Gottee
R I P
- Sep 7, 2008
- 174
- 2
Wewe una akili sana ila umeongezea kusoma, infact hao ma Rais uliowasema wa Yanga, TFF na CWT wanamzidi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanini? Nani ambae hajui jinsi Rais wa Yanga Imani Madega alivyosimama kuinusuru timu anayoingoza na wanachama waliomchagua kuweza kufanikisha kufutiwa adhabu ya kutoshiriki mechi za kimataifa?
Nani ambae hajui kuwa Rais wa TFF kuwa ni mchapakazi muungwana na si fisadi kamawaliowahi kukabidhiwa hicho chama hapo awali?
CWT si meona joto lake?au niseme tena kilichofanywa na CWT?aaah ina maana mmeshasahau?wabongo kwa kusahau haraka!Si ndio hiki chama kilichoitisha mgomo na serikali kujibu kwa kuuzuia mgomo kwa njia ya kukivizia hiki chama cha waalimu?
Haya JK sasa, mitihani imevuja mpaka humu tumepostiwa sisi yeye wala J4 waliotoa tamko!Waalimu wanamgomo baridi na mgomo moto upo waja hakuna juhudi zozote mpaka sasa. Mafisadi nao bado kawakumbatia juu ya yote hayo anacheka cheka tu huku akijua kuna migomo ya tughe na wanafunzi wa vyuo vikuu inakuja!
JK anakazi asipo uanika aangalie asije akautwanga mbichi!
So acha Mbeya wawe na Rais wao, DARUSO wawe na Rais wao, CHAMIJATA wawe na wa kwao, RT,CHANETA, nk. Mimi sijali hata kila Mtanzania akiwa Rais. Ila nitajali kama Rais mmoja ataamua kuingilia madaraka ya Rais mwingine! Basi!