Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

lawama kwa world econimic crisis,
mwekezaji wa gesi alikosa pesa hakuwekekeza wanatafuta wengine....
swali la katuba wana mpango gani kurekebisha
 
I better concentrate on work this man is not my choice nor will be my presida

haulizwi maswali na ameshindwa kunishawishi

conclusion: Vote Dr Slaa
 
huyu jamaa mlaghai saana....anasema mazingira yetu sio lazima kuwa katiba mpya?...atti yakiruhusu ataangalia....msanii msanii....kaniudhi sana
 
Anasema hamna haja ya kufanya mabadiliko ya katiba. Wezangu hatutakii mema huyu.
 
Sina hakika na saa yangu mbona muda umekwisha au wamekopa muda jamani jamani wameona aibu wameweka matangazo leo mpaka sa 5
 
Kwa nini Jk atumie clouds ambayo wala sio official radio ? Nilitegemea atumia TBC radio ya serikali kutoka Ikulu. Hivi wazee wa CCM mnakubaliana na mambo haya mnaaibishwa aibishwa tu. RAdio ya kihuni IKULU .
 
juha ni juha tu

hivi huwa ana kihgugumizi huyu jamaaa??
 
Haonyeshi kama ana kampeni . Anaongea kama wako kijweni . "Daladala inakuchomekea hapa na palee" what is this . Sasa najua kwa nini aliogopa mdahalo.

sijawahi ona. huu ndio mtaji wa ccmakamba bwana ebo
 
hivi TBC taifa haipo?

kwa nini aende kwa hawa clouds fm?

juhaaaaaaaaaaa!
 
Nashangaa naendelea kusikiliza tu. Labda wasikilizaji watauliza maswali ya maana
 
Amesema anafikiria mfumo mpya wa baraza la mawaziri akimaanisha inawezekana likapungua. Ur president hadi leo hajui ana mpango gani na baraza jipya endapo atashinda!! Mbona rais slaa anafahamu tayari structure yake?
 
Back
Top Bottom