Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

Washauri wake ni familia yake na sheikh yahya the octopussy
 
Washauri wake ni familia yake na sheikh yahya the octopu**y
 
Ikiwa mambo ndiyo haya sasa CCM wanajizatiti ya nini kuiba kura. Jamani walioandaliwa kuiba kura komeni kwani mnajipalia
mkaa maishani mwenu.

Ee Mwenyesi Mungu umbariki Dr. W. P. Slaa.

CHADEMA Hoyee!!!!!!!!!!!
 
Asante sana maana hawa vijana wa CHADEMA walitaka kuvuruga hii thread ili wananchi wengine wasijue nini kimeongelewa.

Inasikitisha watu wanajifanya wanalilia demokrasia huku wao wanatumia mabavu kuvuruga threads za wagombea wengine.

Nilitaka jibu kitu hapa naogopa fungiwa! tatizo ni IQ ama nini?
 
Kikwete ndani ya CCM sasa amekuwa kama bidha za Kichina, sidhani kama wanajivunia kuwa naye at this point. 2005 walidhani wamempata mtu ambaye atavusha chama chao kwenye mabadiliko yaliyokuwa yanavikumba vyama vingine vikuukuu vya africa, kumbe he is bandia
 
jamani tumchakachue aonje miaka mitano tu hiyo hiyo akalime mananasi kwako jamani nawaomba wenyewe mumejionea sio mpaka aje malaika kutoka mbinguni
Conquest-jk ile kwake na family yake:tape:
 
Lakini jamani huyo si ni Dr.? anashindwaje kujibu maswali ya fourm four? na kama hizo ahadi za hapo kwa hapo siyo za chama utekelezaji wake utakuwaje? kama tu zilizoko kitabuni na zenye kumbukumbu kwa umma zimeshindikana na wanaendelea kurithishana!!!!! Sijui niwaambieje watz kuwa huyu ahatufai!!! anaendesha inchi kama familia au taasisi binafsi!!!!!
 
Wakati mwaliko wa waandishi wa habari kwa ajili ya Press Conf ya Kikwete leo Anatoglou, Ilala Dar es Salaam unatolewa kwa waandishi waliokuwa naye kwenye kampeni tu, waandishi hao sasa wanaandaa pati kubwa ya kusherehekea ushindi wa CCM.

Anayesambaza mialiko hiyo ni Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima (Gazeti la Mbowe), mwanamke mwenzangu Irene Mark, ambaye naye pia ni mmoja wa waandaaji wa sherehe hiyo ya waandishi kusherehekea ushindi. Irene ndiye aling'ang'aniwa na Ikulu kwenda kwenye hizo kampeni kuanzia mwanzo hadi mwisho hata alipokwenda MWandishi mwingine Tamali Vulu, alirudishwa na kuendelea Irene.

Hii ni aibu tupu na nadhani afadhali ya Manyerere Jacton wa Mtanzania (gazeti la Rostam) ambaye alikataa kuvalishwa koto la 'Kikwete Press 2010" akisema iko siku waandishi wanaume watavalishwa sketi.

Maadili ya uandishi wa habari vipi?
 
Asante sana maana hawa vijana wa CHADEMA walitaka kuvuruga hii thread ili wananchi wengine wasijue nini kimeongelewa.

Inasikitisha watu wanajifanya wanalilia demokrasia huku wao wanatumia mabavu kuvuruga threads za wagombea wengine.

Hivi Mkuu tukiacha kukumbatia imani za kichama ...be fair wewe ungekuwa rais kwa miaka mitano iliyopita, ukaulizwa maswali alopewa kikwete ungetoa majibu kama alotoa huyo raisi wetu, hana coherent ni kama hajui nini watanzania tunahitaji. Amejaa uongo kwenda mbele.

Tunahitaji watu makini kutufikisha tunapotaka kufika si huu usanii ndugu.
 
Anaulizwa maswali mazuri sana ambayo kama angekuwa mtu mwenye uwezo na upeo angejibu kwa umahiri kabisa na angegeuza mtazamo uliopo sasa hivi kwamba uwezo wake wa akili ni mdodo na hana uwezo wa kuleta mabadiliko.
Mambo ya mother tongue, yanafurahisha sana 😎
 
Ndugu zangu,

Naomba nitamke hivi:
Baada ya kumsikiliza ndugu yangu, mtanzania mwenzangu, kaka yangu, raisi wangu anayemaliza muda wake, mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM mwaka huu, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete;
Naomba nimshauri kwa moyo safi, kwa nia njema kabisa, kwa kumtakia mema yeye pamoja na nchi yetu, nchi yangu na yake, nchi ya vizazi vyetu vya sasa na vijavyo:
Atangaze kujitoa kwenye kinyang'anyiro hiki cha kuwania uraisi,
APUMZIKE KWA AMANI,
APUMZIKE TU,
Awaachie wengine wawatumikie watanzania,

Amejitahidi kadiri ya uwezo wake,
Amejituma sana,
Yeye na familia yake na wengine,

Ila kuna yaliyo muhimu sana kwa nchi yetu kwa sasa,
Tunahitaji misingi bora,
Tunahitaji katiba mpya ya wananchi,
Tunahitaji uongozi utakaotutoa kwenye hili lindi la umasikini,
Kwa kifupi tunahitaji MAPINDUZI kwenye kila sekta, kila kona, kila idara, kila kitu,

Yeye na uongozi wake hawataweza kutufikisha huko tanakotaka kwenda,
APUMZIKE! WAPUMZIKE!

