Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Mkuu ya kweli haya or it's just rumours.Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Umbea wa kibavichaa. Halafu utawaona wamejazana hapa kuchangia.Huu sasa tunaita ni UMBEA...........
Hongera zake. Aliyenacho huongezewa!Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.
Weka wewe U-Iringa basiHuu sasa tunaita ni UMBEA...........
Iwe kweli isiwe kweli wewe ulitaka asambaze nani mama yako au nani?Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa kuanzisha kiwanda.