Tetesi: Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon

Hizo ni ndoto za alinacha. Africa imetoa SG wa UNO hivi karibuni (Koffi Annan). Haiwezekani baada ya miaka 10 ya Ban Ki-Moon nafasi hiyo irudi Afrika. Nadhani watachukua S.America au mataifa madogo ya Europe.
 
Bahati mbaya wampigia debe kwa watu wasioweza kumchagua.
Angalia kama ni kichwa kama akina Koffi, Ban Ki, Boutrous n.k. Pamoja na kwamba Marekani huwa ina wa control, lakini hawa watu huwa vichwa...
 
Nyie ndo wapiga debe wake mliowekwa kwenye mitandao?
 
Kikwete anapendwa sana na wazungu zaidi ya waswahili!! mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni!! Jk tunakuombea uzidi kujitangaza Tanzania
Unafikiri kwa nn, wazungu hawawezi kumpenda mtu smart hasa kwa rasilimali!#!
 
Nabii Hakubaliki Kwao
 
Hiyo nafasi bora apewe Mugabe kuliko VascO wetu.



Wazungu wanampenda kwa sababu ndo walikuwa wakipiga dili naye
 
LAKINI hii ni zamu ya EUROPE kwa maana africa tayari bw. KOFFI ANNAN ikafuata zamu ya asia ya Ki Moon sasa ni Ulaya baadae North America

Hawa wapambe wa mkweree wana matatizo sana kwani vichwa vyao vimejaa pumba; nyie bimbo hamkusoma magazeti ya ulaya yalivyomnanga kuwa ni Rais wa kusafiri safiri tu hakai nchini Kwake kutatua matatizo ya wananchi wake waliokuwa wanakufa kwa kipindupindu!! Halafu ndio huyo apewe huo wadhifa? Endeleeni kuota pengine tunguli zenu zitafanya kazi!!
 
Historia ya Vasco da Gama, Rais aliyezunguka nchi zote duniani akiwa na bakuli lake. Kumbe baba yake alikuwa DC!
 
Ziara ya rais wa Vietnam ni hatua muhimu ya kutafuta uungwaji mkono na nchi za asia, kumbuka Vietnam ni nchi iliyojipatia sifa ya kutokuyumbishwa na mataifa ya ulaya na inaheshimika katika bara la asia.
 

Ukiwa mpuuzi angalia upuuzi wako usiuweke wazi utachekwa.Huyo hayo waliyokuwa wanampa yote ni kwa ajili ya kumpa sifa ili aendelee kuuza RASLIMALI zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…