Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

Wewe una akili sana ila umeongezea kusoma, infact hao ma Rais uliowasema wa Yanga, TFF na CWT wanamzidi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanini? Nani ambae hajui jinsi Rais wa Yanga Imani Madega alivyosimama kuinusuru timu anayoingoza na wanachama waliomchagua kuweza kufanikisha kufutiwa adhabu ya kutoshiriki mechi za kimataifa?
Nani ambae hajui kuwa Rais wa TFF kuwa ni mchapakazi muungwana na si fisadi kamawaliowahi kukabidhiwa hicho chama hapo awali?
CWT si meona joto lake?au niseme tena kilichofanywa na CWT?aaah ina maana mmeshasahau?wabongo kwa kusahau haraka!Si ndio hiki chama kilichoitisha mgomo na serikali kujibu kwa kuuzuia mgomo kwa njia ya kukivizia hiki chama cha waalimu?
Haya JK sasa, mitihani imevuja mpaka humu tumepostiwa sisi yeye wala J4 waliotoa tamko!Waalimu wanamgomo baridi na mgomo moto upo waja hakuna juhudi zozote mpaka sasa. Mafisadi nao bado kawakumbatia juu ya yote hayo anacheka cheka tu huku akijua kuna migomo ya tughe na wanafunzi wa vyuo vikuu inakuja!

JK anakazi asipo uanika aangalie asije akautwanga mbichi!

So acha Mbeya wawe na Rais wao, DARUSO wawe na Rais wao, CHAMIJATA wawe na wa kwao, RT,CHANETA, nk. Mimi sijali hata kila Mtanzania akiwa Rais. Ila nitajali kama Rais mmoja ataamua kuingilia madaraka ya Rais mwingine! Basi!
 
Mkuu gottee nitatofautiana na wewe japo naheshimu mawazo yako. Hivi unajua kimamlaka hapa duniani Rais come after Allah (God)? Rais huyu ni Rais wa nchi sio hao wa CWT,TFF wala Chamujada na chamudata! Kwahiyo tukiwa na Rais wa kucheka cheka asiekuwa tayari kuchukua nafasi yake ni lazima tuseme tuta type mpaka vidole vipate mimba! kuwa Rais anajukumu la kutufikisha kwenye ile Dreamland "maisha bora kwa kila mtanzania" nafasi hiyo anayo na hajachelea. Ila kwa mwendo huu wa kuzuia mgomo mahakamani kulifungia MwanaHalisi kupitia Katibu mwenezi wa CCM ninapata mashaka kama kweli tutafika!Ninachoweza kusema Mafisadi wameshika hatamu.
 
Ratiba ya siku hizi ni ad hoc. Si umeona juzi amefupisha ziara kwenda Tanga sherehe za mwenge na kurudi kuendelea na safari?

Nakubaliana na wewe kabisaa mkuu kuwa sasa tuna raisi asiye na utaratibu wa kazi.

Raisi gani asiyetulia ofisini na kufanya kazi badala yake anazurura tu kila kukicha?? Hivi nani alimwambia kuwa kazi ya raisi ni kuzunguka-zunguka tu? Mbaya zaidi ni kuwa hata huko anakozurura hana la maana analofanya na ndio maana hana ratiba maalum.

Kama ratiba yake iliingiliana na ya Maalibino, ina maana either hakuwa anahitajika huko kwa Maalibino au hana taratibu za kueleweka za utendaji wa shughuli zake.

Kama ni kweli amefuta mikutano, hilo litakuwa ni jambo la aibu maana sidhani kama amefuta kwa sababu ya maalibino. Ni woga tu wa kwa Lt. Col. Kikwete kukimbia kuaibishwa na wamachinga wa Mwanjelwa. Kama yeye ni jasiri kwa nini asikabiliane na hao wanaompinga waziwazi na kumrushia mawe??

CCM has to get rid of JK as soon as possible otherwise, they will go down with him.
 
Mkuu gottee nitatofautiana na wewe japo naheshimu mawazo yako. Hivi unajua kimamlaka hapa duniani Rais come after Allah (God)? Rais huyu ni Rais wa nchi sio hao wa CWT,TFF wala Chamujada na chamudata! Kwahiyo tukiwa na Rais wa kucheka cheka asiekuwa tayari kuchukua nafasi yake ni lazima tuseme tuta type mpaka vidole vipate mimba! kuwa Rais anajukumu la kutufikisha kwenye ile Dreamland "maisha bora kwa kila mtanzania" nafasi hiyo anayo na hajachelea. Ila kwa mwendo huu wa kuzuia mgomo mahakamani kulifungia MwanaHalisi kupitia Katibu mwenezi wa CCM ninapata mashaka kama kweli tutafika!Ninachoweza kusema Mafisadi wameshika hatamu.

