Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Umeandika mengi sana, lakini ya muhimu ni matatu.
1. kwa mwenzi ni sh 140000 kwa kili mtanzania, kutokana na mahesabu ya GDP.
2. Jamii inamsuta kwa umasikini
3. Fungua milango ya uchumi
Nikianza na hili la GDP. Kwa lugha nyepesi ni kwamba, GDP ni kiwango cha pesa ilichonacho Nchi gawanya kwa idadi ya wananchi wake. Mfano, kama Zawadi nina sh 1000 na mwenzaqngu Juma contena una 10,000, kama sisi ndio tunafanya nchi basi GDP = (1000+10000)/2 =5500 sh. Huu ndio utaratibu unaotumika. Kama unaona utaratibu huu unamakosa basi lazima uje na ule mpya unaodhani uafaa. Lakini mpaka leo huu ndio utaratibu unaotumika.
Pengine nikusaidie kitu usichokijua kimoja na kikubwa sana. Ni vipi mgawanyo wa pesa hiyo iliyomkononi mwa matajiri itawafikia walala hoi? SWALI HILI NDIO LA KUTATULIWA NA NDIO SUALA LA WANASIASA. Na hapa ndio hutofautiana kati ya komunisti, wasocialist, liberal, mabepari wenye mlengo mkali kama Republican au wale waingereza maconservative. CHA MSINGI NA CHA AWALI NI KUWA PESA YENYEWE IPO NCHINI, MGAWANYO NI NYINYI KATIKA UCHAGUZI NDIO MNAAMUA.
Ufunguzi wa milango ya uchumi, hilo halina mjadala. Si kitu cha kuomb li nni wajibu wakee kufanya hivyo. Ameanza, lakini mwendokasi ni mdogo mo. Mfano, ukinunua kiwanja Mbezi toka kwa Zawadi, unaweza kubadili jina moja kwa moja. Sio kama zamani mpaka ujene kwanza.
Kifupi nawez kuseaa kuwa eneo hili la kutoa sheia za kirasimu katika biashara a maswala mengine ni lazim lishughulikiwe. Na litasaidia sana kwenye kuondoa rushwa na kuongeza uchumi.
1..labda ujisaidie mweyewe mawazo yako kwani 140000 kwa mwezi roughly ndio mgawanyo wa GDP kwa takwimu ulizo leta na mchango wako either kuna gap kubwa between the rich and the poor au unaleta takwimu za ajabu au labda ujui unaloliongelea on the macro picture kama ulikuwa na akili ungezidisha £1300 na watu wake ungeona ai make sense na maisha kidogo yangekua nafuu ndio maana nikakwambia yaani unamaana kwa mwezi ni 140000 kwa kila mtanzania kwa mwaka 1.5 mil roughly.
2..Pili kuna uchumi wa aina tatu duniani so far capitalism, socialism na tradition economy (caste systems).
Leo nchi nyingi zina combine karibu mbili ukitumia mifano yako ya awali utagundua India wana caste na capitalism hivyo kuna maendeleo lakini order ya kazo ni vile vile caste la chini kama kazi azitoshi aziwa fikii ndio maana regardless of the advance india iliyokuwa nayo duniani bado wanamskini wengi.
Socialism ni government being responsible for its people kwa hivyo huko ni serikali kuendesha uchumi lakini na wao pia leo wameeanza kuingiza na capitalism ili kuweza kuwacha wale wenye vipaji na hela wachangie kuinua uchumi. Kwani uchumi ni kuboresha maisha ya wengi.
Capitalism ni kusema na mwenye kuweza aweze ilikua hivyi mpaka miaka ya 40 ndipo walipogundua hawa jamaa wasipo saidiwa (maskini) ni hatari kwa jinsi wanavyo ishi kama wabongo tu umatatizo mengi ya kujitakia na ignorance ndipo hapo the welfare state ilipoundwa. Kwa mpuuzi anaweza sema hii ni socialism lakini ni kuwa responsible na watu wako.
Kwa hivyo ni jukumu la serikali kusaidia watu wake katika capitalism ni kwa namna ya tax na si kuboronga kama ulivyo sijui socialism, na nini.
sasa vyama vya siasa vinaingia kwa namna yake wanachokiona ni kwa faida ya jamii 'right politcs' and 'left and politics' ni viko based on moral rights on what best to serve society and how to help the needy ndipo hapo sokomoko la pubilc spending debate linaingia hiyo tena nenda kasome mwenyewe hila umelopoka mno hapo.
3. Hilo ndio tatizo letu ni vyema kama na wewe umegundua hii aitabadirika mpaka Raisi mmoja aingie na kusema huu mchezo inabidi uishe na sheria zi fanye kazi hivyo mwambie raisi wako akisha win the next election he has nothing to protect any more ni kuvunja nguvu zake na kugawa sheria ifanye kazi. Ili atakae kuja 2015 ajue kabisa tuta mpeleka mahakamani akileta mambo ya nuksi. Tanznaia ni maskimini inabidi uelewe hilo labda sio wewe ila watu ni maskini. Ukitaka kujua nchi yenye uchumi unaokuwa unaangalia na social mobility, na ni almost non existence.