Asante sana kaka yangu ndugu Jakaya kwa kunielewa,
Mungu na akubariki kwa uamuzi wako huu mtukufu wa kujiondoa,
Na Mola atakulinda,
Na watanzania tutakuenzi,
Amen
 
???? Vifo vingine ni vya kusherehekea zaidi ya kuhuzunika jamani...JK hataki urais ila alilazimishwa toka awali na hilo halina shaka...
 
Wakuu,

Mdahalo wa JK kupitia Clounds umemmaliza badala ya kumjenga! Anapiga porojo, uelewa mdogo, vicheko visivyo na msingi, anazungukazungukaa wee hajibu swali. Anaulizwa maswali mazuri sana ambayo kama angekuwa mtu mwenye uwezo na upeo angejibu kwa umahiri kabisa na angegeuza mtazamo uliopo sasa hivi kwamba uwezo wake wa akili ni mdodo na hana uwezo wa kuleta mabadiliko.

Kwa maoni yangu, hii ina maana watu ambao wamemsikiliza hata kama bado walikuwa na imani naye basi amewakatisha tamaa. Ameshindwa kuonesha uwezo wake wa kuelewa mambo, kujibu maswali, na kukabiliana na changamoto tulizo nazo sasa hivi. Amethibitisha kwamba yeye hana uwezo wa kutuongoza.

Mbona umekuwa mweupe...kwani hujazungumza kitu hapo..lete facts alizotoa na kisha tathmini yako ama pingamizi zako ili tuelewe nguvu yako ya hoja.
 
Wakati mwaliko wa waandishi wa habari kwa ajili ya Press Conf ya Kikwete leo Anatoglou, Ilala Dar es Salaam unatolewa kwa waandishi waliokuwa naye kwenye kampeni tu, waandishi hao sasa wanaandaa pati kubwa ya kusherehekea ushindi wa CCM.

Anayesambaza mialiko hiyo ni Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima (Gazeti la Mbowe), mwanamke mwenzangu Irene Mark, ambaye naye pia ni mmoja wa waandaaji wa sherehe hiyo ya waandishi kusherehekea ushindi. Irene ndiye aling'ang'aniwa na Ikulu kwenda kwenye hizo kampeni kuanzia mwanzo hadi mwisho hata alipokwenda MWandishi mwingine Tamali Vulu, alirudishwa na kuendelea Irene.

Hii ni aibu tupu na nadhani afadhali ya Manyerere Jacton wa Mtanzania (gazeti la Rostam) ambaye alikataa kuvalishwa koto la 'Kikwete Press 2010" akisema iko siku waandishi wanaume watavalishwa sketi.



Maadili ya uandishi wa habari vipi?
Ushindi upi ? Hajajitambua kuwa kashashindwa?
 
Again... kama ni kuwagawa watanzania, basi shule za kata ndio namba moja... mrangi hawezi tena kusoma mwanza... mnalocalise hawa watu na kibaya zaidi kuna makabila yataishia kuwa wasusi tu maana hawana shule za maana

KUhusu majimbo... Hivi marekani ukiwa jimbo fulani hurusiwi kwenda kwingne??
Hivi kweli jimbo na mkoa kioperesheni kuna tofauti yoyote???
unataka kusema ukiwa jimbo moja lazma uombe viza ya kwenda kwingine?
wewe sele wewe.... yani ndio uelewa wako kuhusu majimbo huo???

Sera ya majimbo ni kugawa watu wkeli au ku-decentralise administration and specify on development strategies?? yesu wangu!!! :doh:

Dont let me lose you, i rate you very highly mkuu

tumedecentralise nchi kwenye huduma za jamii kwenda wilaya, ni ukweli usiopingika kwamba tunapoteza pesa nyingi kwani efficiency na accuntsbility iko chini sana... tumeanza sasa kukgundua nafasi ya mkoa... ukiniuliza mimi, ntasema weka majimbo... kanda ya ziwa weka majimbo mawili unganisha na magharibi halafu niambie kama hiyo mikoa itadoda ten

kanda ya kati weka... wana natural resoruces zao na waisha yao... develop (sorry copy paste) system iliyokua proven nje ya tanzania... impelement uone

dah

Asante sana kaka Mkubwa! Umeandika nilichokuwa nakifikiria. Huyo jamaa anayezungumzia ukabila kwenye majimbo nadhani akili zake ni kama mkia wa kiti moto. Fikiria jimbo la mikoa ya kusini, ukabila utatoka wapi wakati kila wilaya ina kabila lake. Shule za Kata ni tatizo zamani sisi tulikuwa tunafaulu darasa la saba Kule Tarime unapangia kidato cha kwanza Kigonsera, ukifaulu kidato cha sita unapangiwa Pungu. Yote haya yanakufa kwa sababu nyepesi nyepesi tu.

Fanya uamuzi sahihi hapa tar 31
 
Back
Top Bottom