo, Shinyikizo la wananchi kwa serikali kwa mambo yale ya msingi ni jambo endelevu na ni wajibu wa mwananchi kwa serikali. Ni haki ya mwananchi kueleza matatizo yake kwa serikali, na serikali inawajibu wa kutoa melezo na kutatua.

Matatizo yapo, na hatutayamaliza kwa siku moja, la msingi ni kuanza safari. Na safari imeanza!
 
....

Matatizo yapo, na hatutayamaliza kwa siku moja, la msingi ni kuanza safari. Na safari imeanza!

Na safari inaanza kwa kumtoa Kikwete aliyevuruga uchumi wa Tanzania na uongozi wake usioeleweka ila unaofilisi nchi.
 
Zawadi,

Kwa nini Deni la Taifa limeongezeka marudufu?

Ikiwa Deni hili ni 33% ya GDP kwa mwaka wa pesa 2008, si kweli kuwa true GDP basi si $1300 bali ni $910?

Je kwa nini Matumizi ya Serikali kuu yameongezeka na ile Surplus aliyotuachia MKapa imepotea kabisa?

Je kukua huku kwa uchumi kuna factor rushwa katika Baeti ya nchi ambapo kwa kauli yake mwenyeke Kikwete ni kuwa mwaka jana wa fedha, rushwa, ubadhirifu, hujuma na matumizi mabaya ya fedha kwenye bajeti ilikuwa ni 30% ya Bajeti ya 2008 ikiwa ni ongezeko la 10% kutoka kiwando cha rushwa cha 20% kwenye bajeti ya 2007?

Je ikiwa kila sarafu ya Dunia ilipata nguvu dhidi ya Dola ya Marekani kutokana na Uchumi wa Marekani kuporomoka, ni kwa nini sisi bado tunachechemea na hatukuona ahueni?

Maswali kama haya Zawadi hawezi kuyajibu.

Yako juu ya kiwango chake cha kawaida cha kufikiri. Ukiona mtu anasifia kuwa uchumi wa nchi umekua kwa vile tu uchumi wa nchi zingine umeanguka, basi haiitaji kwenda mbali sana kujua upana wa hoja za mwanzilishi wa mada hii.
 
Ndugu yangu jibu ni rahisi sana waala haihitaji uumize kichwa.

1. Tunahitaji infrustructure (barabara, Mahospitali, Umeme, n.k). usione uwanja wa mpira Dar umejengwa ukafurahia ukidhani ni pesa ya CCM. Hapana ni mkopo. Usione daraja Ruvuma -Msumbiji limejengwa, ni Mkopo. Usione Chuo kikuu cha Dodoma kimejengwa ni mkopo.......na na...na...na.

2. Hakuna rais hata mmoja wa Tanzania Toka Nyerere mpaka Mkapa anayeweza kujigamba eti hakukopa pesa. Hapa ja mani tuache propaganda za kuhadaa wananchi kwa kuficha ukweli.

Leo hii hakuna nchi hata moja Afrika INAYOWEZA KUENDESHA UCHUMI WAKE BILA KUKOPA. Kama wewe ni mkweli hrbu tuandikie deini la nchi zifuatazo: Afrika Kusini, Misri, Angola, Botswana, Namibia na Nigeria. Halafu linganisha na Tanzania kama hukupata kigugumizi.

Sipo hapa kwa ajili ya propaganda, ili kwa ajili ya nchi yangu. NDIO TUNAWEZA!!!!!!!
 
Kuna kukopa kwa hali ya kawaida, na kuna kukopa kwa kupita kipimo huku hizo pesa za mkopo zikitumika kwa mambo ya kijinga ---- kama vile pesa zaidi ya trilioni moja ambazo Kikwete amempa fisadi Noni kwa ajili ya stimulus.

Jibu maswali unayoulizwa na sio kutoa general statements.

Haiingii akilini kuwa Tanzania ilifutiwa madeni yake kwa kiwango kikubwa miaka sio mingi iliyopita lakini kwa miaka minne tu ambayo Kikwete amekuwa madarakani,

- pesa ya ziada kwenye account ya pesa za kigeni imekwisha
- deni linaongezeka kwa kasi ya ajabu (watalipa watoto na wajukuu zetu)
- matumizi yasioeleweka (trilioni moja za stimulus)
- huduma za kijamii na miundo mbinu bado inasua sua

Haya ni maswali muhimu yanayohitaji majibu makini na sio tabasamu na vicheko anavyovitoa Kikwete kila mara akiulizwa maswali kama haya.

