Kikwete: Kutokana na utoaji hafifu wa Elimu nchini, kuna hatari ya nusu ya ajira zilizopo kutoweka ifikapo mwaka 2050

Kikwete: Kutokana na utoaji hafifu wa Elimu nchini, kuna hatari ya nusu ya ajira zilizopo kutoweka ifikapo mwaka 2050

Cha msingi ni serikali iangalie muelekeo mpya Eqaution ya elimu=Good life imesha prove failure na kwa vile hatukuwa tumejiandaa kisaikolojia mapema basi acha watoto wetu wawe Marioo na dada zao wadange!

Sahizi waangalie namna ingine ya kutatua hili lets think globally tunapambanaje na hili janga 😅
Safi sana! Hii ndio michango ambayo tunayotaka kusoma hapa JamiiForums
 
Yaani huyu JK huwa namuona yajielewi uswahili tu usiokuwa na maana. Huyu ndiye Rais pekee ambaye alikuwa na wakati mzuri sana wa kufanya vitu vizuri badala yake ujinga kila kona ndo uliofanyika.
Tumemla kisamvu na majani yake 🍑
 

1853bb77eafedc1c49730bda3168ce35.png

 
Back
Top Bottom