Kikwete kuwa Gorbachev wetu?

Kikwete kuwa Gorbachev wetu?

Kuna mtu yeyote anakumbuka hotuba ya Nyerere Bungeni kuelezea Muungano kabla hawajapitisha sheria iliyoridhia mkataba wa Muungano (ambayo MrFroasty ameiweka hapa)? Au ndio tunazungumza na vijana watupu humu jamani?

Hotuba za Nyerere haziwezi kunisaidia chochote, wala usipoteze muda wako.Nimeshaimba shuleni siasa ya Nyerere kuwa uhuru bandia ulipatikana Zanzibar 63 na uhuru wa kweli ni Mapinduzi 64.....

Naona kama utakuwa unampigia mbuzi gitar, Nyerere hana thamani yoyote kwangu...ni adui nambari 1 wa Zanzibar na watu wake.
 
It is interesting to leave in Tanzania.But it would be more interesting to live in the countries that some people wish to see them coming, Tanganyika and Zanzibar.
Bado naamini kabisa, matatizo ya muungano yanaweza kupatiwa suluhu.Ila kama watu wanaona njia sahihi ni kuuvunja well! Yangu macho tu!
Nionavyo, wanaoweza kuneemeka zaidi ni wanasiasa wanaotaka kugawana vyeo baada ya kuuvunja. Kwa walio wengi, hali inaweza ikawa tofauti na matarajio yao. Tuangalie vizuri haya mambo ambayo yametufanya ndugu kabisa tukayavunja vunja kienyeji eti kwa sababu za kisiasa. Tutakaoumia ni sisi wenyewe.
 
JK wetu asipoisimamia na kuilinda KATIBA yetu ya JMT atakuwa Gorbachev wetu. Zanzibar sasa hivi wanatoa matamshi yao kama vile katiba hii haipo, haiwahusu. JK amewekwa pale kwa mujibu wa katiba hii lakini anakuwa kama anaionea haya vile![/QUOTE]

Katiba katiba katiba blah blah blah! katiba isiwe kisingizio cha kutofanya mabadiliko muhimu yanayoendena na wakati..

Katiba inatumikia mawazo na fikra za watu kwa faida yao wakati uliopo na wakati ujao

Siyo Watu hutumikia katiba, katiba si Msahafu inaweza kubadilishwa kutegemeana na matakwa ya watu inaowaongoza period! kama wazenj wanataka ibadilike na wabadilishe hakuna haja ya JK kuumia mbavu kwa jambo ambalo ni matokeo ya wakati..

JK amewekwa kwa mujibu wa katiba na watu, wale waliomuweka wanasema wanataka mabadiliko kwenye hilo daftari (katiba) kun shida gani hapo?
 
JK siyo gundi ya muungano na wala nchi hizi mbili hazikuunganishwa kwa gundi.... muungano unatokana na ridhaa ya pande mbili za muungano, kama upande mmoja hauridhiki au unataka kulala mbele unategemea JK afanye nini? awapigie magoti au awakatie fungu la nguvu zenji? wabara na wazenji hatuivi chungu kimoja tunapoteza muda bureeeee.....inaonekana watu wameishiwa hoja humu, hivi kumbe wapo watanzania wanamuda wa kumwaga kukaa kufikiri kutunga bora hoja ili mradi tu kumbondea jk.....it is time our country to go science too much ungwini will not take us anywhere.
 
Muungano ni lazima ulindwe kwa gharama yoyote.Hivi Putin angekuwa legelege, leo hii URUSI ingesambaratika kabisa kwa maslahi ya wachache. Yeye aliona kwamba tukiendelea kugawa-gawa nchi kwa maslahi ya wachache (Western Countries), watakaoumia ni wananchi wa kawaida. Ndo maana akawatwanga wa-Chechniya na wa-Georgia.
Amini usiamini, wanaotaka miungano ivunjike na walafi wachache. Na kwa kuwa wananchi wengi (hasa Zanzibar) hawajasoma, wanafuata tu bendera.
 
Na kwa kuwa wananchi wengi (hasa Zanzibar) hawajasoma, wanafuata tu bendera.

Tuletee scientific data zinazoonesha kama wazanzibar wana asilimia kubwa ya wasiosoma kushinda huko kwenu Tanganyika.Hii ni pumba tupu, kama huna cha kuandika kaa chonjo...lakini usituletee uzushi hapa.

