Tina
JF-Expert Member
- Jul 9, 2007
- 572
- 581
Ushindi upi ? Hajajitambua kuwa kashashindwa?
Tuombe Mungu atunusuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi upi ? Hajajitambua kuwa kashashindwa?
???? Vifo vingine ni vya kusherehekea zaidi ya kuhuzunika jamani...JK hataki urais ila alilazimishwa toka awali na hilo halina shaka...
Mbona umekuwa mweupe...kwani hujazungumza kitu hapo..lete facts alizotoa na kisha tathmini yako ama pingamizi zako ili tuelewe nguvu yako ya hoja.
TATIZO la JK ana uwezo mdogo sana wa kufikiri , yaani IQ yake ni ndogo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wakati mwaliko wa waandishi wa habari kwa ajili ya Press Conf ya Kikwete leo Anatoglou, Ilala Dar es Salaam unatolewa kwa waandishi waliokuwa naye kwenye kampeni tu, waandishi hao sasa wanaandaa pati kubwa ya kusherehekea ushindi wa CCM.
Anayesambaza mialiko hiyo ni Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima (Gazeti la Mbowe), mwanamke mwenzangu Irene Mark, ambaye naye pia ni mmoja wa waandaaji wa sherehe hiyo ya waandishi kusherehekea ushindi. Irene ndiye aling'ang'aniwa na Ikulu kwenda kwenye hizo kampeni kuanzia mwanzo hadi mwisho hata alipokwenda MWandishi mwingine Tamali Vulu, alirudishwa na kuendelea Irene.
Hii ni aibu tupu na nadhani afadhali ya Manyerere Jacton wa Mtanzania (gazeti la Rostam) ambaye alikataa kuvalishwa koto la 'Kikwete Press 2010" akisema iko siku waandishi wanaume watavalishwa sketi.
Maadili ya uandishi wa habari vipi?
Mdahalo----waandishi----pati ya sherehe. Jamani mimi sielewi namna haya maneno yanaunganika katika hii mada. Mwandishi naomba niweke wazi usanii uko wapi? Na shida ni ya JK au waandishi?
kwani unadhani inapimwaje????Kwani alishapimwa IQ yake??
kikwete ni juha
Ulitaka kusema nini?
hahah!haha!!!!!
makubwa aya!!!!!!!