Wewe ulihoji uhalali wa Mbeya kuwa na Rais wao,sasa mbona unarukaruka kama kuku mwenye mayai tumboni?
 
waacheni hao warugaruga waswekwe ndani ndio wapate akili. si ndio haohao waliokuwa wakimshabikia wakati anagombea uraisi na kisha wakampa kura zao? unajua wakati mwingine ili mtu azijue haki zake ni sharti atiwe msukosuko kwanza. nani angejua kwamba tarime wangebadilika kama inavyojidhihirisha sasa. na bado. inavyoonekana mwaka 2010 watashinda viti vingi tu. cha msingi tu tuombe mungu awasaidie wapinzani wawe na umoja. nasema hivi kwa kuwa inaelekea kwamba hakuna mtu anayeweza kuwashawishi kina mtikila(pamoja na kutwangwa mawe) wawe na umoja ili kuongeza idadi ya wabune badala ya kila siku kuota kukimbilia ikulu tu. tuombe mungu awafungue kutoka vifungo vya ubinafsi ili waongeze idadi ya wabunge wa upinzani bungeni.
 
Well said tpaul...Ni wazi lazima waje pamoja...Wale wazalendo.
 
Wale wanajua hesabu na mambo ya modelling wanaweza kunisaidia kwa hili,iwapo watu hao 60 walirusha mawe lets assume 5 inamaana zaidi ya mawe 300 yalirushwa, haya mawe yanaweza jaza fusso...sasa niuharibifu wa kiasi hawa wananchi wa Kanga wamesababisha? Basi hata kamawamerusha mawe 2 nizaidi ya mawe 100 yalirushwa,nadhani hapo polisi wamekamata raia wengi wasio ha hatia....maana mawe ya watu 60 ni kama vita hiyo. Poleni wananchi wa Chunya lakini ujumbe umefika...
 
waacheni hao warugaruga waswekwe ndani ndio wapate akili. si ndio haohao waliokuwa wakimshabikia wakati anagombea uraisi na kisha wakampa kura zao? unajua wakati mwingine ili mtu azijue haki zake ni sharti atiwe msukosuko kwanza. nani angejua kwamba tarime wangebadilika kama inavyojidhihirisha sasa. na bado. inavyoonekana mwaka 2010 watashinda viti vingi tu. cha msingi tu tuombe mungu awasaidie wapinzani wawe na umoja. nasema hivi kwa kuwa inaelekea kwamba hakuna mtu anayeweza kuwashawishi kina mtikila(pamoja na kutwangwa mawe) wawe na umoja ili kuongeza idadi ya wabune badala ya kila siku kuota kukimbilia ikulu tu. tuombe mungu awafungue kutoka vifungo vya ubinafsi ili waongeze idadi ya wabunge wa upinzani bungeni.

Mkuu hopefully watakuwa wameingiza akili kuwa kura yao ina nguvu either ya kuwanyanyasa wao wenyewe ama kujipatia maendeleo yao wao wenyewe...Waelewe kuwa mambo yanayowaunganisha watanzania ni mengi kuliko yale yanayowatenganisha...Hivyo wanachotakiwa ni kuyapa kipa umbele yale yanayotuunganisha kama vile kuupiga vita ufisadi kwa nguvu zetu zote hata kama ikibidi mawe na maandamano bila kusahahu migomo ambayo inamake sense.
Kama JK amekataa kuwasikiliza wananchi na badala yake anawaweka ndani...Basi asishangazwe wananchi hao hao wakimlazimisha yeye kuwasikiliza...La sivyo ajiuluzulu mara moja.
 
Nakubaliana na wewe kabisaa mkuu kuwa sasa tuna raisi asiye na utaratibu wa kazi.

Raisi gani asiyetulia ofisini na kufanya kazi badala yake anazurura tu kila kukicha?? Hivi nani alimwambia kuwa kazi ya raisi ni kuzunguka-zunguka tu? Mbaya zaidi ni kuwa hata huko anakozurura hana la maana analofanya na ndio maana hana ratiba maalum.

Kama ratiba yake iliingiliana na ya Maalibino, ina maana either hakuwa anahitajika huko kwa Maalibino au hana taratibu za kueleweka za utendaji wa shughuli zake.