Kama mtizamo wa Kikwete ni huu unaounyesha hapa, hii nchi inaelekea kuzimu.
 
Matatizo yapo, na hatutayamaliza kwa siku moja, la msingi ni kuanza safari. Na safari imeanza!

Safari ya kuelekea wapi? Hata ahera? Hatua ya kwanza kuelekea kwenye neema ni kumfukuza JK na CCM yake kutoka kiti cha enzi.
 
Kuinuka na kudorora kwa uchumi kuna factors nyingi sana. Uongozi ni sehemu ndogo ya BIG PICTURE.

Hivyo mnaweza kuwa na kiongozi mzuri na bado uchumi ukaboronga. Kwa mfano waziri mkuu wa uingereza Gordon Brown ni mtu makini sana lakini nchi inaboronga.

Matatizo ya uchumi duniani na kuchuka kwa thamani ya dollar, kumefanya watu kununua gold na kuongeza thamani ya madini hayo. Sehemu kubwa ya mapato ya Tanzania inatokana na gold. Hivyo kiongozi wa Tanzania hatakiwi kufanya miujiza yoyote kuukuza uchumi.

Vilevile matatizo matatizo ya uchumi yamefanya sekta ya utalii kuwa na matatizo. Hivyo basi nchi yoyote inayotegemea utalii, itakuwa kwenye matatizo ya kiuchumi hata kama kiongozi wake ni genius.

Hivyo kutumia indicators za uchumi kumuondoa JK au CCM madarakani inawezekana kuwa ni tough sell. Pamoja na hayo sio lazima Kiongozi au chama kiondolewe madarakani kwa kutumia vigezo vya uchumi. Kashfa za EPA, Richmonda na kushindwa kufanya reform kunaweza kuwa sababu kubwa.
 
  • GDP per capita ndio mdudu gani?
  • Yaani wanauchumi wetu bado wanatumia kigezo cha nchi ambazo ni industrial?
  • Vya wakulima, wafugaji (wanyama na kuku), wavuvi, waokotaji na wachumaji msituni (wa-Barbaig, kwa mfano) vya kwao havipiti through the "market" ili kubaini kuwa vina thamni gani.
  • Kusema kweli, GDPs za nchi maskini ziko juu!
  • Anayesema kuwa takwimu za CIA huwa zinaaminika duniani, ni mwongo! fanyeni utafiti mjue ukweli zaidi kulikao kutundika "over-loaded statements"!
Kuna ushahidi kemkem, kwa mifano:
  1. CIA walikosea katika kutathimini kunaguka kwa the Soviet Union!
  2. CIA walidanganya ulimwengu kuwa saddam Hussein alikuwa na WMD!
  3. Kwa muda mrefu dunia ilikuwa ikiwaambia kuwa joto linazidi (global warming). lakini wenyewe walikuwa wanakataa!
Hawa wenzetu (USA) wakimpenda kiongozi/nchi watampamba tu kwa ajili ya

  • Anayesema kuwa
 
GDP imeongezeka kwa sababu moja tuu...GOLD nyingi sana inatoka TZ lakini ukweli story nzima ya gold yetu tunaijua na hakuna cha income wala tax tunapata zaidi ya kuachiwa mashimo na vumbi tuu,upuuzi mtupu!
 
Give me a break...!!!!Kikwete kainua uchumi wa bongo how? Mataifa makubwa uchumi unatikisika halafu bongo uchumi umeinuliwa... kazi ipo kweli kweli naona kuna watu wapo kwenye ndoto za mchana
 
Mkuu kama kweli hiki ndio unachokiona pole sana. Una aamini kweli waalimu ni asilimia 100? madai yao wameshughulikiwa, ajira mpya? pole sana mkuu. Naona bado Mkapa was far better than JK. Miaka 5 ya kwanza ya Ben tuliona mengi tangible lakini sasa ya JK wewe ndio unayaona.

Hayo ni maoni yako binafsi na zangu ni takwimu za uhakika au hulijui hilo?
 
