Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania

Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania.

Katiba Mapya
Ubinafsi
Ukabila
udini
Ubara na Unzanzibari
Uchawa
Utekaji
Rushwa
Kutengeneza undugu
kufanya vyombo vya usalama viwe vya kichawa
Kuingiza ufalme na umalikia

Nchi jirani za Zambia , Kenya, na wengine wanasonga mbele
 
Since 2015 ni kama hii nchi haijakaa kwenye misingi yake iliyozoeleka. Haikushangaza kutokea kwa machafuko ya Oktoba 2025, na CHADEMA kubebeshwa lawama wasizostahili.
 
Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania.

Katiba Mapya
Ubinafsi
Ukabila
udini
Ubara na Unzanzibari
Uchawa
Utekaji
Rushwa
Kutengeneza undugu
kufanya vyombo vya usalama viwe vya kichawa
Kuingiza ufalme na umalikia

Nchi jirani za Zambia , Kenya, na wengine wanasonga mbele
Sijui km kuna mtu amekuelewa? Sazingine bora usome tu nyuzi za wenzako ujifunze
 
Back
Top Bottom