SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na wewe ni bavicha?Umbea wa kibavichaa. Halafu utawaona wamejazana hapa kuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni bavicha?Umbea wa kibavichaa. Halafu utawaona wamejazana hapa kuchangia.
habari za kijiweni ,investors duniani kote wanapewa facilities na upendeleo mbalimbali ili kuvutia uwekezajiWanasema Dangote anamendea fursa Kenya, Wakenya wamemwambia sawa ila hutapata upendeleo wowote utakuwa sawa na washindani wako
Moderator msipokuwa makini hawa Bavicha wataiponza jf..ni wakati sasa kufikiria upya kama kuna sababu ya kuwa na tetesi kwenye hili jukwaa...Hilo neno linatumika vibaya...Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Dangote kabla ya kuja Tz alitokea Kenya, kakimbia katelekeza eneo na mitambo yakehabari za kijiweni ,investors duniani kote wanapewa facilities na upendeleo mbalimbali ili kuvutia uwekezaji
na uje hapa kutuambia ukisikia dangote kafungua kiwanda kenya
nadhani huwajui wakenya wapo very fast kwenye opportunities na maslahi ya kenya,kwani hujui walivyotugeuka kwenye issue ya vat na epa?
Hachomoi![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe ni bavicha?Na wewe ni bavicha?
Unaandika uongo mpaka mungu mwenyewe anashangaa.wakenya si wajinga kama sisi wanafocus zaidi kuwatafutia vijana wao ajira.Wanasema Dangote anamendea fursa Kenya, Wakenya wamemwambia sawa ila hutapata upendeleo wowote utakuwa sawa na washindani wako
Safi sana amechangamkia fulsaHabari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.