Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 264
tapeli ni tapeli tu hata kama kavaa kanzu ama suti heeheeee mwogopeni huyo jamaa
Kwa kweli hata utapeli hauwezi kwani utapeli hutumia ujanja na maarifa ili uweze kumdanganya mtu. Huyu ni Juha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tapeli ni tapeli tu hata kama kavaa kanzu ama suti heeheeee mwogopeni huyo jamaa
Asante sana maana hawa vijana wa CHADEMA walitaka kuvuruga hii thread ili wananchi wengine wasijue nini kimeongelewa.
Inasikitisha watu wanajifanya wanalilia demokrasia huku wao wanatumia mabavu kuvuruga threads za wagombea wengine.
Asante sana maana hawa vijana wa CHADEMA walitaka kuvuruga hii thread ili wananchi wengine wasijue nini kimeongelewa.
Inasikitisha watu wanajifanya wanalilia demokrasia huku wao wanatumia mabavu kuvuruga threads za wagombea wengine.
Mambo ya mother tongue, yanafurahisha sana 😎Anaulizwa maswali mazuri sana ambayo kama angekuwa mtu mwenye uwezo na upeo angejibu kwa umahiri kabisa na angegeuza mtazamo uliopo sasa hivi kwamba uwezo wake wa akili ni mdodo na hana uwezo wa kuleta mabadiliko.
TATIZO la JK ana uwezo mdogo sana wa kufikiri , yaani IQ yake ni ndogo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wakuu,
Mdahalo wa JK kupitia Clounds umemmaliza badala ya kumjenga! Anapiga porojo, uelewa mdogo, vicheko visivyo na msingi, anazungukazungukaa wee hajibu swali. Anaulizwa maswali mazuri sana ambayo kama angekuwa mtu mwenye uwezo na upeo angejibu kwa umahiri kabisa na angegeuza mtazamo uliopo sasa hivi kwamba uwezo wake wa akili ni mdodo na hana uwezo wa kuleta mabadiliko.
Kwa maoni yangu, hii ina maana watu ambao wamemsikiliza hata kama bado walikuwa na imani naye basi amewakatisha tamaa. Ameshindwa kuonesha uwezo wake wa kuelewa mambo, kujibu maswali, na kukabiliana na changamoto tulizo nazo sasa hivi. Amethibitisha kwamba yeye hana uwezo wa kutuongoza.
Ushindi upi ? Hajajitambua kuwa kashashindwa?Wakati mwaliko wa waandishi wa habari kwa ajili ya Press Conf ya Kikwete leo Anatoglou, Ilala Dar es Salaam unatolewa kwa waandishi waliokuwa naye kwenye kampeni tu, waandishi hao sasa wanaandaa pati kubwa ya kusherehekea ushindi wa CCM.
Anayesambaza mialiko hiyo ni Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima (Gazeti la Mbowe), mwanamke mwenzangu Irene Mark, ambaye naye pia ni mmoja wa waandaaji wa sherehe hiyo ya waandishi kusherehekea ushindi. Irene ndiye aling'ang'aniwa na Ikulu kwenda kwenye hizo kampeni kuanzia mwanzo hadi mwisho hata alipokwenda MWandishi mwingine Tamali Vulu, alirudishwa na kuendelea Irene.
Hii ni aibu tupu na nadhani afadhali ya Manyerere Jacton wa Mtanzania (gazeti la Rostam) ambaye alikataa kuvalishwa koto la 'Kikwete Press 2010" akisema iko siku waandishi wanaume watavalishwa sketi.
Maadili ya uandishi wa habari vipi?
Kwani aibe mara ngapi kaiba mpaka kachoka msururu mrefu tuu,tunawajua wengi muheshimiwa alianza yeye wengine wamemuigaMhhhh!!! hata kuiba mke wa mtu ameweza kuiga???
Again... kama ni kuwagawa watanzania, basi shule za kata ndio namba moja... mrangi hawezi tena kusoma mwanza... mnalocalise hawa watu na kibaya zaidi kuna makabila yataishia kuwa wasusi tu maana hawana shule za maana
KUhusu majimbo... Hivi marekani ukiwa jimbo fulani hurusiwi kwenda kwingne??
Hivi kweli jimbo na mkoa kioperesheni kuna tofauti yoyote???
unataka kusema ukiwa jimbo moja lazma uombe viza ya kwenda kwingine?
wewe sele wewe.... yani ndio uelewa wako kuhusu majimbo huo???
Sera ya majimbo ni kugawa watu wkeli au ku-decentralise administration and specify on development strategies?? yesu wangu!!! :doh:
Dont let me lose you, i rate you very highly mkuu
tumedecentralise nchi kwenye huduma za jamii kwenda wilaya, ni ukweli usiopingika kwamba tunapoteza pesa nyingi kwani efficiency na accuntsbility iko chini sana... tumeanza sasa kukgundua nafasi ya mkoa... ukiniuliza mimi, ntasema weka majimbo... kanda ya ziwa weka majimbo mawili unganisha na magharibi halafu niambie kama hiyo mikoa itadoda ten
kanda ya kati weka... wana natural resoruces zao na waisha yao... develop (sorry copy paste) system iliyokua proven nje ya tanzania... impelement uone
dah
???? Vifo vingine ni vya kusherehekea zaidi ya kuhuzunika jamani...JK hataki urais ila alilazimishwa toka awali na hilo halina shaka...