Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Safi sana! Hii ndio michango ambayo tunayotaka kusoma hapa JamiiForumsCha msingi ni serikali iangalie muelekeo mpya Eqaution ya elimu=Good life imesha prove failure na kwa vile hatukuwa tumejiandaa kisaikolojia mapema basi acha watoto wetu wawe Marioo na dada zao wadange!
Sahizi waangalie namna ingine ya kutatua hili lets think globally tunapambanaje na hili janga 😅