Tetesi: Kikwete kapata tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo

Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Mkuu ya kweli haya or it's just rumours.
 
Dangote ni mfanyabiashara wala sio maslai ya serikali................

Kama kashindanishwa tenda na kashinda hakuna mtu timamu anayeweza kuhoji ilo...........

Tumuache afanye kazi zake nje ya siasa kwani hata alishakataa kushauri au kuusika kwa namna yeyote kwenye mambo ya siasa za ndani...........

Mungu amatangulie kwa hatua aliyofikia.........
 
Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Hongera zake. Aliyenacho huongezewa!
 
uzuri pesa atakayo pata atakisaidia chama chetu shida wapi bana mbona amuhoji ya USA BABY
 
Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Iwe kweli isiwe kweli wewe ulitaka asambaze nani mama yako au nani?
 
Ukienda Mtwara kuna meengi sana husemwa juu ya kiwanda Dangote na JK,wengine husema ana shea.......yaani ni mengi......sasa hilo la kusambaza cement sijui au ndo yale ya shea ambayo husemwa?
Anyway,kila la heri kwake JK kama ni kweli!!
 
Back
Top Bottom