Kama ni kweli amefuta mikutano, hilo litakuwa ni jambo la aibu maana sidhani kama amefuta kwa sababu ya maalibino. Ni woga tu wa kwa Lt. Col. Kikwete kukimbia kuaibishwa na wamachinga wa Mwanjelwa. Kama yeye ni jasiri kwa nini asikabiliane na hao wanaompinga waziwazi na kumrushia mawe??

CCM has to get rid of JK as soon as possible otherwise, they will go down with him.

Kaingia madarakani kakuta wenziwe wamekomba kila kitu kiwira,NBC na mikataba yote minono sasa wewe unadhani ata make vipi bila ya kuwa safarini everyday kupata der dm yake?we uba idea anapokuwa out of country anapata allowance kiasi gani? akiwa ziara za ndani anapata kiasi gani?piga hesabu za tripu zake za nje kisha hizi ziara za siku kumi kumi ile ya Tanga, Hii ya mbeya na nyine nyingi to come! Ninamsifia kwa kuwa creative kujipatia kipato cha ziada kuliko kutufisidi direct lakini ni mapema mno time will tell maana hata Mkapa hatukujua madudu yake mpaka alipotoka ikulu sijui huyu atakuwa zaidi au vipi I cant wait to see!
 
Well said tpaul...Ni wazi lazima waje pamoja...Wale wazalendo.

Kwa mtaji huo itabidi wapanue magereza zao maana hatutatosha. Mushi unasahau na haya mawe anayotupiwa humu JF?Kina sokomoko na kina mwanakijiji wakae chonjo!
 
When I heard that some WALEVI having guzzled down enough POMBE succeeded in mastering their frustrations at not getting the PREZ to join or shall I say share the precious drops they had been drinking and instead took on to chase the PREZ motorcade by STONES.....ah! That was in the waves, BBC! Of course what else could the spin doctor, our very own Salva say? Yeah, we all know how loved and respected our Prez currently is! been quite successful in his duties lately!

Remember what Comical Ali told the world when everybody else knew that Saddams Irag was going under? Iraq was defeating the American infidels! Beware Salva and your spinning. We know what is going on!
 
Comical Salvatory will say anything in order to spin the truth.
 
Kila siku nimekuwa nikijiuliza hasa kazi ya bwana Salva ni nini? and what is he trying to achieve? To my suprise kama Mkurugenzi wa Habari Ikulu bado anatumia address ya YAHOO...yuko serious ama?
 
Jamani Salva anakosa gani?. Kuna watu lazima waseme kuhusu watu?.
Simple mind discuss people.
Ordinary mind discuss events.
Great mind discuss ideas.

Whatever Salvz Says, that is his version. Everone is free to have his own version for his own ends. He is a Director of Communication-wa Ikulu. What do you expect his version to be!?.
What matters most was suppossed to be the media version of the story. That is what is suppossed to be nothing but the truth.
Kusema ukweli mimi nawahurumia hao watu zaidi ya 60 waliotiwa mbaroni kwa kadhia hiyo, kuna uwezekano mkubwa wasitendewe haki.
Mungu ibariki Tanzania.
 
ahahhaha duu hii ya address ya yahooo kiboko haswaa..........
 
Salva ni kituko cha mwaka... ni heri arudi kwenye fani yake ambako anaweza kupata muda wa kuandika facts.... hizi hoax stories hazimsaidii yeye wala Rais wala mtanzania wa kawaida. Eti ametamka, nimesikia leo asubuhi kuwa wanaolalamika maisha magumu ni watanzania wachache walioko mijini tu... wale wa vijijini hawana maisha magumu kwani neema ya maisha bora, akataja... elimu bora, huduma bora za afya, barabara safi zipo vijijini.

kwa maana nyingine anataka kujiaminisha kuwa labda kuna mpaka kama kisiwa hivi kati ya watu wa mijini na vijijini... hivyo akituletea longolongo hizi tutasadiki na kubaki tunaishi maisha ya kufikirika kuwa kumbe watanzania wengi hususan wa vijijini wanaishi maisha bora. Ni uongo mkubwa. Wananchi wa vijijini wanaishi kwa mateso makubwa zaidi. Mfano maalbino, wakina mama hupata usumbufu ku access huduma za afya, shule hazima walimu n.k.

Amesahau kuwa watanzania wa sasa ni werevu, wajuaji, hawafuati mkumbo. Ule wakati wa zidumu fikra umekwisha sasa salva, Shame on Salva!
 
Back
Top Bottom