Tetesi: Kikwete kapata tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo

Yupo mtu mwingne anayefanya hio buznes
Jk nadhan ni cover tu
 
Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Onesha mkataba,muacheni mzee wa watu apumzike
 
Tatizo ni CCM ayo maswala ya jK achaneni nayo hawa CCM tuwafanyaje ndio jambo la ku discuss sa izi
 
Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Vizuri sana je na wale machekibobu walioitwa wawekezaji wa Sulivan wapo wapi? Tulitumbua fedha kibao kuwaleta !!!na kuwahudumia!!
 
Hongera kwake acha awe busy kidogo azungushe zile pesa alizokwapua kw kinga ya Rais....Lugumi na HSC!
 
Hongera Jk mjasiriamali aka rais mstaafu

OVA
 
Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
hukupenda kiwanda cha Dangote kijengwe? umechukia JK kupata tender?..umechukia JK kuweka mazingira mazuri kwa uwekezaji? huna unachosimamia,ndio maana Mbowe anawafanya atakavyo.
 
Back
Top Bottom