Ee bana Dar es Salaam sawa kabisa! Imebaki Kikwete kujenga misikiti ya Ijumaa kila mkoa Tanzania. Nadhani akifanya hivi, uchumi utakuwa 100%! Kipato kitapanda 100% kwa kudra ya Allah na tabasamu ngekewa ya Kikwete! Watu tutakuwa tunaishi mbinguni!

Na hilo pia linawezekana kwani ni Muislam, mbona Nyerere alijenga makanisa Tanzania nzima na akalikumbatia kanisa kwa hali na mali, mpaka fedha zetu za kodi wamepewa na Nyerere, au hilo hulijui? Na ndio moja ya Sababu ya kutaka kupewa ''Utakatifu'' au na hilo hulijui?

Lakini JMK hatofanya kama utakavyo, atafanya kama anavyofanya sasa, la kuendesha nchi kwa ufanisi mkubwa kabisa, kwani uIslam wake ndio unamfundisha hivyo. Ni kama mfano mfano wa Mwinyi alivyotutoa kwenye lindi la umasikini tuliloachiwa na Nyerere na sasa JMK ametupandisha kutoka kipato cha chini ya dola 1 kwa siku na kwenda kwenye dola 1.4 na kwa muda mfupi tu.

Ukweli unauma, hasa ukiona kuwa haya Marais yasiyokuwa MaIslam mbona hayafanikiwi kama hawa ma Rais waIslam? Jibu ni simpo! lakini kama huna macho hutaliona!
 
....

Ukweli unauma, hasa ukiona kuwa haya Marais yasiyokuwa MaIslam mbona hayafanikiwi kama hawa ma Rais waIslam? Jibu ni simpo! lakini kama huna macho hutaliona!

Dar es salaam,

Naona haikukuchukua muda kuonesha rangi zako za kitaleban taleban. Kitu kimoja nikukumbushe mkuu, mpango wa kuibadili Tanzania kuwa nchi ya kiislam kupitia mahakama za kadhi na OIC umegonga mwamba.
 
Soma vizuri post yangu uone ni nani alieanzisha ukurusedi na ukianza na ukurusedi utajibiwa kama ilivyo, au hukuliona hilo?

Mahakama za kadhi zinakuja, hakuna wa kulizuia hilo na OIC itakuja tu, nyie payukeni mpaka mchoke hamuwezi kulizuia hilo. Time tu haijafika.
 
Huo ukurusedi wako utaishia huko huko Somalia na Afghanistan na wala hautagusa Tanzania unless kama unataka vijana wa kikurya kure kwenye chesi la wananji wakuangusiege abughirebu yako hadi ushangae
 
Na hilo pia linawezekana kwani ni Muislam, mbona Nyerere alijenga makanisa Tanzania nzima na akalikumbatia kanisa kwa hali na mali, mpaka fedha zetu za kodi wamepewa na Nyerere, au hilo hulijui? Na ndio moja ya Sababu ya kutaka kupewa ''Utakatifu'' au na hilo hulijui?

Lakini JMK hatofanya kama utakavyo, atafanya kama anavyofanya sasa, la kuendesha nchi kwa ufanisi mkubwa kabisa, kwani uIslam wake ndio unamfundisha hivyo. Ni kama mfano mfano wa Mwinyi alivyotutoa kwenye lindi la umasikini tuliloachiwa na Nyerere na sasa JMK ametupandisha kutoka kipato cha chini ya dola 1 kwa siku na kwenda kwenye dola 1.4 na kwa muda mfupi tu.

Ukweli unauma, hasa ukiona kuwa haya Marais yasiyokuwa MaIslam mbona hayafanikiwi kama hawa ma Rais waIslam? Jibu ni simpo! lakini kama huna macho hutaliona!

Inshallah! Kwa nguvu za Allah uchumi utapaa kaa ungo wa gagula la JK. Watoto wooote ombaomba wadogo hadi miaka minne waliojazana barabarani kila kukicha njia panda zote za Dar watafarijika kwa kupewa lawalawa na tende na JK mwenyewe huku akivinjari kwenye mchuma wake mweusi akitabasamu tabasamu lake ngekewa. Mashaalah!
 
Last edited:
Back
Top Bottom