Hayo mawazo ya kidictator ndio yaliyomponza babu yako nyerere, na kujikuta kafakamia matatizo yasiyomhusu i.e Zanzibar.

Sasa munajikuta wenzenu wanazama huko Kilosa...na nyie hamupati usingizi kwa vugu vugu la kisiasa linaloendelea visiwani.
 
MAONI KWA MKUU WA NCHI

Nasema maoni wa makusudi kwa kuwa huu si ushauri. Ushauri ni rasmi na kutofuatwa kwake kunaweza kuleta madhara baadaye. Lakini yangu ni maoni tu.

Yako mambo duniani ambayo kufanikiwa kwake hakuhitaji demokrasia, na katika hayo mojawapo ni suala la umoja. Nchi nyingi zenye umoja madhubuti kwa mfano Marekani, hazikusubiri wananchi wapige kura au waridhie kwa maoni yao ili umoja wa USA uweze kufanikiwa. Ilipobidi kutembeza bakora, basi zilitembea.

Kati ya mambo yaliyofanikisha utulivu Iraq kabla ya kuvamiwa na marekani ilikuwa ni bakora na mijeledi ya ....Sadam Hussein.

Nguvu ya Iran mpaka sasa inatokana na uongozi wa Sharia. Leo hii wangekuwa wamemeguka kabisa. Mijeledi ya Sharia na siyo demokrasia ya kimagharibi ndiyo inayosababisha Iran Inaitisha Dunia.

China wazee wa HIPHOP Ngumu versus mabishoo wa TAIWAN, Uspinachi wa Dalai Dama, Ukauzu wa Tibet na mengineyo, hapa sipingani na mambo yasiyonihusu wala siwaungi mkono China wala TAIWAN wala yeyote hapa....., ninachokionyesha ni Staili ya China kwenye kudeal na masuala ya KITAIFA. Angalia wanavyo deal na mafisadi. WANANYONGA MAFISADI ATI!!!!!! CHINA HAWANYWI KAHAWA NA MAFISADI...NDIYO MAANA WENGINE WALIJINYONGA WENYEWE HATA KABLA YA KESI MAHAKAMANI!!!!!!!!
Leo hii China wanaitikisa Dunia. Huenda wakaing'oa JAPAN kwenye kilele cha Ugwiji wa Kiuchumi punde tu.

SUALA LA MUUNGANO LISIWE SUALA LA MJADALA, NI AIBU KUBWA KUZUNGUMZIA KUTENGANA. Serikali ikunje ngumi na kuponda kabisa mjadala wowote wa kuuvunja muungano. Suala ni je tutafaidikaje watanzania wote kwa ujumla bara na visiwani kwa muungano tulionao na namna ya kuuboresha na kuondoa kero zilizoko.

AU KAMA TUMECHOKA KUUNGANA BASI TUFANYE YAFUATAYO.

1. Kanda ya ziwa iwe nchi peke yake, Mwanza, Mara, Kagera, Shinyanga na Tabora ziwe Jamhuri ya kanda ya Ziwa. Mambo ya madini, samaki, maji, mifugo, Kilimo kidogo au vipi?

2. Mikoa ya Msosi, Kusini iungane, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa iwe Jamhuri ya Watu wa Kilimo Kwanza.

3. Dar es Salaam iungane na Pwani, Tanga, Lindi na Mtwara na kuunda Jamhuri ya East Coast. Bandari yooote yao mtajiju.

4. Kigoma wajitenge na kuungana na Burundi, wazee wa juhudi binafsi.

5. Arusha, Manyara na Kilimanjaro Ziungane na Kenya, wazee wa pesa kwanza. Utalii kwa sana, madini kiasi fulani, biashara au sio.

6. Dodoma, Morogoro na Singida Ziungane na kuwa Tanganyika. Hawa si ndio wazawa au ikoje?

Dhambi ingekuwa si tamu hakuna ambaye angeifanya. Utengano ni dhambi kwa mujibu wa Mwl Nyerere RIP. Hata vitabu vya kiimani vinaonyesha kuwa mwenyezi mungu hupenda umoja kuliko utengano, ndoa kuliko talaka, mapatano kuliko magomvi.

Mheshimiwa mkuu wa nchi, Jamhuri hizo sita hapo juu za kinadharia ni kukuonyesha kuwa hayo yapo mioyoni mwa watu. Utengano huanzia kwenye kufikiri kuwa maslahi yataongezeka nje ya umoja. Angalia Jamhuri nadharia hapo juu je ni nani asiyedhani kuwa Jamhuri yake itafaidika tukitengana????????????

KUNA MAENEO KAMA MKUU WA NCHI INABIDI UENDE KIDIKTETA, HUWEZI KUJADILIANA NA MTOTO WAKO WA MIAKA SITA KAMA AENDE SHULENI AU LA..KWAMBA UNAMUACHA ACHAGUE KUSOMA AU KUBAKI NYUMBANI NA KUCHEZA......MUUNGANO, UFISADI, USALAMA NA ULINZI WA NCHI, MASLAHI YA KIUCHUMI YA TAIFA NA SIRI ZA NCHI INABIDI UUVAE UBABA HASA, UNGUNGURI..KUNJA SURA HIYO...EBO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!PIGA NGUMI MTU ATI!!!!

UMEWAHI KUONA MTU KASHIKIWA BUNDUKI HALAFU ANAPIGA MWAYO?????????
 
Mkuu nimekuvulia kofia ni maoni mazuri ni kweli nchi nyingi zilizoungana na kuonyesha maendeleo zilienda kwa bakora, na bakora zipo za aina nyingi angalia nchi za EU zimeunganishwa kwa bakora ya uchumi ukijifanya kutoka shauri yako.

England mwanzo ilijifanya kusua sua lakini naona sasa inanyooka bado wanang'ang'ania pesa yao Sterling Pound hawataki ife lakini Euro inakuja kwa nguvu kuipiku hiyo ni mojawapo ya bakora.

Umenifurahisha kwa kanda yako no.2 Kilimo kwanza kweli umewapatia hawa jamaa na kanda no.6 jamaa kweli bado wako Tanganyika wanajua Nyerere bado ni rais na hawajui kuwa kuna vyama vingi sasa nenda Singida waulize rais wao ni nani Big up.

Nafikiri haya maoni uyafungulie thread tuchangie.
 
Kwa mkweli mazingira hali iliyoko sasa haitofaitiani na hali iliyokuwepo Ndani ya USSR.kwa wale ambao wamesoma International relations vizuri utaona sababu kuu zilizoharakasha kuvunjika kwa USSR ni pamoja na ya fuatayo

1.wananchi wa mataifa mengine kama Ukraine,Lativia,Georgia,Lousiana nk.kulalamika kwamba wananyonywa na Urusi na pia haki zao zote walizokua wanastahili waliona kama wanadhulumiwa.same case kwa Zanzibar na Tanzania bara

2.Pia kuleta maisha bora kwa watu wa USSR ilionekana ndoto kutokana na uchumi kuzidi kuzorota huku budget kubwa ikielekezwa kwenye ununuzi wa silaha(Rejea Arms Race au Armament and disarmament during cold war era)

3.Watu kuwa na mwamko wa utaifa wao(Nationalism) kwani Russia ilikua ime-impose culture yake zaidi kwa watu wa mataifa mengine.pia viongozi wengi wa juu wa USSR walikua wanatoka Russia

4.pia kulikua na usiri mkubwa na maamuzi mengi ya kimataifa yalikua yanachukuliwa na Russia

5. Russia ilionekana kuietumia zaidi USSR na kunufaika kuliko mataifa mengine ya muungano

Above all,Mataifa hya madogo yalionekana mzigo zaidi kwa Russia na kwa Mikhail Gorbachev aliyekua ametangaza kauli mbiu yake ya kisera ya Glasnot and perestroika

Gobarchev anaonekana kuwa Liberal zaidi ya viongozi waliomtangulia kama akina Stalin,brezhnev nk.Pia mwamko wa mataifa ya muungano ulikua mkubwa zaidi kiasi kwamba asingeweza kuzuia zaidi ya kuwapa uhuru wao.

Ukiangalia hali iliyokua USSR enzi zile ukilinganisha na Muunano wetu na zanzibar halafu ukamchukua JK kikwete alivyo au anavyochukulia mambo na historia yake ya kushughulikia matatizo plus Nationalism spirit ya wazanzibari basi utaweza kujiridhisha kwamba Jk anaweza kuwa Mikhail Gorbachev wetu.
 
Back
Top Bottom